jirani

Actihema jirani is a species of moth of the family Tortricidae. It is found in Uganda. The habitat consists of open spaces close to mountainous rainforests.
The wingspan is 12–15 mm. The forewings are bicoloured. The basal half is fuscous intermixed with brown scales and with black marks and the distal half is whitish. The hindwings are light fuscous, with darker transverse striae.

View More On Wikipedia.org
  1. Bexb

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni Mji Mwema au jirani

    Habari ya asbuhi wakuu. Ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kigamboni kuanzia Mji mwema kuja uelekeo wa Maweni, hadi kwa Mwingira. Ninahitaji iwe na vigezo vifuatavyo: 1. Vyumba viwili vya kulala ambapo kimoja kati ya hivyo kiwe self contained. 2. Kuwe na sebule 3. Public toilet ndani 4...
  2. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu jirani yangu sasa nimemvumlia vya kutosha

    Habari Wana JF? Kiufupi mimi ni baba wa familia, nimejaliwa mtoto mmoja. Twende moja kwa moja kwenye mada. Nyumba ninayoishi nimepanga wapangaji tupo wanne hakuna bachela, sasa kimbembe kuna huyu jirani yangu mmoja mke wa mtu, kaolewa ni mke wa pili kwa mshikaji jamaa noti anazo. Toka...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Prof.ndalichako amrisha watoto wote waliotimiza miaka 7 waingie shule walizo jirani nao.

    Matakwa ya rushwa ndogondogo za kipuuzi yametapakaa katika shule nyingi nchini kama njia ya kujipatia chochote Kwa wahusika, N.b,matatizo yao au mapungufu madogo madogo yatatatuliwa polepole baadae!
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Anguko la CCM lipo jirani?

    Kwa muda mrefu sasa baada ya kifo cha Hayati Magufuli tumeshuhudia minyukano ya wazi ya kutokukubaliana baina ya Makada wa CCM kuhusu mwenendo wa baadhi ya mambo yawahusuyo wao kwa wao. Hivi karibuni kwa mfano Makada na waliopata kuwa Katibu wa Nec na Uenezi wa chama kile ndugu Nape Nnauye na...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mbona kama vile kwa jirani kunawaka moto? Au Bado ni Moshi tu?

    Kuna Mwananchi kamwaga Mafuta kwenye moto, unazidi kusambaa chini kwa chini. Kila Kuni inataja "zambi" za mwenzie... Huenda week ijayo Ikawa shubiri kwa baadhi ya "wahanga". Je ni Nini hatma ya "Wahamiaji"? Watawapaje hifadhi wakati moto unawaka nyumba nzima?? Kuna moto huko....
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Twiga wetu wa Barrick azidi kurefusha shingo yake, atanuka, anenepa na kuzidi kutanua! Anunua mgodi wa jirani kwa $ Milioni 6, kuinvest $ Milioni 9

    Wanabodi, Wale wasoma kizungu, nendeni moja kwa moja jikoni, Barrick’s Bulyanhulu Acquires Highly Prospective Licences in Tanzania Kampuni ya Twiga Minerals Corporation (“Twiga”), ambayo ni joint venture kati ya Barrick na serikali Tanzania, kupitia mgodi wake wa Bulyanhulu Gold Mine Limited...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni kero zipi uliwahi kupitia kwa kuishi na majirani wasumbufu/wakorofi?

    Kuna kipindi niliwahi kupanga nyumba hapo zamani, ilikuwa na miti mingi yenye matunda ndani ya fensi, nikaja kuambiwa kuna mtu huwa anakuja usiku nikizima taa anaruka ukuta anachuma matunda (asante kwa jirani yangu mzaramo alinijuza hili). Siku ijayo usiku ulipofika nilimwambia wife azime taa...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

    Watu wanne (Wanawake 2 na Wanaume 2) wameripotiwa kufariki dunia huku wengine 17 wakijeruhiwa baada ya jengo lililokuwa linajengwa eneo la Goba kwa Awadhi Jijini Dar es Salaam kuangukia nyumba za jirani Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema wanaendelea kuangalia iwapo kuna wengine...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Moto jirani na hosteli za UDSM wateketeza vibanda vya wafanyabiashara

    Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umeteketeza vibanda vya wafanyabiashara vilivyopo kando ya barabara ya kuelekea katika hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Moto huo ulianza leo Ijumaa Novemba 12,2021 saa 2 asubuhi lakini kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilifika eneo...
  10. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Apartment Mbezi,Kimara na maeneo jirani

    HYabari wakuu Nahitaji bajeti maeneo hayo :Mbezi,kimara, goba, Malamba mawili Bajeti kwa mwezi: 150,000 hadi 180,000 Piga 0713 039 875
  11. Maleven

    JamiiForums Tanzania Unaishi vipi na jirani anayependa dezo na kuombaomba?

    Najua jirani ni ndugu wa karibu ila kuna mengine yamezidi. Jirani alikuwa anakuja kuomba chaji nikaona sio kesi nimenunua nyingine nikamuachia atumie. Bado basi yake imeharibika hana mpango wa kuitengeneza wala kununua nikaona sikesi usumbufu umezidi nichukue nyingine, sasa naona haajiongezi...
  12. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania TARURA huu ni uhuni na usaliti kwa kata ya Kitunda, Mzinga na maeneo jirani

    Kwakweli inasikitisha kweli kwa kinachofanywa na TARURA katika barabara za Kata ya Kitunda, Mwanagati na maeneo jirani na kata hizo naweza kusema ni uhuni na kutukosea wananchi. Wameweka bango kubwa la ukarabati wa barabara na kushangaza wamepitisha greda na kumwaga kifusi cha vumbi. Hata kama...
  13. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyo-date na jirani yangu bila kujua

    Miezi kazaa imepita, nilikuwa Dar es salaam kwa mishe mishe; mida ya saa nne usiku baada ya kupata chakula na kinywaji nikawa 'bored' na mazingira ya hotel, nikaona sitendei haki chumba kile kuwa peke yangu, ndipo nilipochukua 'laptop' yangu nakuingia mtandao fulani wa 'dating', na kuanza...
  14. msani

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vita ya Jirani na Utalii Tanzania

    VITA YA JIRANI NA UTALII TANZANIA Lazima tuingie gharama ili kuitangaza Tanzania na kuwavutia watalii Tanzania. Pamoja nan chi yetu kuwa na vivutio vingi vya utalii, yani vingi sana na nikivitaja hapa nitaishia kuvitaja tu hadi kuchoka kuandika, lakini ukweli ni kwamba tuna idadi ndogo ya...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Babati, Manyara: Amuua jirani yake aliyemtuhumu kuwa anamloga

    Mkazi wa Kijiji cha Mutuka Wilayani Babati Mkoani Manyara, Samson Daudi (26) anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua Peter Buu (48) akimhusisha na imani za kishirikina. Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Manyara, Grafton Mushi amesema leo Septemba 7, 2021 kuwa tukio hilo limetokea juzi kwenye...
  16. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mdada nimueleweje?

    Mwaka mmoja uliopita, nilimtongoza mdada wa jirani hapa, nilimwomba namba akanipa, siku ingine tulivokutana nlimweleza nia yangu ya mimi na yeye tuwe kwenye mahusiano ya kimapenzi, akanikataa katakata kwa kusema tayari ana boyfriend na hawezi kuchanganya wanaume wawili nikamwelewa, wala...
  17. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo za nje wa Kenya amewasili Mogadishu kwa mazungumzo na jirani

    Hakuna nchi ambayo Kenya imekuwa na mahusiano hasi nayo kushinda Somalia. Nafurahi kuona hatua zikichukuliwa na pande zote mbili kurudi mezani na kufanya mazungumzo. Mazungumzo ni muhimu katika kuleta upatanisho kati ya nchi hizi mbili.
  18. Orketeemi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anguko la Simba lipo jirani

    Wadau wa soka Tanzania salami kwenu. Kwa waliofuatilia press mbili , moja ya Mo Dewji siku anaonesha Hundi ya Bilion 20 na press ya Leo ya Semaji Lao Haji Manara watakuwa wameona kitu kinaenda kutokea Msimbazi na anguko Lao lipo jirani Kwa sababu zifuatazo. 1. Uwekezaji wa Mo Dewji pale Simba...
  19. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amenilazimu niweke mafuta ya elfu 10,000 kwenye pikipiki ili nipeleke Tsh 2,000,000 Kijiji jirani

    Nawasalimu wanajamvi wote hapa javini, Kwanza naomba nianze kwa kunukuu maneno ya waziri wa fedha Mr Mwigulu alietuambia watanzania kwamba,"kama mtu anataka kuhamia Burundi kwasababu ya tozo kwenye miamala na ahame". Ndugu zangu leo nimelazimika kupoteza muda wangu ili mradi tu nikwepe kulipa...
  20. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anatusumbua kwa kelele mpaka nashindwa kulala au kupumzika

    Habari wadau..! Jirani yangu ananisumbua sana kwa kelele nashindwa hata kupata usingizi . Nimeanza kupata msongo wa mawazo kwa kelele zake ,nahisi kuchanganyikiwa. Kiukweli amekuwa kero sana,kuna mda nawaza kununua dumu la petrol kama Grace maana amezidi kunikera yaani ningkuwa na chuma kama...
Back
Top Bottom