Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha uhamishiwe Mwanza

Mbabaishaji

Member
Nov 13, 2018
70
129
UBUNTU BOTHO

Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza .

1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni kubwa sana ukilinganisha na Mwanza. Huenda ndio sababu mmoja wapo wa uwanja huo kuwa ghari.

2)Uchache wa mashabiki wa mpira wa miguu Arusha ukilinganisha na Mwanza, Arusha kuna mashabiki wachache sana wa mpira wa miguu na hata mikoa ya jirani kama Manyara na Kilimanjaro (ukitoa wilaya ya Moshi) kutokana na kuwa na jamii kubwa ni ya wafugaji wakuhamahama (waishio porini) ambao wengi si wapenzi wa mpira. Pia tabia na sifa ya ubahiri wa makabila ya watu wa ukanda huo.

3)Hakuna timu inayoshiriki ligi kuu Tanzania bara kutokea Arusha, na hata timu zinazoshiriki mashindano ya ligi daraja la kwanza hazijazi uwanja hivyo kutapelekea hasara za kimapato.

4) Migogoro, chuki , fitina kutoka kwa viongozi na wasimamizi wa mpira jijini Arusha ambao wengi wao ni wamiliki wa timu zinazoshiriki ligi daraja mbali mbali mkoa humo. Je viongozi hao wataweza kusimamia uwanja huo.
( Habari zaidi utaipata kutoka gazeti la Mwananchi online la j.tatu, Januari 04,2016 ukurasa wa spoti_mikiki.)

5) Uchache wa vipaji na utayari wa vijana wa Arusha na mikoa ya jirani katika kuutumia uwanja huo. Kwa miaka ya hivi karibu tumeona jinsi soka la Arusha lilivyo poromoka na timu ya mwisho kushiriki ligi kuu ilikua timu ya kitaasi ya maafande JKT Oljoro iliyoshuka daraja mwaka 2013/2014 na mpaka sasa hakuna timu ya jamii au ya kampuni au ya mtu binafsi inayoshiriki ligi kuu Tanzania wala ligi daraja la kwanza ukilinganisha na timu kanda ya ziwa.

6)Utunzaji wa uwanja wa mpira kwenye maeneo au ukanda wenye unyevunyevu mwingi kama Arusha ni gharama. Vyuma na na nati huwa vinawahi kuota kutu na marekebisho huchukua mda mrefu kufanyika kutokana na mapato machache mfano uwanja wa Benjamin mkapa.

7) Hasara ya uwekezaji katika ujenzi wa uwanja huo endapo utajengwa Arusha. kutokuwepo kwa mashabiki wengi wa mpira jijini Arusha kutapelekea kuwepo kwa hasara kutokana na mapato madogo yatakayo kusanywa, pia utaongezea serikali gharama za utunzaji na uendeshaji wa uwanja huo.

8)Umbali na gharama za nauli kwa timu na mashabiki wa mikoa jirani kama Singida Fountain gate na Coastal union ya Tanga zinazoshiriki ligi kuu Tanzania bara endapo zitahitaji kuutumia uwanja huo katika mechi kubwa, nauli:-
Singida - Arusha = 22,000/
Tanga - Arusha= 25,000/
Wakati ukijengwa Kwanza gharama zitakua nafuu kiasi kwa timu na mashabiki wa mikoa jirani kama Geita gold na Kagera sugar, nauli :-
Geita - Mwanza= 8000/
Kagera(Bukoba) - Mwanza = 24,000/

9)ikiwa lengo la ujenzi wa uwanja huo ni kwaajili ya AFCON na ukuzaji wa utalii, basi ulipaswa ujengwe Mbeya ili kusogeza karibu kwa mashabiki kutoka maeneo ya mbali na viwanja ambavyo michuano hiyo itafanyika, mfano mashabiki wa Arusha wako jirani na Nairobi hivyo wao ni rahisi kwenda kuangalia mashindano hayo wakati mashabiki kutoka sehemu nyingine kama Mbeya, Katavi, Ruvuma, Iringa, Kigoma Kagera na Mwanza na mikoa ambayo mashindano hayo yatafanyika, pia itasaidia kufungua nchi kwaajili ya maeneo mapya ya utalii.

10) Utayari wa wakazi wa Arusha juu ya ujenzi wa uwanja huo uko chini, hii ni kutokana na wakazi wengi kutokuwa wapenzi wa soka ukilinganisha Mwanza ambako tayari kuna mwamko wa soka.
 
Jiji kubwa kama lile ,lenye pisi kali nyeupeee unajengaje uwanja wenye uwezo wa kuingiza watu 30,000 wakati palitakiwa ujengwe wenye kuingiza 60,000 , ambao kwa mechi kubwa kama za Simba na yanga hata wale majirani zao Kilimanjaro wangeenda kule kuujaza uwanja
 
Mwanza ni jiji lililokaa bila mpangilio kuweka uwanja mkubwa kama huo mwanza ni kuendelea kuithibitishia dunia na wageni watakaokuja kuwa Tanzania ni nchi iliyo nyuma kimaendeleo miji haijapangiliwa watu wanaishi juu ya mawe kama mijusi
 
Pisi bila kalio, jiji la uchumi wa wachache
 
Asilimia kubwa ya watalii wanaokuja Tanzania wanakuja kutaali (kuangalia) umaskini wetu ndio furaha yao, mfano nyumba za nyasi za ndugu zenu polini.Hivyo inahitajika pia kuongeza utalii wa watu waishio juu ya mawe.
 
UBUNTU BOTHO

Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza .

1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni kubwa sana ukilinganisha na Mwanza. Huenda ndio sababu mmoja wapo wa uwanja huo kuwa ghari.

2)Uchache wa mashabiki wa mpira wa miguu Arusha ukilinganisha na Mwanza, Arusha kuna mashabiki wachache sana wa mpira wa miguu na hata mikoa ya jirani kama Manyara na Kilimanjaro (ukitoa wilaya ya Moshi) kutokana na kuwa na jamii kubwa ni ya wafugaji wakuhamahama (waishio porini) ambao wengi si wapenzi wa mpira. Pia tabia na sifa ya ubahiri wa makabila ya watu wa ukanda huo.

3)Hakuna timu inayoshiriki ligi kuu Tanzania bara kutokea Arusha, na hata timu zinazoshiriki mashindano ya ligi daraja la kwanza hazijazi uwanja hivyo kutapelekea hasara za kimapato.

4) Migogoro, chuki , fitina kutoka kwa viongozi na wasimamizi wa mpira jijini Arusha ambao wengi wao ni wamiliki wa timu zinazoshiriki ligi daraja mbali mbali mkoa humo. Je viongozi hao wataweza kusimamia uwanja huo.
( Habari zaidi utaipata kutoka gazeti la Mwananchi online la j.tatu, Januari 04,2016 ukurasa wa spoti_mikiki.)

5) Uchache wa vipaji na utayari wa vijana wa Arusha na mikoa ya jirani katika kuutumia uwanja huo. Kwa miaka ya hivi karibu tumeona jinsi soka la Arusha lilivyo poromoka na timu ya mwisho kushiriki ligi kuu ilikua timu ya kitaasi ya maafande JKT Oljoro iliyoshuka daraja mwaka 2013/2014 na mpaka sasa hakuna timu ya jamii au ya kampuni au ya mtu binafsi inayoshiriki ligi kuu Tanzania wala ligi daraja la kwanza ukilinganisha na timu kanda ya ziwa.

6)Utunzaji wa uwanja wa mpira kwenye maeneo au ukanda wenye unyevunyevu mwingi kama Arusha ni gharama. Vyuma na na nati huwa vinawahi kuota kutu na marekebisho huchukua mda mrefu kufanyika kutokana na mapato machache mfano uwanja wa Benjamin mkapa.

7) Hasara ya uwekezaji katika ujenzi wa uwanja huo endapo utajengwa Arusha. kutokuwepo kwa mashabiki wengi wa mpira jijini Arusha kutapelekea kuwepo kwa hasara kutokana na mapato madogo yatakayo kusanywa, pia utaongezea serikali gharama za utunzaji na uendeshaji wa uwanja huo.

8)Umbali na gharama za nauli kwa timu na mashabiki wa mikoa jirani kama Singida Fountain gate na Coastal union ya Tanga zinazoshiriki ligi kuu Tanzania bara endapo zitahitaji kuutumia uwanja huo katika mechi kubwa, nauli:-
Singida - Arusha = 22,000/
Tanga - Arusha= 25,000/
Wakati ukijengwa Kwanza gharama zitakua nafuu kiasi kwa timu na mashabiki wa mikoa jirani kama Geita gold na Kagera sugar, nauli :-
Geita - Mwanza= 8000/
Kagera(Bukoba) - Mwanza = 24,000/

9)ikiwa lengo la ujenzi wa uwanja huo ni kwaajili ya AFCON na ukuzaji wa utalii, basi ulipaswa ujengwe Mbeya ili kusogeza karibu kwa mashabiki kutoka maeneo ya mbali na viwanja ambavyo michuano hiyo itafanyika, mfano mashabiki wa Arusha wako jirani na Nairobi hivyo wao ni rahisi kwenda kuangalia mashindano hayo wakati mashabiki kutoka sehemu nyingine kama Mbeya, Katavi, Ruvuma, Iringa, Kigoma Kagera na Mwanza na mikoa ambayo mashindano hayo yatafanyika, pia itasaidia kufungua nchi kwaajili ya maeneo mapya ya utalii.

10) Utayari wa wakazi wa Arusha juu ya ujenzi wa uwanja huo uko chini, hii ni kutokana na wakazi wengi kutokuwa wapenzi wa soka ukilinganisha Mwanza ambako tayari kuna mwamko wa soka.
Nyie subirini zamu yenu mtajengewa majosho ya kuogesha ng'ombe. Msukuma unaweza mleta mjini ila kumtoa ng'ombe kichwani ni kazi sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mwanza ni jiji lililokaa bila mpangilio kuweka uwanja mkubwa kama huo mwanza ni kuendelea kuithibitishia dunia na wageni watakaokuja kuwa Tanzania ni nchi iliyo nyuma kimaendeleo miji haijapangiliwa watu wanaishi juu ya mawe kama mijusi
Hivi wale jamaa juu ya mawe huwa wanapigia mvinyo nyumbani au club?? Na kama ni clubs wanaendaje makwao yaani kwenye yale mawe?? Toyo yenyewe haiendi.

Sehemu za tambarare Ziwa hupumulia chini kwa chini na kufanya paonekane kama tindiga. Sasa huo Uwanja ungejengewa wapi?? Au na wenyewe ungekwenda tundikwa juu ya mawe??
 
Ukiishia kwenye yale mawe ya mwanza na ukawa mlevi jiandae kulala kwenye vibaraza vya maduka maana kupanda yale mawe kuingia nyumbani lazima utambae kama mjusi
 
Ulichokisema Kuna ukweli sema watapinga. Mfano Kama utakuwa na fremu ,mtu ambaye Ni wa mkoa mwingine Ni kazi mno kufanya biashara huko Mana Kama sio wa huko hakuna anayekuja dukani kwako
 
UBUNTU BOTHO

Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza .

1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni kubwa sana ukilinganisha na Mwanza. Huenda ndio sababu mmoja wapo wa uwanja huo kuwa ghari.

2)Uchache wa mashabiki wa mpira wa miguu Arusha ukilinganisha na Mwanza, Arusha kuna mashabiki wachache sana wa mpira wa miguu na hata mikoa ya jirani kama Manyara na Kilimanjaro (ukitoa wilaya ya Moshi) kutokana na kuwa na jamii kubwa ni ya wafugaji wakuhamahama (waishio porini) ambao wengi si wapenzi wa mpira. Pia tabia na sifa ya ubahiri wa makabila ya watu wa ukanda huo.

3)Hakuna timu inayoshiriki ligi kuu Tanzania bara kutokea Arusha, na hata timu zinazoshiriki mashindano ya ligi daraja la kwanza hazijazi uwanja hivyo kutapelekea hasara za kimapato.

4) Migogoro, chuki , fitina kutoka kwa viongozi na wasimamizi wa mpira jijini Arusha ambao wengi wao ni wamiliki wa timu zinazoshiriki ligi daraja mbali mbali mkoa humo. Je viongozi hao wataweza kusimamia uwanja huo.
( Habari zaidi utaipata kutoka gazeti la Mwananchi online la j.tatu, Januari 04,2016 ukurasa wa spoti_mikiki.)

5) Uchache wa vipaji na utayari wa vijana wa Arusha na mikoa ya jirani katika kuutumia uwanja huo. Kwa miaka ya hivi karibu tumeona jinsi soka la Arusha lilivyo poromoka na timu ya mwisho kushiriki ligi kuu ilikua timu ya kitaasi ya maafande JKT Oljoro iliyoshuka daraja mwaka 2013/2014 na mpaka sasa hakuna timu ya jamii au ya kampuni au ya mtu binafsi inayoshiriki ligi kuu Tanzania wala ligi daraja la kwanza ukilinganisha na timu kanda ya ziwa.

6)Utunzaji wa uwanja wa mpira kwenye maeneo au ukanda wenye unyevunyevu mwingi kama Arusha ni gharama. Vyuma na na nati huwa vinawahi kuota kutu na marekebisho huchukua mda mrefu kufanyika kutokana na mapato machache mfano uwanja wa Benjamin mkapa.

7) Hasara ya uwekezaji katika ujenzi wa uwanja huo endapo utajengwa Arusha. kutokuwepo kwa mashabiki wengi wa mpira jijini Arusha kutapelekea kuwepo kwa hasara kutokana na mapato madogo yatakayo kusanywa, pia utaongezea serikali gharama za utunzaji na uendeshaji wa uwanja huo.

8)Umbali na gharama za nauli kwa timu na mashabiki wa mikoa jirani kama Singida Fountain gate na Coastal union ya Tanga zinazoshiriki ligi kuu Tanzania bara endapo zitahitaji kuutumia uwanja huo katika mechi kubwa, nauli:-
Singida - Arusha = 22,000/
Tanga - Arusha= 25,000/
Wakati ukijengwa Kwanza gharama zitakua nafuu kiasi kwa timu na mashabiki wa mikoa jirani kama Geita gold na Kagera sugar, nauli :-
Geita - Mwanza= 8000/
Kagera(Bukoba) - Mwanza = 24,000/

9)ikiwa lengo la ujenzi wa uwanja huo ni kwaajili ya AFCON na ukuzaji wa utalii, basi ulipaswa ujengwe Mbeya ili kusogeza karibu kwa mashabiki kutoka maeneo ya mbali na viwanja ambavyo michuano hiyo itafanyika, mfano mashabiki wa Arusha wako jirani na Nairobi hivyo wao ni rahisi kwenda kuangalia mashindano hayo wakati mashabiki kutoka sehemu nyingine kama Mbeya, Katavi, Ruvuma, Iringa, Kigoma Kagera na Mwanza na mikoa ambayo mashindano hayo yatafanyika, pia itasaidia kufungua nchi kwaajili ya maeneo mapya ya utalii.

10) Utayari wa wakazi wa Arusha juu ya ujenzi wa uwanja huo uko chini, hii ni kutokana na wakazi wengi kutokuwa wapenzi wa soka ukilinganisha Mwanza ambako tayari kuna mwamko wa soka.
Maelezo meengi unamaliza bando wakati watu wameshaweka hela na master plan ipo.... who are you mbabaishaji?
 
Maoni yako tumeyapokea, ila kwa sasa hayatabadilisha chochote. Uamuzi umeshafanyika, uwanja unajengwa Chuga- Geneva of Africa. Nyie Wasukuma endeleeni kusubiri zamu yenu, sijui itafika mwaka gani?
 
Back
Top Bottom