john mnyika

  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hatma na Mbadala wa Katibu Mkuu CHADEMA kujulikana hivi karibuni

    Huenda ikawa ni kabla ya mwisho wa mwaka huu 2024. Sababu hazijawekwa wazi bado ila mazingira yako wazi sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  2. K

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika?

    Umepita ukimya mrefu kidogo kwa huyu katibu mkuu wa CHADEMA ambapo mara ya mwisho ililipotiwa amekimbilia kanisani kwa ibadala maalumu ya mfungo kuliombea taifa. Baada ya hapo hatujaarifiwa nini kimeendelea baina yake na jeshi la polisi ambalo lilikuwa likimrafuta mpaka kupiga kambi kanisani...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi Centre lazingirwa na Polisi ili kumkamata John Mnyika

    Hii ndio Taarifa ya Sasa, tukiachana na zile porojo za RPC wa Dar kwamba Mnyika Hawindwi, Inakuwaje asiyewindwa aviziwe kanisani na kuvuruga Ibada za Watu? Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeweka kambi kwenye viwanja vya Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi Centre, kumsaka Katibu...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania TETESI JOHN MNYIKA ATAPEWA KESI YA MAUJI NA UTEKAJI

    Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake. YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Rais Samia lazima aondolewe Madarakani Uchaguzi Mkuu ujao

    Katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesisitiza kuwa ni lazima Rais Samia aondolewe madarakani katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mnyika anasema kuwa Rais ameshindwa kusikiliza sauti za wananchi na Jumuiya za Kimataifa, ambao wamepaza sauti kuhusu tishio la amani nchini kufuatia kifo cha Ally Kibao...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mnyika ashindwa kuripoti polisi wito wa upelelezi wa mauaji ya Ally Mohamed Kibao

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameshindwa kuitikia wito aliopewa na Jeshi la Polisi kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kinondoni kuhojiwa kuhusu mauaji ya aliyekuwa kada wa chama hicho, Ali Kibao. Wito wa polisi ulitolewa Septemba 16, 2024 na Mkuu wa Upelelezi Mkoa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Mnyika aitwa Polisi kwa uchunguzi mauaji ya Ally Mohamed Kibao

    Jeshi la Polisi Tanzania limemuita Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na mauaji ya Ally Mohamed Kibao. Kulingana na barua rasmi iliyotolewa tarehe 16 Septemba...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Msaidieni ndugu yenu Tundu Lissu. Demokrasia ina gharama zake

    My Take: Hii Kauli inatuma ujumbe Fulani ,wajuzi watujuze. Moja ya tukio lililovuta hisia za washiriki wa kilele cha Kongamano la tano la Ekaristi Takatifu la Kanisa Katoliki ni hili la wanasiasa wa CCM na Chadema kuwa pamoja. Kilele hicho kimefanyika leo Jumapili, Septemba 15, 2024 katika...
  9. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi, Mnyika na Tundu Lissu wapandishwa madhabahuni na Padri Dkt. Charles Kitima

    Amani iwe nanyi wana wa MUNGU Leo nikifatilia kongamano la Ekaristi takatifu nimemuona baba Padre Kitima akiwapandisha madhabahuni katibu mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika na Makamu Nwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu. Tuendelee kuliombea amani taifa...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa: Nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu

    Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema watu wanaotekwa wanatafuta kiki ahudhurie msiba huu. Mtu aliyefanya press na kusema Tanzania ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi John Mnyika angekuwa na Digrii ingekuwaje? Kama ana six na ana nondo kali kama hizi?

    The guy is good. MwananchiNews nimesoma kwenye habari yenu kuwa mmenipigia sikupokea. Fahamuni tu kuwa wakati mnapiga nilikuwa naendesha mafunzo ya Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi Chademawz Mkoani Tabora. Ingekuwa vyema kwa jitihada zenu hizo hizo mkawauliza @tanpol kwanini hawajatoa...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Wakili CHADEMA athibitisha Mnyika kuitwa Polisi Kinondoni, RPC asema hana taarifa

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika ametakiwa kuripoti Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano, Wakili wa chama hicho amethibitisha. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Septemba 12, 2024 Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema kiongozi huyo ameitwa na Ofisa Upelelezi...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Musiba: Mawasiliano ndani ya Vyama vya Siasa, watu wanayaona! Mnyika asaidie Polisi kwenye Uchunguzi wa kuuawa kwa Mzee Kibao

    Mwanaharakati huru kama anavyojiita, Cyprian Musiba amesema kama mtanzania ameumia sana na matukio ya utekaji na kupotezwa kwa watu hususan tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Ali Mohammed Kibao. Hata hivyo, amesema kama mtanzania anapinga kutumia matukio kama haya kuanza kushambulia watu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika: Mzee Kibao alitekwa na Kuuawa akiwa ametoka kuendesha Mafunzo ya Maandalizi ya Uchaguzi Serikali za Mitaa. Tutaendeleza Majukumu aliyoyaacha!

    Katibu Mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema Mjumbe wa sekretarieti ya Chadema hayati Ally Mohamed Kibao alitekwa na Kuuawa akiwa ametoka kuendesha Mafunzo ya Maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mnyika amesema wakati wanafuatilia Kwa karibu Wahusika wa Unyama huu ni Lazima waendelee na...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) --- John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) anaripoti: Nimetaarifiwa usiku huu kuwa Mzee Ali Mohamed Kibao Mtaalamu katika Sekretariati CHADEMA amechukuliwa na...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kama Heche na Lissu wataondoka CHADEMA sioni Mnyika, Suzan Kiwanga au Lemma wakisalia huko. Ni suala la muda tu

    Kuna kila dalili za Mbowe kuutaka uenyekiti wa CHADEMA kwa mara nyingine ya nne mfululizo. Kuna kila dalili za hawa vijana kukatishwa tamaa na kaliba hii ya Bwana Mbowe kung'ang'ania madaraka hata kama hawasemi, Survivo ya CHADEMA kwa Sasa ni Mbowe kupisha kiti whether anataka au hataki...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Dr Nchimbi ni vema ukathibitisha Kwa uwazi utashiriki na si kutuma mwakilishi kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu Leo!

    Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amemtaka Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi kushiriki yeye mwenyewe kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Siasa UDSM Leo Mnyika amesema kama Dr Nchimbi ataingia mitini basi Mdahalo huo utakuwa ni wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Upinzani kitu kitakachokuwa...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika kapwaya sana Ukatibu Mkuu CHADEMA, nashauri aachie ngazi mara moja kwa heshima, itamsaidia zaidi kisiasa baadae

    Nafasi ya uwakilishi, mathalani udiwani n.k inamfaa zaidi kuliko pale alipo sasa, halafu mbaya zaidi kuna uwezekano mkubwa akatoswa baada ya uchaguzi ndani ya chadema kumalizika baadae mwaka huu. Kuliko kusubiri fedheha hiyo itakayo muathiri kisiasa, Busara imuelekeze kuachia ngazi kulinda...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kukosekana wabunge machachari Bunge limedorora? Maridhiano yaendelee au?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa. Naangalia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge , naliona kama Bunge limedorora fulani hivi, limepoza, Mbunge pekee machachari wa CCM, Luhaga Mpina yuko nje kwa kadi nyukundu. Wakina Msukuma, Kibajaji...
  20. Richard mtao

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoonesha mambo si shwari CHADEMA

    Hellow JF. Kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoonesha mambo sio shwari CHADEMA. Tukianza na kauli za makamu mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliwahi kusema CHADEMA kuna pesa chafu. Kwa bahati mbaya sana watanzania tunakasumba ya kupuuzia mambo na kuyachukulia poa poa mambo. Likaeenda...
Back
Top Bottom