jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina.

    Inawezekana kabisa CCM inazihitaji zaidi REFORMS kuliko hata Chadema na wenzao. Leo huko mkoani Simiyu, jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina. Wao wamesema wanamtaka mbunge wao, hawapigi kura za maoni siku ya leo hadi waletewe mbunge wao. Hawana...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi Jimbo la Kisesa waraka jina la Luhaga Mpina lirejeshwe

    SIMIYU: Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Kisesa wamekusanyika na kueleza hisia zao wakipinga uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina katika mchakato wa awali wa uteuzi wa Wagombea. Wamedai kutoridhishwa na majina yaliyopitishwa na kutoa...
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Jina lako lina-trend wapi leo?

    Leo, jina lako lina-trend katika jukwaa lipi? La Siasa, la Habari na Hoja Mchanganyiko au International Forum? Ukitubu leo na kuamua kuokoka, jina lako lita-trend mbinguni. Na huko sio ku-trend tu, itakuwa Breaking News itakayowafanya malaika wote washangilie. Luka 15:7 "Kadhalika nawaambieni...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vituko vya Aggrey Mwanri akiomba kura kwa Wajumbe CCM

    Vituko vya Aggrey Mwanri ambaye aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati akiomba kura kwa wajumbe wa CCM kwa ajili ya kupata ridhaa ya kuwa mbunge wa Jimbo la Siha Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro Soma Pia: GE2025 - Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni Chanzo: ITV...
  5. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wana jamii nisaidie jina la huu mti kibongo kibongo, kwa kiingereza unaiea waburgia ugandesis

  6. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakubwa nisaidieni kujua jina la mti huu

    Kwa kiswahili tafadhari
  7. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Je ungekubali Dar es Salaam irudishwe jina lake la zamani la Mzizima?

    je ungekubali Dar es Salaam irudishwe jina lake la zamani? Mzizima?
  8. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidie kujua jina la huu mti kwa lugha yetu ya kiswahili

  9. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua jina la huu mti

    Kwa kiswahili itakuwa poa sana wakuj
  10. L

    JamiiForums Tanzania "Fungua Kampuni Badala ya Jina la Biashara"

    Huu ulikua ni ushauri wangu wa mwisho kumpa AISHA juzi mchana. Kwenye thread hii nitakuonesha faida za kufungua Kampuni badala ya Jina la Biashara kama nilivyomwambia AISHA. 1. Limited liability Kampuni ni legal person na inajitegemea kutoka kwa Mmiliki wake, hivyo kwenye event kama ya kulipa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chato: Wananchi wafurahia jina la Dotto James Ngosha kukatwa. Colnell Magembe apigiwa chapuo

    Ndoshi, alena kishimbhe, alena thuja Kila kona wamefurahi kuanzia stendi ya zamani mpaka vijijini huko Bukamila Ilemela na kwingine kote. Alipokuwa katibu wizara ya Fedha alidharau sana watu Colnell Magembe huenda akawa Mbunge wa Chato. Source: Phone caller
  12. Niite Profesa

    JamiiForums Tanzania Utumishi Niliingia Oral Interview Lakini Bado Sioni Jina

    Nilibahatika kufaulu written interview ya kule sekreatieti ya ajira na nikafanya Oral interview. Lakini hadi sasa sijaiona jina langu kwenye mikeka inayotoka. Mwalimu wa Primary ngazi ya diploma, na pia naona kila mkeka unaotoka watu wa diploma ya primary wanatusahau kabisa ila wale wa...
  13. kyagata

    JamiiForums Tanzania Mtaani kwako unafahamika kwa jina gani?

    Mimi mtaani kwangu jina langu maarufu ni Big,wengine wanapenda kuniita Natorius. Wewe je?
  14. MjukuWaBabu

    JamiiForums Tanzania Kuelekea agosti 28 jina moja tu litaimbwa majukwaani "Samia, samia, samia"

    SAMIAAAA SAMIAAAA SAMIAAAA Ukibisha hamia Burundi in Mwigulu's voice.
  15. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Je, hili jina linafaa kwa mtoto wa kiume ?

    Ndugu zangu . Je, ni sahihi kumuita mtoto wa kiume "JOHAN" naombeni pia faida na hasara zake katika jamii?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wahubiri wakristo mnaolitaja jina la Yesu bure redioni acheni mara moja!

    Huu ni upumbavu na kudhalilisha jina la Yesu. Yesu ni mmoja na jina lake likitajwa mara MOJA linatosha. Upuuzi huu mnaoufanya redioni ni kumdhalilisha Yesu. Kwa jina la Yesu....bla bla bla ×100, kwa damu ya Yesu..... blah blah blah x70, kwa damu ya mwanakondoo.... blah blah blah x 50. Acheni...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kubadili Jina la Kampuni au Biashara ambalo lilisajiliwa BRELA tayari

    Kuna wakati unafika kwa sababu fulani unaona ubadili Jina la Biashara Yako au Kampuni yako, kwa sababu zozote zile hizi ni hatua za kufuata; 1. Sababu za kubadili Jina la Biashara Either unafanya -Rebranding -unataka jina linaloendana na huduma zako za sasa Etc 2. Angalia kama jina...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu Anaswa Miguu na kukatwa Jina na Kamati ya siasa ya Mkoa. Asubiria Maamuzi ya Kamati kuu.

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa mateso Ya moyo kibinadamu baada ya Jina lake kukwaa Kisiki na kukatwa katika vikao vya mchujo kamati...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa kwa nini lilipelekwa Jina Moja la Samia

    Nilikuwa najiuliza Pamoja na; Mabango yote nchi nzima Fedha zote za miradi zimetoka kwa mama Machawa kila kona ya nchi Maendeleo yote haya mpaka tumezishinda nchi za Ulaya Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jina moja? Kwa nini wengine wasingeruhusiwa ili wamchangamshe kidogo kisha apige 99%...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo la Kisesa wamesema NRNE, kwamba bila jina la Mpina, hakuna uchaguzi wa mchujo

    Salaam ! Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa. Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon! NRNE 💪 🔥 Karibuni 🙏
Back
Top Bottom