Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni Mji Mwema au jirani

Bexb

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
655
1,390
Habari ya asbuhi wakuu. Ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kigamboni kuanzia Mji mwema kuja uelekeo wa Maweni, hadi kwa Mwingira.

Ninahitaji iwe na vigezo vifuatavyo:

1. Vyumba viwili vya kulala ambapo kimoja kati ya hivyo kiwe self contained.
2. Kuwe na sebule
3. Public toilet ndani
4. Budget isizidi laki 3 (300,000/-)
5. Isiwe mbali sana na barabara
6. Iwe na fance na parking

Naomba sana kama wewe ndiye MMILIKI basi unitafute maana madalali wananipasua na hiyo hela ya mwezi mmoja na hali sio nzuri.
Call/WhatsApp 0755963775
 
Nashkuru sana wakuu, tayari nimepata nyumba.
 
Hongera mkuu naomba uni pm namba za dalali aliekutafutia nyumba mitaa hio..ningependa anitafutie na mimi pia.
Sipitia kwa dalali mkuu, nilibahatika toka kwa mwenye nyumba mwenyewe.
Pia it was beyond my expectations maana nilipata nyumba yenye rooms tatu za kulala ambapo moja ni master, sebute kubwa sanaaa, jiko, store, fanced halafu parking hata gari 8 ni hapo Maweni jirani na G5.
 
Kisota iyo
 
Back
Top Bottom