jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Miti gani inafaa kupandwa kwenye makazi yaani nyumbani?

    Nielezee na jinsi ya kuipanda ikiwezekana tafadhali
  2. Jinsi ya kusogeza kitu bila kushika

    ninatamani sana kuweza kufanya hili jambo maana kuna video ya megician mmoja anasogeza vitu bila kushika nani atanisaidia Bado na search tutorial youtube
  3. Naomba Msaada jinsi ya kuwa mjanja ushamba umenizidia.

    Mimi BabaMorgan ni mshamba licha ya kuwa nimezaliwa jijini(Amana Hospital-Ilala) huko Dar es salaam ila kwa sasa naishi huku kaskazini magharibi ushamba wangu unaanzia kwenye lafudhi licha ya kuzaliwa Dar es salaam kitu cha kustaajabisha nina lafudhi ya kisukuma na ulimi mzito kiasi kwamba...
  4. Masada, Tatizo la Yellow Light of Death (YLOD) kwenye PS3, Chanzo na Jinsi ya Kuliondoa

    Wakuu Kwema? Ps3 yangu ina tatizo la kuwaka na kuzima hapo hapo, ambapo wenyewe wanaita "Yellow light of Death". Iliwahi kutokea mara ya kwanza mwezi November last year nikapeleka kwa jamaa flan hivi pale Machinga Complex wakachukua 50k kuliondoa. Sasa imetokea tena. Kuna mwenye kujua hii...
  5. Jinsi ya kujiandaa pale mwenza wako apatapo Mimba Kwa Vijana Masikini; ili Kupunguza Ugumu siku ya kujifungua na uzazi!

    JINSI YA KUJIANDAA PALE MWENZA WAKO ANAPOPATA MIMBA KWA VIJANA MASIKINI ILI KUPUNGUZA HALI NGUMU WAKATI WA KUJIFUNGUA NA UZAZI na MALEZI KWA MIAKA 10 Anaandika, Robert Heriel. Andiko hili lawafaa Sana Vijana wa Aina zote hasahasa Vijana Masikini. Andiko hili halitamuumiza yeyote, hivyo mtu...
  6. K

    Serikali iangalie utaratibu mzuri jinsi ya kuwafidia Wakandarasi

    Wakandarasi wengi wa Tanroads na Tarura walipewa kazi kabla bei za vifaa vya ujenzi na mafuta kupanda. Ieleweke kuwa asilimia kubwa ya vifaa vinavyotumika katika ujenzi vimepanda bei kwa asilimia kubwa na bei iliyofikiwa kati ya Wakandarasi kwa sasa ni ya chini sana na kazi wanazofanya kwa sasa...
  7. Ushauri: Jinsi ya kujiandikisha kama Private Candidate kwa mitihani ya Kidato cha Sita

    Habari wakuu, Ninahitaji kujua jinsi ya kujiandikisha ku re-sit mtihani wa kidato cha sita. Na ipi inaweza kuwa rahisi kati ya kurudia mtihani ama kusoma kozi ya diploma na kuendelea zaidi mbele? Kozi zipi pia za diploma za muda mfupi mtu unaweza kusoma kwa matokeo ya form four ya div2. Asante.
  8. W

    Msaada jinsi ya kutumia free Facebook

    Sorry kwa usumbufu jamani nina shida nataka nijue jinsi ya kutumia free Facebook yaan niweze kuona picha natumia Facebook lite apk asanteni!
  9. J

    Naomba msaada wa jinsi ya kuweka global rom kwenye oppo a57

    Naomba msaada oppo yangu a57 ina chinnes rom nahitaji kuweka global rom, nipatieni maelekezo zaidi
  10. Imeandikwa muishi nao kwa akili, akili ya kwanza hii hapa jinsi ya kuishi na wanawake

    Habari wakuu Mwanamke kama namtongoza akiniuliza una mpenzi au mke ?? Nitamjibu kwa kujiamini kabisa ndio nina mke. Watu wengi wanadhani wakisema wanamke basi watakataliwa. Lakini majibu ni kinyume chake Hebu tutumie mfano wa duka lenye wateja wengi na lisilo na wateja, Duka lenye wateja...
  11. S

    Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana. Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya...
  12. Jinsi ya kuzuia tatizo la kuharisha safarini

    Tatizo la kuharisha safarini linatatiza sana na pia huabisha. Shida hii husababishwa na sumu zilizotengenezwa na bakteria au virusi uliowameza kwenye msosi. Ni jinsi gani ya kujizuia. 1. Usile vyakula vichafu hasa usiku kabla ya safari. Wengi wanaopata shida ya kuharisha safarini si sababu ya...
  13. Jinsi ya kuukata mnazi jirani ya nyumba bila hasara.

  14. Hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza tovuti yako binafsi/ofisi au kwaajili ya kujiingizia kipato

    Habari za sasa Mabibi na Mabwana, Matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vyema kabisa.. Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ✋ ANGALIZO: Popote utakaposhare post hii au kuihifadhi, tafadhali usibadilishe/usiedit chochote pia toa Credit kwa Muandishi UTANGULIZI Ikiwa unahitaji kufungua tovuti kwaajili...
  15. Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

    Habarini jamani, Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
  16. Msaada wa wataalamu jinsi ya kuondoa hiki katika simu

    Msaada
  17. Jinsi ya kupika Ugali mweupe wa mihogo

    Jukwa la mapishi silioni, ninatamani kuelezea jinsi ya kupika ugali wa mhogo na ukatoka mweupe na si mweusi kama bada tulilo lizoea. Bada ninapenda sana tena liwe na mboga ya kuku wa kienyeji apikwe chukuchuku. Back to the topic. Mhogo uliochemshwa na kuiva kabisa ukiwa bado wa moto unwekwa...
  18. Jinsi ya Kushughulika na Mtoto Mwenye Milipuko ya Hasira

    Shikilia msimamo wako. Ikiwa unampa mtoto wako kila kitu anachotaka kwa sababu tu analipuka kwa hasira, yaelekea ataendelea kufanya hivyo kila mara anapotaka kitu fulani. Kwa utulivu mwonyeshe mtoto wako kwamba hutalegeza msimamo wako. Elewa hali yake. Mtoto wako si mtu mzima. Kwa kuwa hajui...
  19. Mafunzo ya Jinsi ya Kuanzisha na Kusimamia Biashara Ndogo

    Habari za wakati huu; Kama wewe ni mfuatiliaji wa makala zetu basi utafahamu kwamba tumekuwa tukijitahidi kwa kadiri ya uwezo wetu kushea baadhi ya maarifa na taarifa ambazo tunazo kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali wadog na wakati katika kusimamia na kuendesha biashara zao.Wengi ambao...
  20. Changamoto ya Haki za Binadamu Zanzibar, somo latolewa kwa AZAKI jinsi ya kupambana

    Taasisi ya Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania (THRDC) imetoa mafunzo kisiwani Zanzibar kwa kujengea uwezo AZAKI visiwani humo juu ya namna ya ufuatiliaji, uandishi wa ripoti za haki za binadamu na utunzaji wa kumbukumbu. “Mafunzo haya yanakwenda kuwajengea uwezo namna ya kufuatilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…