Jina Kilimanjaro stars kwa timu yetu ya football kwa wachezaji wa bara linachanganya.

BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Mar 16, 2019
7,695
17,262
Habari za wakati huu ndugu zangu katika jukwaa hili?

Hivi ni sahihi hii timu kuitwa Kilimanjaro stars ilhali jina kilimanjaro linawakilisha mlima na mkoa? Inaleta contradiction.

Kwanini kama lengo ni kuutangaza mlima isiwe specific timu ikaitwa Mount Kilimanjaro Stars kuliko hivi sasa ambapo timu haieleweki kama ni ya Tanganyika au mkoa wa Kilimanjaro.

NB: Sina ugomvi na Wachaga na watani zao Wapare kwahiyo sitegemei uzi uanzishe vita vya kikabila katika michango yenu.
 
Hayo ni mawazo Yako tu mkuu. Ukitoka nje ya Tz, ukitaja neno Kilimanjaro, wote picha inayowajia ni mlima.
 
Duniani ukisema ''Kilimanjaro'' inajulikana ni mlima. Haya majina mengine kama mkoa wa Kilimanjaro, Kilimanjaro bus service, Kilimanjaro Hotel etc ni vitukuu tu vya Mlima Kilimanjaro.
 
Hayo ni mawazo Yako tu mkuu. Ukitoka nje ya Tz, ukitaja neno Kilimanjaro, wote picha inayowajia ni mlima.
Out of topic... jina Kilimanjaro lina maana gani? Kuna mzee mmoja wa kichaga aliniambia wazungu wa kwanza kuona mlima walivutiwa sana wakawa wanauangalia kwa kushangaa. Wenyeji kwa kuona hili wakawa wanawajitapa kwa kusema kwa kichaga: ''kilima kicha loo'' (yaani ''mlima mzuri huu''). Wazungu wakadhani ndiyo jina lake wakasema ''ohoo Kilimanjaroo''.
 
We usukuma unakusumbua, ukisikia tu kilimanjaro unanasibisha na uchaga.

Umefikiria hatua moja nyuma badala ya kutazama kwa mapana.

Kilimanjaro sio mali au nembo ya uchagA,
Unapotaja Kilimanjaro unairejea Tz nzima.

Acha usukuma, shwaini wewe
 
Wasukuma tumewakosea Nini? Mleta mada ni mtindiga mbona unatushambulia wasukuma?
 
We usukuma unakusumbua, ukisikia tu kilimanjaro unanasibisha na uchaga.

Umefikiria hatua moja nyuma badala ya kutazama kwa mapana.

Kilimanjaro sio mali au nembo ya uchagA,
Unapotaja Kilimanjaro unairejea Tz nzima.

Acha usukuma, shwaini wewe
Mkuu lengo halikuwa vita vya ukabila na mi pia sio msukuma punda wewe.
 
Sasa mleta mada kasema tuiite Mount Kilimanjaro stars.
Wewe unajichanganya kati ya Kilimanjaro na mlima Kilimanjaro, au lugha imekupiga chenga?
Sikuona umuhimu kuzungumzia "mlima" Kwa kuwa wengine walishazungumzia kiufasaha.

Mkoa wa Kilimanjaro umechukua Jina la mlima Kilimanjaro na siyo Mlima Kilimanjaro ndiyo umechukua Jina la mkoa wa Kilimanjaro.
 
Out of topic... jina Kilimanjaro lina maana gani? Kuna mzee mmoja wa kichaga aliniambia wazungu wa kwanza kuona mlima walivutiwa sana wakawa wanauangalia kwa kushangaa. Wenyeji kwa kuona hili wakawa wanawajitapa kwa kusema kwa kichaga: ''kilima kicha loo'' (yaani ''mlima mzuri huu''). Wazungu wakadhani ndiyo jina lake wakasema ''ohoo Kilimanjaroo''.
Hao wazungu wenyewe kutamka neno Kilimanjaro vizuri hawawezi, sembuse kutoa ilo jina?
 
Back
Top Bottom