jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unatamani kuanza biashara ya viatu lakini hujui pa kuanzia? Huu ndio mwongozo muhimu unaohitaji kabla ya kuwekeza fedha zako

    Biashara ya viatu kwa rejareja ni miongoni mwa biashara zenye soko kubwa kwa sababu viatu ni hitaji la kila siku. Watu hununua viatu kwa ajili ya kazi, shule, michezo, sherehe, safari na matumizi ya kawaida. Hata hivyo, mafanikio hayategemei kuwa na viatu vingi pekee. Unahitaji kuelewa wateja...
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nielekeze jinsi ya kupost kwa anonymous post hapa JF

    Nielekeze jinsi ya kupost kwa anonymous post hapa JF
  3. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa?

    Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa? Watu wengi huwekeza muda, fedha na ubunifu kujenga biashara zao, lakini husahau kulinda kitu cha kwanza kinachowatambulisha, ambacho ni jina la biashara. Fikiria hali hii. Umeanzisha biashara, umetengeneza nembo, mabango, kurasa za mitandao...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wakongwe tumekuja kuwaonyesha madogo jinsi ya kufanya

    Ngoma zetu zimebaki kuwa kama nyimbo za ukombozi, zimekuwa ngumu kufutika kabisa.. Tofauti na hizi zetu kama pipi tofi, zinayeyuka hata bila kumumunya
  5. bless on

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kulifanya Jokofu (fridge)Lako Lidumu Miaka 10+

    JINSI YA KULIFANYA JOKOFU (FRIDGE) LAKO LIDUMU MIAKA 10+ Watu wengi hununua friji na kuliacha tu jikoni hadi pale linapoacha kupoza. Ukweli ni kwamba, friji ni kama gari; lisipopata "service" ndogo ndogo, litakula umeme mwingi na kufa kabla ya muda wake. Hapa kuna siri 5 za kitaalamu za...
  6. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nafundisha jinsi ya kuagiza bidhaa china

    Watu wengi wanadhani kuagiza bidhaa kutoka CHINA ni kwa wenye mtaji mkubwa tu. Ukweli ni kwamba wengi wanakosa fursa kwa sababu hawajui pa kuanzia. Kwenye mafunzo yangu utajifunza: 📦 Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya chini 🏭 Jinsi ya kutafuta supplier wa kuaminika 💳 Namna ya kulipa salama 🚢...
  7. Dr Arshavin

    JamiiForums Tanzania Ongeza AURA Yako: Jinsi ya Kuheshimika Bila Maneno

    Jinsi ya kuongeza AURA yako (Define Aura As Ule Utulivu Wenye Nguvu Unaomfanya Kila Mtu Akuheshimu Na Kuhisi Uwepo Wako Bila Hata Wewe Kuongea Sana). 1. Ficha michongo yako, weka matokeo mezani. Kuropoka sana kuhusu mipango yako kunavuja nishati (energy) yako bure. Matokeo huwa yana sauti...
  8. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Fiverr na Kuanza Kuuza Ujuzi Wako

    FIVERR ni soko la mtandaoni linalokuunganisha na watu duniani kote wanaohitaji huduma hizo na wako tayari kulipia ukiwa tu na kipaji au ujuzi wowote, labda kuandika, kutafsiri, kutengeneza logo, kuhariri video, kusimamia mitandao ya kijamii, kurekodi sauti au hata kuingiza data. Leo nakupa...
  9. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Kwanini watu wanapata kitambi na jinsi ya kudhibiti uzito na kuzuia kitambi

    Nimejifunza mengi kutoka kwa huyu jamaa akieleza kwa kina na kwa lugha raisi jinsi ya kudhibiti uzito uliopindukia na kuzuia kitambi. Link ya video hii hapa...
  10. passioner255

    JamiiForums Tanzania Narudia tena kushauri Jinsi ya kuiokoa Tanzania

    Njinsi ya kuiokoa nchi yetu ni kuwaondoa wahuni wote waliopo Madarakani .watu hao wanaunda mpka vikosi vya kigaidi na wanasema hadharani na wanaachwa? Tuiokoea nchi yetu kwa kuwamaliza wahuni wote waliopo madarakani kuanzia juu bila huruma. Baada ya hapo turekebishe mifumo kama ya siasa na...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata wimbo

    Wakuu samahani Kuna wimbo WA Rhumba wa "Franco Luomba unaitwa Eli Kazho" Mwenye audio au video yake au anayeweza kunisaidia jinsi ya kuupata naomba msaada tafadhali maana nimetafuta sehemu nyingi nimeukosa
  12. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe

    Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe. 1. Mungu anaongea na wewe kupitia amani, Kama upo unapata amani kwenye roho yako pindi unapowaza au kupanga malengo fulani fahamu kuwa Mungu amekubaliana na hilo jambo. Jambo lolote kutoka kwa Mungu uwa alikufanyi kuchanganyikiwa, kukupa shinikizo au...
  13. Simeone

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata namba ya NIDA?

    Wakuu kwema, Umepita muda wa mwezi mmoja tangu nijiandikishe nida ili kupata kitambulisho cha Taifa, sijatumiwa sms na NIN na kawaida wanasema inachukua wiki 1 tu kutoa namba Mwenye kujua jinsi ya kuangalia kama namba imetoka au kujua maombi yapo hatua gani anielekeze. ASANTENI.
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Battery Degradation kwenye EV na Hybrid: Sababu, Athari na Jinsi ya Kuongeza Life Span!

    Wakuu, kwema? Leo tuongelee kidogo kuhusu battery degradation za hybrids (HEV na PHEV) na magari ya umeme (EV), especially used tunayonunua kutoka Japan. Ili kuelewa degradation ya hizi battery, tuanze na utangulizi basics wa EV, PHEV na HEV kwa kutumia mifano ya magari maarufu ya hapa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumshinda shetani

    Jinsi ya kumshinda shetani Shetani ni nani? Tafsiri ya jina shetani ni ‘mshitaki’ au ‘mchongezi’. Kazi yake ni kuwashitaki watakatifu mbele za Mungu. Jina lingine la shetani ni Lusifa, maana yake nyota ya alfajiri (Isaya 14:12). Jina hili Lusifa aliitwa kabla hajaasi, baada ya kuasi ndipo...
  16. masai dada

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujiunga bando kwenye pocket wifi ya Yas.....sijui ndio wanaita post paid, naomba menu yake

    Naomba menu yake please
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi kwa furaha na mkeo/mumeo Siku zote za maisha yenu.

    JINSI YA KUISHI KWA FURAHA NA MKEO/MMEO SIKU ZOTE ZA MAISHA YENU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba/Mume. 1. Nitaendelea kutoa elimu. Sipo hapa kumbadilisha mtu anayeishi maisha anayoyahitaji. 2. Nipo hapa kwa ajili ya wenye uhitaji wa kuishi maisha ya furaha, kuishi kwa amani wao na...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    MODE Naomba tuanzishe jukwaa la Spiritual,tumwage humu mambo ya nguvu za kiroho, spiritual powers,ili wana jf wawe na uwezo wa kutumia nguvu zao za kiroho,kunyoosha mambo yao,ikiwemo kuwa ma milionea,mabilionea, ma trillionea na ma multi milionea, multi bilioneo na multi trillionea kwa kutumia...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kumshawishi mtu afanye kitu unachokitaka kwenye Matangazo Yako, ujumbe wako nk kwa kutumia maneno haya matano

    Rafki mpendwa Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua Twende pamoja Neno la kwanza ni Neno WEWE Hili neno wewe Lina Nguvu zaidi kwenye Ushawishi kwa sababu Binadamu...
  20. masai dada

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mchele mzuri kuanzia kununua mpaka mapishi

    nimesumbuka kwa miaka mingi sana kupata mchele mzuri mchele wangu mimi nanunulia kwenye mastore ya mchele Tandika so nilikua nikifika pale naangalia wenye bei kubwa ndo nanunua..ndo nasema ni mzuri ila kumbe mchele mzuri wanauweka ndani. ukifika pale store...mwambie nataka Super...usiangalie...
Back
Top Bottom