jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Club kubwa Kinshasa imebadili jina nakuwa FC magufuli?

    Iliitwa DC motemapembe Wachezaji wake wameonekana wamevaa jezi ya magufuli
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania SHANGINGI LA HUMAN TRAFFIC LA MBUNGE LABADILISHWA JINA LIKIWA NA POLISI KUSHIRIKIANA NA TRA

    It is unbelievable ngoma imechezeshwa na TRA na POLISI kuokoa jina la Mbunge Koka anaefanya biashara ya binadamu ambae yuko Chama Tawala. Haya mambo CCM inayakumbatia sana kwa kufikiri wananchi hatuyajui na hatujui wahusika. Funny enough mpaka chombo chetu cha kodi nacho kinashiriki sasa...
  3. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Kama Jina la Filbert Bayi Linawakwaza Liondolewe ~ Bayi

    MEJA Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambaye pia alikua mwanariadha aliyeng'ara katika medani ya mchezo wa riadha Olympic mwaka 1974 Filbert Bayi pichani juu amesema kuwa Shule yake inakabiliwa na changamoto ya miundombinu ya barabara. Tangu nianzishe Shule hii ya Filbert Bayi...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba Tundu Lissu ambaye Rais amempa jina Hilo

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

    Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu. Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika, "Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hili jina Makutopora limekaa vibaya sana walibadilishe

    Mzuka wanajamvi! Asee watu wangu wa nguvu yani hili jina Makutopora limekaa kushoto sana. Yani hadi kulitamka tu unaona aibu. Na ndio hapo treni yetu ya Kisasa SRG ya umeme ina Kituo. Kumbuka kuna mabalozi wa ulaya na wazungu wanatumia hii treni na kushuka sasa wanajisikiaje wakilitamka ama...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

    Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na siô kwa mama au bibi fulani. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako kutambulika Hapo mtaani Kwa jina la Mkeo. Utasikia pale Kwa Mama Taikon, au Kwa Bibi Zeituni...
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tukikutana na mwanaume ana jina la kike unakuwa mjadala wa kitaifa?

    Mtanisamehe kwa makala ndefu ila hili inabidi leo tuliongelee. Mimi ni mmoja wa watu ambao kuna kipindi nilikuwa nashangaa nikikuta mwanaume ana jina la kike. Kyrie, Shannon, Courtney, Lindsay, Klay yote ni majina yalikuwa yananishangaza kukuta amepewa mwanaume. Nikaja kukutana na Joyce ndiyo...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya jina Kenneth?

    Majina yamebeba maana! Majina yanaweza kumfinyanga mtu akafanania na jina lake. Kenneth ni jina la kiume. Lina maana gani hasa katika mtazamo wa kiroho?
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuna mitaa zaidi ya 20 duniani inakwenda kwa jina la Patrice LUMUMBA, Nadhani Distinction iwepo kabla ya kutoa jina

    Natambua majina ya maeneo, mitaa, Taasisi au uwekezaji mara nyingine huja yenyewe kutokana na matukio au waanzilishi na mambo mengine mengi hapa nazungumzia haya ya kupewa sio hayo ambayo automatically yanakuwa hivyo . Duniani kote kuna mitaa na maeneo zaidi ya 20 inayokwenda kwa jina LUMUMBA...
  11. Unavoidable Servant

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri kuwajuwa maadui wa Taifa, thread hii itumike kuwatambuwa maadui waliokata jina la Mwabukusi TLS

    JF ni maktaba ya Taifa, ni vizuri tukawajuwa maadui wa Taifa letu waliopo TLS walioshiriki kukata jina la Mwabukusi kugombea Urais wa TLS kabla Mwabukusi kutumia mahakama kupata haki yake ili watambulike kama ni Enemy of State. Watajwe hapa kamati nzima kwa majina ili waone aibu yao na...
  12. olimpio

    JamiiForums Tanzania Nashauri Tanzania ibadirishe jina lake

    Tanzania kabla ya muungano ilikua inaitwa Tanganyika na Zanzibar, lakini ni utaratibu wa kawaida nchi kubarisha majina yake kwa sababu mbali mbali moja ya sababu hizo hua ni zifuatazo 1.Ideological change ama kubadirika kwa mtazamo wa kisiasa Tanzania tuliwahi kujitambulisha kama nchi ya...
  13. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Watu wa nyimbo za dini mkuje mnisaidie jina la huu wimbo

    Nimetafuta kwa youtube shida zinakuja nyingi. Nimejalibu kuuimba hapo mnaweza nisaidia kupitia hiyo sauti hapo chini. Wimbo Bwana ndie mchungaji wangu mimi Sitapungukiwa na kitu katika maisha yangu Wandameza mbele yangu bwana machoni pa watesi wangu umenipaka mafuta bwana.
  14. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani (malegendary) mkuje mnisaidie jina la huu wimbo

  15. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Watu wa Blues mkuje mnisaide natafuta jina la huu wimbo wa kizungu

    Wimbo kaimba mdada ila nakumbuka tu kwenye kiitikio, Anaimba aie ieeee aeee eha Apolo apolo aeee eha Aie ieeee aeee eha apolo apolo aeee eha Sijui kaimba nani
  16. T

    JamiiForums Tanzania Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

    Wakuu habari zenu?... Moja kwa moja kwenye mada. Hebu tufunguke hapa majina yetu yakificho hapa jukwaani Yana maana gani. Mimi jina langu TANO BORA nikwasababu siku najisajili Jamiiforum ndo siku ambayo chama cha mapinduzi,CCM kilitoa majina ya mchujo kupata TANO Bora ya mgombea uraisi mwaka...
  17. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Nachukizwa na wanaomuita mwanangu Zuchu

    Habari za wakati huu waungwana.. Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu' Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu. Wakati mwingine...
  18. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Asili ya jina tandboy

    Katika kipindi cha kabla ya enzi ya ukoloni, na hata ukoloni ulipoingia nchini Tanganyika, aina hiyo ya magari ndio yalikuwa vyombo vikuu vya usafiri nchini. Magari hayo hayakuwa ya kuwasha kwa funguo (ignition key/starter). Yaani yalikuwa yanawashwa kwa kuzungusha "hendeli" kwa mikono....😀...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya treni ya SGR kupewa jina la "Samia Express", Watanzania tumekwama wapi?

    Salaam Wakuu, Naishukuru Serikali kwa kupitia Shirika la reli Tanzania TRC kwa kuendelea na jitihada za kuboresha miundombinu yetu la reli. Ila kinachonisitikisha, ni uamuzi wa kupachika jina la Mwenyekiti wa chama cha Siasa(CCM) bla kuwashirikisha Wananchi Wanaotoa kodi zao. Hii ni haki...
  20. AndreRieu

    JamiiForums Tanzania Anayejua jina la huu wimbo naombeni wakuu,

    Msaada wenu unahitajika hapa
Back
Top Bottom