jijini arusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kituo Kikubwa Cha Mikutano "MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." Kujengwa Jijini Arusha

    Ameandika msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa katika mtandao wa Instagram "Tunakwenda kujenga kituo kikubwa cha mikutano Jijini Arusha kitakachoitwa MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." "Kitakuwa na sifa zifuatazo; 1. Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 3,000 2. Eneo la maonesho lenye...
  2. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Gabriel Gerald Geay Anogesha mbio za Uwanjani za Majaribio (Trials, Track and Fields Events) Jijini Arusha

    Mwanariadha wa kimataifa, Gabriel Gerald Geay anogesha mashindano ya majaribio ya Uwanjani leo 8/7/2023 kwa kutoa zawadi ya pesa kwa baadhi ya wanariadha washindi na wenye muda mzuri kwa baadhi ya michezo hiyo. Mashindano hayo yamefanyika kwa mara ya pili mfululizo na kushirikisha wanariadha...
  3. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Arusha ni Geneva ya Afrika?

    Uchache na ubovu wa miundombinu ya barabara ni changamoto sana hapa Arusha japo tumejaaliwa milima ya moramu na korongo la mchanga huko mirongo. Ukija kwenye masoko ya jiji hayako organised na masoko mengine yaliyo chini ya halmashauri. Ukiondoa utalii na madini, economic activities zingine...
  4. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aipongeza CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha usalama kwa watalii Arusha

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa (wa pili kushoto) akiwa katika pikipiki zilizokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwa ajili ya kusaidia katika doria na kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii. Wengine pichani ni Mkurugenzi...
  5. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu Dkt. Geordavie kuwashika mkono wafanyabiashara zaidi ya 5000 soko la Samunge, Arusha

    . Zaidi ya wafanyabiashara 5,000 wanaofanya biashara katika soko la Samunge jijini Arusha wanataraji kupatiwa mitaji ya kuendesha biashara zao na mhubiri maarufu nchini Nabii Mkuu Dkt GeorDavie. Mbali na kupatiwa mitaji hiyo pia mhubiri huyo anataraji kutoa msaada wa kukarabati miundombinu ya...
  6. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwenye kambi ya Singida Big Stars jijini Arusha (Pre-season Camp)

    Watu wa Soka, Timu yetu Singida Big Stars imeweka kambi hapa Njiro jijini Arusha kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/23. Tulichagua kuweka kambi (Pre season camp) hapa Arusha kutokana na sababu kadhaa ikiwemo hali ya hewa nzuri na mazingira yenye...
  7. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kukamatwa kwa waandishi wa habari jijini Arusha

    Taarifa za kukamatwa kwa waandishi wa habari jijini Arusha Waandishi wawili Victor Korumba wa Global TV na Alphonce Kusaga wa Triple A FM wanashikiliwa na Polisi Kituo Kikuu, walikuwa wakifuatilia tukio la askari kituo cha polisi sakina kupiga raia jana Februari 23, 2022. Nimeongea na...
  8. waziri2020

    JamiiForums Tanzania James Ole Milya awa kivutio michuano ya wabunge inayoendelea jijini Arusha

    Mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara,James Ole Milya leo ameonekana kivutio katika michuano ya wabunge wa Afrika Mashariki inayorindima katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Ole Milya alionekana muda mwingi akiwa amevaa bendera ya Tanzania huku akiwa ameshika vuvuzela...
  9. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Watendaji mamlaka ya maji Arusha (AUWSA) ni kero

    Ninaitwa JEROME ERNEST MMASSY ni mkazi wa kata ya Olasiti jijini Arusha. Wakati Mh.Rais Magufuli akizindua mradi mkubwa wa maji jijini Arusha nililazimika kuacha kazi zangu zote za siku ile na kuungana naye katika hafla ile nikijua tumepata ukombozi ndani ya jiji la Arusha. Pamoja na kuwa...
  10. Francis12

    JamiiForums Tanzania Mwalimu atekwa afanyiwa unyama Jijini Arusha

    Sikilza kisa kinachofichua tuhuma za Mkurugenzi wa jiji la Arusha kahamia na mbunge wa viti maalum (CCM), Catherine Magige wakihusishwa na utekaji, kulisha sumu, kujeruhi na kisha kumvua vyeo, mratibu elimu Ngarenaro. Anaaza kusimulia.. Kwa majina naitwa Batuli Hamad Isaya, ni Mwalimu wa Shule...
Back
Top Bottom