jifunze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Ukikua utajua wale uliokuwa unawategemea wakusaidie kumbe nao wanahitaji Msaada. Jifunze kujitegemea

    UKIKUA UTAJUA WALE ULIOKUWA UNAWATEGEMEA WAKUSAIDIE KUMBE NAO WANAHITAJI MSAADA. JIFUNZE KUJITEGEMEA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Sisi Watibeli tunajifunza kujitegemea mapema tuu baada ya kujua uchi ni nini. Baada ya kusikia haya na aibu kutembea bila nguo. 2. Ndio maana maisha yetu...
  2. Mwachiluwi

    Jifunze kupika kitimoto na mboga za majani

    Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho...
  3. T

    Jifunze kingereza kwaajili ya kujiongezea mvuto wa kujiajiri/kuajiriwa/kuajiri

    OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook) DOWNLOAD hapo👇 in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho kitabu (soft hand book) Tuwasiliane kwa namba 0623446608 Ubarikiwe!
  4. The Father of All

    Tafadhali Samuya na genge lako jifunze toka kwa Omar Bashir na Muamar Gaddafi

    Taifa linajua. Limepoteza watu wengi wasio na hatia. Linajua namna wafadhili wako wanavyojitahidi kukubakiza madarakani. Linajua kila kitu. Ila, kama unajitakia na kulitakia mema taifa, chonde chonde. Jifunze toka kwa watajwa hapo juu. Walifanya kama unavyofanya. Je, waliishaje na kuishia wapi...
  5. R

    Rais Samia jifunze kitu kutokana na kifo cha Raila Odinga

    Angalia upendo wa Raia wote (naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila! Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote. TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja! Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
  6. S

    Kama una mpango wa kuolewa/kuoa mtu ambaye siyo wa kabila lako, jifunze lugha ya kabila yake lkn usimwambie kuwa unaifahamu

    Hii itakusaidia kufahamu madhaifu yaliyopo kwenye familia/ukoo wake kirahisi sana wakati wa uchumba. Mara nyingi kama kuna jambo la kuaibisha au kishirikina au siri linaongelewa baina ya mchumba wako na ndugu zake ghala utaona lugha inabadilishwa. Nitoe mifano mitatu tu:- 1. Kwa wachumba...
  7. Prof_rutta22

    Advance Your Career: Online Microsoft Office & Programming Courses – Certificate Included 💻

    Dear Professionals and Learners, In today’s competitive job market, strong computer skills are essential for career growth and business efficiency. DarITcare Training Centre (DTC) offers structured online courses designed to equip you with practical skills in office productivity and programming...
  8. John Haramba

    Jifunze ku-appreciate Mtu/Watu waliokusaidia, waambie wakiwa hai, usisubiri wakiwa hawapo Duniani

    Kwenye maisha imekuwa ni kawaida japo siyo kwa wote kuona Watu hawakubali kuweka wazi au kueleza mchango wa mtu au watu fulani waliowasaidia kwenye maisha. Inawezekana wanahofu kusema hivyo labla wao wataonekana kuwa wapo chini au Jamii inaweza kuwachukulia poa kwa kuwa wamesaidiwa na mtu au...
  9. Teslarati

    Mfanyabiashara au Mwekezaji unaejielewa achana na siasa, kaa jifunze playbook ya uwekezaji na biashara anayotumia Rostam A. He's the best dealmaker

    Kwenye biashara na uwekezaji skill pekee ambayo ni muhimu kuliko zote ni 'The art of deal making' Na mtanzania pekee ambae naona anafaa kuwa rolemodel wa wengine kwenye hilo si mwingine bali ni Rostam Aziz. Sasa wewe kijana au mzee mfanyabiashara au mwekezaji endeleza ushabiki wa kisiasa...
  10. Marmeid

    Jifunze ubinafsi

    kuna nguvu ya ajabu kwenye kufanya mambo kimya kimya_ Jifunze kuwa mbinafsi kwa njia sahihi. Kuwa mbinafsi sio ubaya – ni ulinzi wa ndoto zako. Ni kukataa kupoteza muda kwenye kelele za watu wasiokujenga. Ni kusema ‘hapana’ kwa vishawishi vinavyokuondoa kwenye mstari wa ndoto zako. Ni kuchagua...
  11. Setfree

    Jifunze hapa jinsi ya kuwajibu kisomi, wanaosema kwamba Yesu sio Mungu na wala hakufa msalabani

    Huku na kule duniani, kuna watu wanaokiri kuwa Yesu ni miongoni mwa manabii wakuu. Watu hao wanaamini kwamba Yesu alipewa Injili na alifanya miujiza. Hata hivyo hawakubali mafundisho yanayoeleza kwamba Yesu alikufa msalabani na kwamba siku ya tatu alifufuka. Wanasema Yesu sio Mungu na hawakubali...
  12. Kichuguu

    Kama unamiliki Pikipiki jifunze namna nzuri ya kuitumia hapa.

    Pakia abiria na mizigo mingi kwa kutumia maarifa haya https://www.youtube.com/shorts/82dihdK1Fuw
  13. jerry spare parts service

    Umeshawahi Kukwama Barabarani Kwa Sababu ya Spare Part? Hebu Tueleze – Kisha Jifunze Kutoka Jerry Spare Parts and Services!

    Umeshawahi Kukwama Barabarani Kwa Sababu ya Spare Part? Hebu Tueleze – Kisha Jifunze Kutoka Jerry Spare Parts and Services! Kuna wakati mwingine tunatoka safari ndefu au hata safari za kila siku, halafu ghafla gari linakataa kuwaka au linazima katikati ya barabara. Unapofungua bonnet au kufika...
  14. Terence Tao

    Jifunze basic za python

    Katika Advancement ya AI zikiwepo Grok, Gemini, Chat Gpt, Deepseek, muhimu sana kujifunza programming maana unaweza kuletewa program ambazo hujui maana yake ukaenda kutengeneza kitu ambacho kikileta shida unashindwa kuelewa namna ya kutatua . Muhimu tujifunze programming ili ziturahisishie...
  15. J

    Ukiataka mafanikio Jifunze Kumshirikisha Mkeo Mambo yako ya Msingi(malengo yako)

    👉 Jesus News Radio Katika jamii nyingi, hasa zile za Kiafrika, wanawake wamekuwa wakichukuliwa kama watu wa pili ndani ya familia au ndoa. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba wanawake ndio nguzo kuu ya familia. Mwanamke ndiye anayeshika nafasi ya pekee ya kulea watoto, kutunza familia...
  16. R

    Jifunze kuyasemesha magonjwa yenye majina, yanasikia.

    Salaam, Shalom! Mungu alipomuumba Mwanadamu, aliweka nguvu ya uumbaji ndani yake, ameweka pia mamlaka Katika kinywa kuumba, na kufisha pia KUPITIA kinywa. Tumia kinywa chako kusemesha magonjwa, yanasikia na kutii utakachoyaamuru. Narudia Tena kusema, ukilala mzima wa afya, ukaamka na kujihisi...
  17. SIR.NOM

    JIFUNZE MAPISHI KWENYE VITABU HIVI

    #ICE_CREAM #JUICE #Kwa_mtaji_mdogo_tu. Anza leo biashara ya #Ice_Cream_&_Juice,kwa mtaji mdogo.Hadi elfu 20 tu,inatosha sana kuanza nayo kama mtaji. #Nakupa ofa ya Kitabu kitakacho kupa mafunzo ya kutengeneza #Ice_Cream na #Juice_za_matunda_zaid_ya_aina_30. Kwa #Tsh.2000/=(Elfu mbili tu)...
  18. The redemeer

    Jifunze jinsi ya kutengeneza mbolea na virutubisho vya mimea kwa bustani yako ( booster na grower)

    Kama unashughulika na kilimo na unapata changamoto ya gharama za kunuanua virutubisho vya mimie shambani kwako huu hapa muongozo. Hapa kuna mwongozo wa kutengeneza Super Glow na Booster za mimea nyumbani kwa kutumia viambato vya asili au vya bei nafuu vilivyopo sokoni. Hii ni nzuri...
  19. Bueno

    Usipende kukubari kila kitu kirahisi rahisi tu jifunze na kukaza usilegeze kila kitu kaza

    Nakumbuka nikiwa nasoma Sheria katika Chuo X kuna Mwalimu wangu mmoja aliwahi kutuambia Darasani katika somo la Constitutional Law akatudokeza kwamba ukiwa Mwanasheria usipende kukubari kila kitu vitu vingine unatakiwa ukaze usilegeze, ukiambiwa hii rangi ni ya MaChungwa wewe sema hii ni rangi...
  20. mdukuzi

    Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya kutunza ndugu zenu. Miaka yote ulimficha mama yako sababu amechakaa

    Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki. Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa. Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama...
Back
Top Bottom