jirani

Actihema jirani is a species of moth of the family Tortricidae. It is found in Uganda. The habitat consists of open spaces close to mountainous rainforests.
The wingspan is 12–15 mm. The forewings are bicoloured. The basal half is fuscous intermixed with brown scales and with black marks and the distal half is whitish. The hindwings are light fuscous, with darker transverse striae.

View More On Wikipedia.org
  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kuna Jambo Uongozi uliopo madarakani usipoangalia linaenda kutokea kama la 1992 kwa Jirani yetu

    Amani muswano. Tupo chungu cha tano leo ndugu zangu ni kasi ya ajabu sana hii. Nafuatilia siasa za jirani zetu hapo Kenya, kuna mambo yanafanyika siyo ya kistaarabu kwa kweli. Naona huyu mujamaa makamu wa Rais ndg Rigathi Gachagua hana furaha anapoona wakenya wana amani. Leo bana kuna...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tanzania kutoa misaada kwa nchi jirani ni kusimamia sera yake ya mambo ya nje

    Katika siku za karibuni tumeshuhudia Tanzania ikikabidhi "misaada" ya kibinadamu kwa nchi zilikumbwa na majanga ambazo ni Malawi ambayo ilikumbwa na kimbunga Freddy pamoja na Uturuki ambayo ilikumbwa na tetemeko kubwa la ardhi lililopelekea uharibifu mkubwa wa mali na mazingira. Nchini Malawi...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afikishwa mahakamani kwa kuwaingilia Mbuzi wa jirani kimwili

    Mkulima na mkazi wa Kijiji cha Naibili wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro, Emmanuel Kilenga ( 22) amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Siha Machi 17, 2023 akikabiliwa na shtaka la kuandama wanyama kesi iliyosajiriwa kwa namba CC 35/2023. Akisoma mashtaka mahakamani hapo Mwendesha Mashtaka wa...
  4. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Jirani amezoea kuniita baba

    Kuna Jirani yangu ana mtoto wa miaka mitano ni wa kike. Ni mtoto muongeaji afu ni mchangamfu Sana, tumezoeana Sana nikirudi kwenye mishe mishe au nikienda dukani lazima nibebe zawadi kwa ajili yake. Shida mtoto ameanza kuniita baba na akiulizwa na mtu baba Yuko wapi ananionesha mimi. Je...
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mbinu zipi wamezitumia Wakinga kuwa wafalme Kariakoo?

    Hapo zamani wafanyabiashara wengi wakifika kariakoo kujumua / kufunga mizigo kwajili ya kwenda kuuza mikoani ama nchi zilizotuzunguka walifikia maduka makubwa ya wachaga na wapemba ukiachana na wenye asili ya asia, Kwa sasa hali ni tofauti maana jamii ya wakinga wanamiliki share kubwa ya soko...
  6. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu ni mganga, anatufanya tusilale usiku

    Ni mwaka na miezi 2 tokea nimeanza kuishi maeneo haya mwazoni tulikuwa tunaishi vizuri, sababu Mimi napenda maeneo yanayotulia makelele sipendagi kabisa. Miezi 2 nyuma Jirani yangu aliuza nyumba, yake mtu alionunua Ile nyumba hatumfahamu shida imeanza wiki ya pili sasa usiku hatulali, ni...
  7. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wazazi tuwafundishe watoto wetu upendo

    Mtu mmoja aliniuliza kitu gani miongoni mwa vitu ambavyo najutia maishani..nilimjibu kitu fulani lakini leo napenda kujibu hapa kushare na wengine labda inaweza kusaidia kubadili mitazamo yetu kuhusu maisha. Binafsi najutia tabia yangu fulani ya utotoni...tabia yangu na ya baadhi ya rafiki...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Rais wa Kenya Ruto aliikuta Kenya ina Deni Kubwa kutoka Nairobi hadi Johannesburg wa Jirani alikuta Deni la wapi na wapi?

    "Kwa Miezi hii Mitano tu nimefanikiwa Kupambana na Uchumi wa Kenya kwani Serikali iliyopita imetuachia Deni Kubwa la Urefu wa kutoka hapa Nairobi hadi Johannesburg" amesema Rais wa Kenya Ruto. Chanzo Taarifa: Radio One Nipashe GENTAMYCINE sijashangaa sana kwani kuna Rais wa nchi moja (...
  9. Jeff

    JamiiForums Tanzania Kutumia gari yenye plate number za nchi jirani

    Wadau habarini za leo Naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe nmaba kwa kufanya usajili? Ni taratibu zipi zinatumika kutumia gari hiyo hapa nchini? Mana niliwahi kusikia kuwa...
  10. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana PhD yake katika maisha yake Sasa Kama ndio hivi. Nina PhD ya kumvumilia jirani yangu mkorofi tangu 1970

    Kama ndio Hali ilivyo ya kujigawia PhD Kama akina Tale Tale ambao nao wanajitambulisha Bungeni eti anajiita Dkt.Tale Tale, Basi Kila mtu ajipe udaktari kwa sababu kila mtu amepitia changamoto na kuvumilia Mambo mengi maishani. Hivyo kila mtu ajiite Dkt Sasa. Mimi naitwa Dkt. Kyambamasimbi Nina...
  11. Guru Guja

    JamiiForums Tanzania Nimemkuta jirani yangu anazunguka nyumba yangu usiku

    Mimi nimepanga kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vya uwani. Mimi nafanya biashara nina maduka ya nguo Kariakoo nimepaga bado sijamaliza ujenzi kwangu Madale. Usiku wa leo niliamka ghafla nilipoona kama kivuli kwenye kioo cha dirisha nikasogea polepole kuangalia kama kuna mwizi nikashangaa...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini nchi jirani wanakabiliwa na wingi wa Yesu feki?

    Nchi hii jirani yetu imekuwa ikikumbwa na wimbi la ongezeko la ma Yesu feki kila kukicha.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kipa Siku zote tu yuko jirani na Manara na Matajiri wa Salamander Posta mnategemea asituumize Kimakusudi?

    Mwambieni kama akitaka kufanya Utafiti wa mwana Simba SC gani ANAMCHUKIA/ HAMPENDI kwa Upuuzi wake anaotufanyia kwa Kutumika na Maadui zetu Wakubwa mwambieni Mimi GENTAMYCINE ni Mmoja wao na tena naweza hata kuwa ni Kinara. Kazi Kubwa anayoijua na kuiweza ni Kumroga tu Kipa Mwenzake kwa Mganga...
  14. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania ni ipi?

    USA wana Canada, Nigeria wana Ghana, Australia wana New zeeland. Namaanisha yule jirani ambaye hata ukienda kumtembelea unahisi uko nyumbani tu haubaguliwi. Mila zinaendana. Kwa Tanzania ni nani? Kenya? Uganda? Rwanda? Burundi? Malawi? Msumbiji?
  15. Faana

    JamiiForums Tanzania Jirani Zetu Hawajanyang'anya Mlima Kilimanjaro Pekee Hata Waimbaji

    Sina haja ya kueleza hii inajieleza
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Amri Kuu Kuliko Zote ni Upendo! Mpende Mungu, Ipende Nchi, Wapende Viongozi, Mpende Jirani Yako Kama Nafsi Yako!. Jirani yako ni Nani?, Unampenda?

    Heri ya Krisimasi, Merry Christmas Sikukuu ya Krisimasi kwa mwaka huu imedondokea siku nzuri ya Jumapili! Hii ni Makala ya Jumapili ya Krismasi. Kwa mafundisho ya dini ya Kikristu, tuliyopewa na huyu Masiya aliyezaliwa leo, Bwana wetu Yesu Kristu, aliulizwa amri kuu kuliko zote ni amri gani...
  17. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Nimemkuta mke wa jirani yangu guest house akienda kunyanduliwa

    Huyu jirani yangu tunaheshimiana sana yaani katika watu safi hapa kitaa ni huyu jirani yangu, maisha safi Hana njaa na ni mtu tunapeana advice ya hapa na pale yaani Kwa kifupi jamaa ni mtu mmoja cool sana. Jana nimekutana na jamaa tumeongea mengi sana na alinambia anataka kujenga shopping mall...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mtego wa wizi umemnasa mtoto wa jirani yangu je nitaishi kwa amani mtaani?

    Mwaka huu pekee nimeibiwa mara tatu,walengwa ni kuku wangu maana nina uzio wa michongoma hivyo vibaka huongia ndani ya uzio kirahisi. Ndipo rafiki yangu akanishauri kitu kuwa tuweke umeme live kwenye vitasa vya mabanda ya kuku. Japo hairuhusiwi nilikubaliana nae tukaunga imeme live...
  19. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Sikia kwa jirani ila constipation ni balaa

    Habari wakuu natumaini wote ni wazima. Iko hivi nilitoka nikaenda village ndani ndani kabisa kiasi kwamba hata huduma za kawaida kuzipata ni mpaka upande boda boda maana hata usafiri wa gari hamna na unakuta nauli ni kama 7000 hivi kama wakikuonea huruma basi ni 5000 kama unaenda na kurudi...
  20. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Jirani nimemchoka na siwezi muambia

    Habarini Mimi bhana naishi sehemu fulani hapa Dar sio ushuani nakaa ubalozi wa Marekani pale Sasa jirani yangu ni kero nikipika kuku anaomba, akisikia napika chochote kile anaomba Leo nimetoka zangu mihangaiko nimenunua nyama choma na kitimoto nikamwambia muuzaji changanya si najua ni...
Back
Top Bottom