jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kumpa mnyama jina lako kwa Tsh Milioni 5

    Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) imesema gharama za kuasili wanyama ni TZS milioni 1 kila mwaka na kumpa mnyama jina lako TZS milioni 5. ---- Baada ya wanyama kupewa majina ya watu maarufu wa nje ya nchi, Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (Tanapa) limeanzisha utaratibu maalum wa...
  2. JamiiForums Tanzania Twitter kubadilishwa jina na mwonekano kuanzia leo, Itaitwa "X"

    Ni taarifa iliyotolewa na mmiliki wa Kampuni hiyo, Elon Musk ambaye amesema Twitter itaitwa 'X' na itapatikana kwa tovuti ya 'x.com', pia, 'Logo' ya Ndege wa Blue itaondolewa rasmi na kuanza kutumika logo ya 'X'. Aidha, Musk amesema mwonekano wote wa Mtandao huo utakuwa umebadilika kufikia...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwenye spotlight: Unaikumbuka kesi ya Rais Magufuli? Clip yake haitaji "Rais Samia". Inataja "Rais" na "mama" tu

    Ukisikiliza ile clip inayodaiwa na Nape kuwa Tundu Lissu kamtukana Rais na ghafla kwa kufikiri ni kosa, DCI Kingai kamwita Tundu Lissu ili amhoji na bila shaka ikiwezekana afungulie mashitaka, basi utagundua mambo kadhaa kuonesha kuwa walioindaa wana akili sana na kina Nape na Kingai bila...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa logo ya jina la biashara

    Salamu wakuu, Najikongoja kuamka baada ya kupata anguko na ajali pia,nimeregister jina la baishara BRELA (wazawa general supplies limited). Naomba msaada kwa mdau yoyote kunisaidia kutengeneza logo wakuu. WhatsApp number 0742666736 kwa mawasialiano zaidi. Shukrani sana, Mungu awabariki!
  5. JamiiForums Tanzania Kataa katakata mkeo kutoa jina la mtoto wenu wa kiume

    Sio kila kitu usubiri kufundishwa mkuu, changamka. Yaani hata Kama mna watoto 100 wa kiume, majina yote yatolewe na baba. Sio mbaya mara mojamoja hapa na pale mke kutoa majina kwa watoto wa kike. Nimeona mara kadhaa ugomvi wa kuvunja ndoa baada ya Kina baba kugundua asili ya majina ya watoto...
  6. JamiiForums Tanzania African Football League zamani Africa Super League kuanzia Dar es Salaam Oktoba 20, 2023

    Michuano ya African Football League ambayo mwanzo ilipewa jina la Africa Super League kuanza kutimua vumbi lake mwezi wa kumi, na Mchezo wa ufunguzi ni ndani ya Tanzania katika Jiji la Dar es Salaam. Katika Michuano hiyo Mikubwa inayoanza kwa mara ya kwanza mwaka huu nchi ya Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Ni jina Gani la utani la mchezaji lililokuvutia msimu huu?

    1. Diarra screen protector 2.djuma shaban soda ya bemba 3.lomalisa wazir wa water 4.job big brain 5.mwamnyeto super captain 6. Bangala mzee wa kaz chafu 7.moloko Ak47 8.aucho doctor wa ⚽️ 9.fiston mayele predator 10.aziz ki mwamba wa wagadugu 11.morrison toto tundu 12. Kibwana carterpiller...
  8. JamiiForums Tanzania Ukisikia jina la beki Kelvin Yondan unakumbuka wapi?

    haya leo tumkumbuke legend mwenyewe Kelvin Yondan Engineer Cotton Juice Pamba. Unamkumbuka Yondan kwa lipi?
  9. JamiiForums Tanzania Nani kaua kwa michano katika hii ngoma mpya ya Izzo Bizness inayoitwa "Nilipotoka”

    Wazee wazee wazee, recently hizo bizness kaachia chuma ambacho ndani yake kuna wakali kibao wa hip hop waliotupia verse zao. Versa ya kwanza kabisa unakutana na one the incredible akiwa kafanya yake, verse ya pili anaipokea izzoo naye katupia swagger zake pale verse ya tatu ni mnyama chaba...
  10. JamiiForums Tanzania Nimebaini: Siku hizi watu hawatumii tena jina Tanzania bali wanatumia Tanganyika

    Kuna trend nimeona hivi karibuni ambapo watu wameacha kabisa kutumia jina la Tanzania, na kwa sasa wanatumia TANGANYIKA kama mbadala. Je, ni kwanini Tanganyika imechelewa kutumia mfumo huu ambao wale wa Tanzania visiwani wamekuwa wakitumia miaka yote? Nini hasa kilisababisha watanganyika kuona...
  11. JamiiForums Tanzania Jina la Dkt. Kimei lipo mezani

    Hilo jina linajadiliwa mno kwenye corridor za juu huko na upinzani ni mkubwa mno baina yeye na aliyepo sasa kwenye mambo ya (njuruuu)ni nani baina yao akawe boss wa wizara mpya inayoenda kuanzishwa hivi karibuni ihusuyo mambo ya mipango. " Ilikuwa yule mvuka maji msaidizi wa jamaa angepandishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Uzi wa kubuni jina replica ya jina maarufu.

    Mfano Mpwayungu Village // mpwanguyu vigalle. Nyani Ngabu // Nanyi bangu. GENTAMYCINE // gentacymine. Kichaa Msafi // chaki safi. mzabzab // mnzabinzabi
  13. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia ilishawahi mkataa Balozi wa Pakistan sababu ya jina lake ambalo ni tusi kubwa

    Diplomat Whose Name Is Dirty Word in Arabic Rejected as Saudi Ambassador story Published January 14, 2015 1:50am EST A high-ranking Pakistani diplomat reportedly cannot be appointed ambassador to Saudi Arabia because in Arabic his name translates into a phrase more appropriate for a porn...
  14. JamiiForums Tanzania Kama asingekosea kutaja jina langu, ningekuwa na hali gani sasa?

    Nikiwa maeneo ya mikoa ya kusini, baada ya kumaliza harakati zangu za hapa na pale, nikaamua kuingia kiwanja kimoja kwenye mida ya saa nne usiku angalau niweze kupata 'vibe'. Baada ya kufika kaunta, nikaagiza mvinyo kama kawaida yangu huku nikiangalia kule na pale angalau tu, niweze kuona maua...
  15. M

    JamiiForums Tanzania X wangu kamwita mwanaye jina langu

    X wangu kawa single mother na kampatia mwanae Jina langu, mwaka 2014 ni mwaka nilipata KAZI ya kuajiriwa ya Serikali, kabla ya kupata ajira nilipitia msoto wa kibabe Sana, pamoja na marehemu baba yangu kuacha Mali za kiasi, bi mkubwa hakuniamini kabisaa na alikuwa aniona chenga sana so bada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ilikuwa wa kubadili jina la Tanganyika

    Wadau naomba niseme kitu ila nikikosea mnirekebishe msinitukane.NCHI ya TANGANYIKA ina Ardhi na Watu wake vivyo hivyo na NCHI ya ZANZIBAR. Mwaka 1964 NCHI hizi mbili ziliungana na Kuzaliwa NCHI ya 3 ambayo ni TANZANIA. Binafsi niliamini MUUNGANO ule Ungezaa NCHI MOJA ambayo ni JAMHURI ya...
  17. D

    JamiiForums Tanzania NIDA wamekosea jina kisha wanataka mtu akafanye kiapo

    Habari wandugu na poleni na kazi, Mdogo wangu alifanya usajili wa NIDA na kukamilisha taratibu zote sasa namba ilivyotoka akiangalia online au kupitia mitandao ya simu anakuta limekosewa herufi moja. Alivyouliza NIDA wakamwambia apeleke nyaraka zake kama cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz tunakutaka mara moja uache kujihusisha na jina la Simba wakati unashabikia Utopolo (Matembele)

    Kinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisi wa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond Platinumz. Simba Sc aihitaji macelebrities wa mchongo kutoka hapa Bongo wanaonunulika kwa vipande...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kurekebisha jina la NIDA

    Wakuu samahani, naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakati wa kujisajili NIDA badala ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti. MSAADA TAFADHALI, NI HATUA GANI ZA KUFUATA
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kurekebisha jina NIDA

    Wakuu samahani naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakatai wa kujisajili NIDA baapa ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti. MSAADA TAFADHARI NI HATUA GANI ZA KUFUATA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…