john mnyika

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

    Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM. Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Kuna njama zinasukwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa kuifuta CHADEMA

    Sio siri CCM wameivuruga CUF na kumuua Seif Sharif ila Maalim hakukubali kufariki baada ya siku tatu akafufukia ACT (Jesus of Zanzibar). Sasa baada ya kushindwa na Maalim Seif (Marehemu) CCM wamekusudia kuiuwa Chadema na kuivunja nguvu wakiamini ,uwanja wa siasa utakuwa mwepesi. Suali Je...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mnyika unalalamika 'charge sheet' kutotaja kiasi cha pesa Mbowe alichofadhili ugaidi; hii ni sababu ya kutokuwa na hatia?

    Kuna masuala ya ajabu sana huwa yanachanganya sana. Maana mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kulalama huku akiwa hana hoja zenye mashiko ni kukosa busara. Mnyika analalama kuwa Charge sheet ambayo ameshitakiwa nayo Mbowe haijataja figure kamili ya pesa ambazo Mbowe...
  4. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Baada ya tafakuri, nachelea kusema Freeman Mbowe amesalitiwa na wenzake

    Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz" Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki: Kampeni za kimataifa kuwafikia Diaspora. Mbowe, Lissu, Mnyika kuhutubia

    Baada ya kukamilisha Operesheni Haki kwenye kanda 10 za Tanzania kwa mafanikio makubwa, sasa ni zamu ya Kimataifa, Tundu Lissu, John Mnyika pamoja na mwamba mwenyewe Freeman Mbowe kuunguruma kidigitali. Wote Mnakaribishwa.
  6. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa amkimheshimu sana John Mnyika akimuona ni kijana smart sana

    Toka Mnyika ni Mbunge wakati huo JPM alikuw Wizara ya Ujenzi. Mara nyingi alipenda kuongea na Mnyika akiwa Mbunge na kuchukua hoja zake kuzifanyia kazi. Magufuli aligundua kuwa Mnyika alikuwa na uchungu hasa wa maendeleo ya watanzania. Na hili lilimfanya mara nyingi atamani Mnyika aje CCM. CDM...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

    Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amesema ni miezi 5 imepita tangu amwandikie mkurugenzi wa uchaguzi NEC akitaka kujua ni nani alipeleka orodha ya majina ya akina Halima Mdee na wenzake na form zao zilisainiwa na nani pahala alipotakiwa kusaini Katibu mkuu. J J Mnyika anashangazwa sana na...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi amtembelea Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika ofisini

    Joseph Mbilinyi ambaye ni Mwekezaji na Mfanyabiashara Mkubwa jijini Mbeya, ambaye pia hufahamika kama Rais wa eneo hilo, amefika ofisini kwa Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo mazito kwa ajili ya Mustakhabari wa Taifa. Kikao hicho kizito kimefanyika huku kukiwa na Taarifa ya Chadema kukutana...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amtembelea Mama mzazi wa Hayati Alphonce Mawazo kijijini kwake

    Helena Yegera ambaye ni mama Mzazi wa Hayati Alphonce Mawazo , mtu aliyeuawa kinyama pengine kuliko binadamu yeyote nchini Tanzania , leo amepokea ujumbe mzito kutoka Chadema Makao Makuu ulioongozwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika . Baadaye Msafara huo ukatembelea Kaburi la...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Press za John John Mnyika mwezi huu zinafikirisha sana

    Wiki iliyopita Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika aliitisha kikao cha waandishi wa habari na kuhoji alipo Rais Magufuli na kama yupo salama. Waziri mkuu mh Majaliwa alijibu siku hiyo hiyo akiwa mkoani Njombe kikazi. Jana J J Mnyika alitangaza kikao kingine cha waandishi wa habari ambacho...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama chake huko Kinondoni Nje ya Jiji la Dar es Salaam , ambapo pamoja na mambo mengine aliyozungumza , suala la Ugonjwa wa Corona lilikuwa na sehemu...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

    Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi. Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa. Wote Mnakaribishwa.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

    Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho. Zoezi la kutoa heshima za mwisho...
  14. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania John Mnyika usitetee uovu, kama kuna mtu anahusika kutafuna mali ya umma acha apate hatua stahiki

    Kama mtanzania mpenda ukweli nimefarikija kuona PCCB wakitoa taarifa kuwa bado wanaendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu wa bil 8 zilizotafunwa na viongozi wa Chadema. Mbali ya hayo wamesisitiza kuwa wataendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu uliokuwa unafanyika kwenye mifuko ya majimbo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

    Mabibi na mabwana inafahamika kuwa safari kuelekea uhuru haijawahi kuwa rahisi. Wala safari ya kuelekea huko haijawahi na wala haitakuja kupungukiwa wasaliti. Kwamba pana mbunge bungeni anaendelea kujitanabaisha kuwa ni mbunge wa CHADEMA na mko kimya tu? Kwamba kuna watu yasemekana wamekiuka...
  16. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

    Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita Kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika 'Kifo' huwa hakina 'Hodi' na ikipangwa imepangwa tu, usiihusishe 'Siasa' na Kazi ya Mwenyezi Mungu

    "Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika. ITV Tanzania Hata kama hawa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: CHADEMA kwa siku tisa zilizobaki itafanya mikutano 450 ndani ya majimbo 45

    Kuna kimbunga kinakuja maana Katibu mkuu wa CHADEMA ameandika ifuatavyo: Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Taarifa tulizo nazo zinaonyesha Kampuni yenye makada wa CCM ndiyo itachapisha karatasi za kupigia kura...

    Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ikifanya manunuzi mbalimbali ya vifaa vya Uchaguzi bila kuhusisha vyama wala Umma. Amesema Machi 09, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitangaza kwenye vyombo vya...
  20. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu shughulika na kuhubiri Sera zinazoenda kuondoa kero za watu, malumbano yatakutoa kwenye reli

    Ukiwa kiongozi jitahidi Sana kutoongozwa na hisia au chuki. Watu wa Mpira wanajua jinsi ya kumfanya mpinzani awe na hasira ili akose utulivu mchezoni. Unamkumbuka beki kisiki Juma Nyoso au Forward Mkolofi Diego Costa. Sio lazma ujibu au ulumbane kila kitu muda NI machache Sana. Ukipita sehemu...
Back
Top Bottom