jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Sijapenda Roboti wa Bungeni kutumia jina la mzazi wangu

    Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu. Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na kuwa mkristo kamili, huu ni mwaka wa 75 tangu mama aanze kulitumia jina la Eunice. Yaani nimeumia...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna Waziri aliyeweka rekodi ya kutaja Jina la Raisi mara nyingi kama Bashungwa!

    Huyu Mheshimiwa ukisikiliza hotuba zake zote hawezi kuzungumza dakika 5 bila kulitaja Jina Mheshimiwa Raisi Samia. Hii trend amei maintain toka enzi za JPM. Huyu ni kati ya mawaziri wachache sana wasio na unafiki kwa mabosi wao!
  3. instagramer

    JamiiForums Tanzania Nani ni maarufu sana eneo unaloishi? Nini chanzo cha umaarufu wake?

    Katika Kila mtaa hua Kuna mtu mmoja ke au me anakua na umaarufu Mkubwa Sana na nguvu ya ushawishi either kwa mabaya au mazuri. Anaweza kua mcheza mpira, kibaka, Malaya, bondia, mwanasiasa, mfanyabiashara, tapeli, mchawi au vyovyote vile. Mi naanza na huyu.. Hapa Nyakato bana Kuna jamaa mmoja...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kitu gani maarufu kinautambulisha Mkoa unaotokea bila kutaja jina la Mkoa wenyewe?

    Nadhani kila Mkoa nchini Tanzania una alama yake au kitu fulani maarufu sana kinachutambulisha Mkoa bila hata kuambiwa ukiona unajua tu hii kitu ya mkoa fulani. Twende kazi wadau, nini kinautambulisha mkoa wako?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kuogopa kutendwa nimeamua kuoa asiyejua kusoma na kuandika, zaidi ya kuandika jina lake hajui chochote kingine

    Nimeamua kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba. Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume. Je, mwanaJF, unadhani...
  6. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Jina la mkongo wa taifa lifutwe haraka

    Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki. Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe? Akitokea kichaa mmoja tu huko internet tunako nunua akakata waya mchi mzima mtandao unayumba? Anyway wajuvi najua mtakuja...
  7. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Jahazi kimeharibika wakipe jina lingine

    Mzuka, Nasikiliza Jahazi mda huu lakini sijui hawa jamaa na kipindi chao wanatangaza nini, Mchomvu kweli ni changamoto vitu anavyoongea hadi wenzake wanapata shida.
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me. Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne. Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri. Mmoja miaka 9 (std.4) na mwingine miaka 7( std.2). Nilichelewa...
  9. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Surat Maryam ndio Sura pekee katika Qur'an iliyopewa jina la Mwanamke, zijue sababu

    Hiii ndio Sura (ufunuo) pekee katika Qur'an iliyopewa jina la mwanamke maalumu anayejulikana, ingawa ndani ya sura hii kumetajwa manabii wakubwa wakubwa kama vile Nabii Yahya, Zakaria, Ibrahim, Is-haq, Yaquub, Idriss, Ismail, n.k. Wote wametajwa ndani ya sura hii. Kisa cha Bi Maryam katika...
  10. Molleli

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wafanyakazi wanapenda kutoa 'last seen' za WhatsApp na kubaki jina pekee?

    Naombeni majibu wandewa. Kuna mmoja aliniambia wanafanya hivyo kwasababu ma boss wao huwa wanawasumbua. Je, kuna ukweli kwenye hili?
  11. Engager

    JamiiForums Tanzania Kwani hii Nchi haina Lejendari hata mmoja wa soka apewe jina la uwanja?

    Viwanja vyote vya soka hapa kwetu vilivyopewa majina ya watu ni majina ya wanasiasa tu. Benjamini mkapa Ali Hassan Mwinyi Sokoine Amri Abeid Karume.....etc, nasasa uwanja unajengwa Arusha, hata mkandarasi hajaingia kazini tayari umeshaitwa Samia. Wanasiasa mbona mnakuwa wabinafsi hivo aisee...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe; Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani?

    Tujikumbushe kidogo Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani? na ulikuwa unalipenda au ulipendi
  13. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Hongereni kamati ya vimbunga kwa kupitisha jina la Hidaya

    Kwakweli huyu binti alinivuruga sana, alikula pesa zangu nyingi sana, alitembea na kila mtu mtaani, sasa ameyatimba. Mpaka wazungu wamemchoka wameamua kutoa jina lake kwa kimbunga. Mahidaya wote ni kama kimbunga tu.
  14. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Tofauti kati ya Jina la Biashara na Kampuni

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mko salama na mnaendelea na shughuli mbalimbali za Ujenzi wa Taifa.Wakati ninapofanya kazi na watu ya kusimamia mchakato waowa usajili wa Kampuni na majina ya biashara huwa ninakutana na maswali mbalimbali kuhusu tofauti iliyoko kati ya Jina la...
  15. Nahman

    JamiiForums Tanzania Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

    Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza Je umesev vipi jina la kipenzi chako? 😊 good night african beauty Bantu Lady Nyiewengine lolote liwakute😅
  16. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jina gani la bar umewahi kukutana nalo?

    Kuna majina mengi ya bar ya ajabu mengine yana maneo makali sana Nitaanza na mfano 1. Kidimbwi 2. Toroka uje Weka jina unalofahamu
  17. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Jina la ukoo lina nguvu kubwa sana kiroho

    Jina la ukoo lina nguvu sana. Jina la ukoo Sio jina kama unavyoliona. Ni damu ya uzao. Hata kama umezaa na mtu na ukabadilisha jina la mtoto kisa baba yake HATOI matumizi au kisa umehangaika na MIMBA pekeako. Kumbuka damu ya mtoto NDIO imelala na jina hilo. Vyote vinavyohusiana na mtoto huyo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia spika wa bunge jitokeze hadharani ukemee jina lako kutumiwa na matapeli

    Wanajukwaa natumaini mnaendelea vizuri. Kwawale wenye changamoto nawapa pole na kuwaombea kwa Muumba ahueni ipatikane. Nikienda kwenye mada nikwamba vipo vikundi au taasisi zinazojihusisha na mikopo tena kwakutumia majina ua viongozi wa chama na serikali na wafanya biashara wakubwa. Miongoni...
  19. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Kuna Bongo Movie moja naitafuta nimeisahau jina

    Hiyo movie amecheza jamaa mmoja sijui ni kama msomali hivi simjuagi jina movie ile ni kama imechezwa maeneo ya magomeni kuna kipande dada fulani hivi kama ana asili ya kipemba au kiarabu aligeuka kahaba nadhani baada ya maisha kuwa magumu. Halafu nyingine iliwahi kuonyeshwa tbc kuna watoto mama...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu, uhakiki taarifa za mteja usiishie kwenye jina na muamala wa mwisho pekee, wateja wanalizwa huku

    Wakuu, kuna text niliona inasambazwa huko duniani, jinsi wezi wanavoweza kuhamisha pesa kutoka kutoka Mpesa, TiGO pesa, na walet nyingine. Ukiibiwa simu ukiwa hauitumii ndani ya muda huo (yaani iko locked) utakuwa na muda kidogo kabla kaka jambazi hajafanya lake. Ukiibiwa simu ikiwa unaitumia...
Back
Top Bottom