Kuogopa kutendwa nimeamua kuoa asiyejua kusoma na kuandika, zaidi ya kuandika jina lake hajui chochote kingine

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
2,540
6,309
Nimeamua kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.

Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.

Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?
 
Nani atafanya homework za watoto wako usipokuwepo?

Wahenga wanasema pasee flani watoto wanachukua akili za mama. Kila la kheri na huyo chizi fresh wako 😂😂 ‘umesema mwenyewe ukimtizama ni kama hazijatimia’
 
Watoto huwa wanarithi IQ za mama zao.Sasa huyo mwenzetu amejichanganya sana maana shuleni watoto wake watazungusha Sana miduara😂
 
Nimevuta kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.

Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.

Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?
Hapo umeula. Sitilesi za ndoa utazisoma JF
 
Nimevuta kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.

Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.

Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?
Na watoto wako wanaishi mjini na kulelewa na huyo huyo! Inferior men create weaker societies. End of story
 
Nimevuta kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.

Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.

Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?
Una balloo'n dio zako 😊😊😊
 
Back
Top Bottom