jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jina zuri la mtoto wa kike

    Wakuu habari za uzima? Poleni na mihangaiko ya kuendelea kulijenga taifa letu. Wakuu naomba suggestion ya jina la mtoto wa kike zuri. Ahsanteni.
  2. JamiiForums Tanzania Samia tangu arithi Urais 2020's, Jerry Silaa Pekee ndio mtendaji, Wengine wapeni jina!

    Jerry Slaa pamoja na mapungufu yake kisiasa hasa kulaumiwa kwa ubovu wa Barabara za Kivule na Gongo la Mboto kitu ambacho kinahitaji bajeti kubwa na inatoka kwenye wizara na ni nje ya uwezo wake, amejifumua uozo na urasimu uliopo kwa makamishan wa ARdhi Pale Wizarani Dar es salaam na Kibaha...
  3. JamiiForums Tanzania Catherine Magige hajui jina wala jimbo la Luhaga Mpina

    Nimeshangazwa sana na video ya mbunge wa vijana (CCM) Catherine Magige ambaye hana hata jina katika nchi hii akimshambulia mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM). Katika video hiyo, ameonekana akimuita Luhanga mpina jambo ambalo dhahili linaonesha hafahamu jina lake labda kwakuwa sio mfuatiliaji...
  4. JamiiForums Tanzania Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?

    Kwenye ulimwengu wa sasa kuna kipindi unachukua namba ya mtu na unashindwa kumsave kwa jina lake, sometimes husababishwa na majina kufanana au kutomfahamu vizuri aliekupa namba. Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?
  5. JamiiForums Tanzania Ijue Asili ya jina Taifa Stars

    Majira ya saa mbili usiku wa leo, timu yetu ya taifa, Taifa Stars, itakuwa na kibarua dhidi ya Morocco kwenye AFCON. Wakati tunaisubiri mechi hiyo muhimu, si vibaya tukafahamu asili ya jina la TAIFA STARS. Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Paul West Guivaha, ndiye aliyetunga jina la timu...
  6. JamiiForums Tanzania Jina gani la Kibantu ambalo umewahi kulisikia hapa nchini likakuduwaza?

    Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!. Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI 1. MLANGO Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani...
  7. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa DPP juu ya kumfutia Kesi ya Jina Pauline Gekul

    Mosi, hili shauri limefunguliwa chini ya Kifungu 128(2) cha CPA na mshtaki binafsi (private prosecutor), ambapo utaratibu huu sheria inamtaka Hakimu kwanza AJIRIDHISHE kuna ushahidi wa kutosha kabla ya kuanzisha mashtaka. Hakimu alifanya hivyo na akakubali kuanzishwa kwa mashtaka kwa sababu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jina "Nyengombili" ni wenyeji wa mkoa gani na kabila gani?

    Naomba kujua tafadhali. Jina Nyengombili ni kabila gani na wenyeji wa mkoa gani? Maana ya jina nini? Nimelipenda sana hilo jina nataka nimuite mwanangu
  9. JamiiForums Tanzania Experience yangu na wanawake wanaoitwa jina Flora

    Akina Flora wengi wanakuwaga wapiganaji sana kwenye maisha. Wengi wanakuwaga smart sana kwenye mapambano ya maisha. Na wengi wao huwa wanafanikiwa sana kiuchumi. Sijawahi kumfahamu mwanamke anae itwa Flora ambae sio mpiganaji kwenye maisha.
  10. JamiiForums Tanzania Jina Kilimanjaro stars kwa timu yetu ya football kwa wachezaji wa bara linachanganya.

    Habari za wakati huu ndugu zangu katika jukwaa hili? Hivi ni sahihi hii timu kuitwa Kilimanjaro stars ilhali jina kilimanjaro linawakilisha mlima na mkoa? Inaleta contradiction. Kwanini kama lengo ni kuutangaza mlima isiwe specific timu ikaitwa Mount Kilimanjaro Stars kuliko hivi sasa ambapo...
  11. JamiiForums Tanzania Kituo cha basi Magufuli hakijabadiliswa jina. Wafuasi wa CHADEMA walipotosha mitandaoni kwa nia ovu

  12. JamiiForums Tanzania Tuache uchochezi. Stendi ya Magufuli haijabadilishwa jina lake mpaka sasa

    Nimeanza kuamini kuwa inawezekana serikali nayo ipo nyuma ya hizi tetesi za hovyo hovyo zinazosumbua nchi. Kukaa kwake kimya kuhusu jambo linalomhusu Makamu wa Rais liliibua sintofahamu kubwa hadi alipojitokeza hadharani Kuanzia juzi tarehe 17 kumezuka taharuki mitandaoni ambapo wanaoeneza...
  13. JamiiForums Tanzania Magufuli Terminal yabadilishwa jina

    Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/stendi-ya-mabasi-ya-magufuli-mbezi-luis-imabadilishwa-jina.2167906/
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) Imebadilishwa Jina

    Mlioko hapo Karibu embu mtujuze iwapo hizi habari ni za kweli. Wengine wanasema kuna kikundi kimepewa kazi maalum ya kushughulikia legacy. Kimeona umati mwingi wa wageni unafika hapo Toka mikoa mbalimbali na hivyo Jina la Magufuli linaweza lisifutike.
  15. JamiiForums Tanzania Sagini asimikwa Uchifu Butiama apewa jina la Mshora

    Wazee wa Mila Wilayani Butiama Mkoani Mara wameiomba Serikali iweze kuwachukulia hatua Wanasiasa ambao wamekuwa wakileta ukabila, ukanda na udini kwenye mambo ya maendeleo hali inayoweza kuleta machafuko baina yao. Wameeleza hayo wakati wakimsimika uchifu Jumanne Sagini ambaye ni Mbunge wa...
  16. JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Huba haiendani na jina lake. Kinachoendelea ni upotoshaji na uhuni

    TAMTHILIA YA HUBA HAIENDANI NA JINA LAKE. KINACHOENDELEA NI UPOTOSHAJI NA UHUNI TUU. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Wanafilamu wengi walikuwa wakilalamika hakuna wawekezaji katika tasnia ya filamu ndio maana kazi zinazotoka ni mbofumbofu. Miaka ya hivi karibuni kumetokea mabadiliko kidogo...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba anayejua jina la huu wimbo anisaidie na jina la msanii!

    Kwa anayejua jina la huu wimbo anisaidie ni muhimu sana. https://www.instagram.com/reel/Czn5se0IMrm/?igshid=MTdlMjRlYjZlMQ==
  18. JamiiForums Tanzania Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

    Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi. Jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM naomba unipendekeze kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa

    Astrid.
  20. JamiiForums Tanzania Simu yangu nikipigiwa haioneshi jina la mpigaji hata option ya kupokea au kukata Simu siioni

    Wakuu, sielewi hii simu niliichezea vipi usiku wakati nimelala maana nililalia. Ila tatizo kubwa ni kuwa nikipigiwa huwa haioneshi jina/namba la mpigaji, pia haitokei option ya kupokea au kukata.. yaan zile alama za kijani na nyekundu. So wataalam wa setting niende sehemu gani nikaset vizuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…