comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,423
- 17,197
Natumia TRUECALLER
Naelewa mkuu, nimeleta hapa kuwakera machawa😂Ungekuja Jinsi TrueCaller inafanya Kazi wala Usingeshangaaa.
Wa-TZ washa-mark hiyo Namba Kama MATAPELI so popote itakapotumwa kwa Watumiaji wowote wa Truecaller inaandika hivyo
Operesheni kataa MatapeliNatumia TRUECALLERView attachment 3468201
Wewe sindio chura kiziwi halafu unacheka😅😅😅😅
Duh,Natumia TRUECALLERView attachment 3468201