jifunze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania OCD Mbeya mjini acha chuki binafsi kwa SUGU, kuwa makini usiuletee mji matatizo. Jifunze!

    Wasalaam wajumbe humu! Leo hii kila jimbo ambapo CCM wamechukua form za ubunge na udiwani maeneo mengi nchini wameandamana kwenda ofisi za NEC.Lakini huyu OCD wa mji wa Mbeya sijui kaishia darasa la ngapi, nimeona live akiongea maneno yaliyojaa chuki dhidi ya SUGU eti akidai ana heshima gani...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze na uzijue nyayo za kidigitali, tambua namna ya kuzidhibiti uwapo mtandaoni

    Nyayo za Kidigitali au Digital Footprint hizi ni taarifa za kipekee zinazokusanywa kutoka kwa mtumiaji wa Mtandao anapofanya shughuli mbalimbali kwenye mtandao, anapofanya mawasiliano, miamala katika vifaa au majukwaa ya mtandaoni Taarifa hizi zinaweza kutumika kufuatilia vitu anavyofanya na...
  3. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania Jifunze TailwindCSS -Lecture 01

    Hello World. Huu uzi ni special kwa Junior front-end developers au experienced back-end developers ambao wanataka kujifunza mawili matatu kuhusu Front-end designs Pia, ni special kwa wale wote complete beginners wenye interest ya kujifunza web development Siku ya leo nita introduce new CSS...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli jifunze kuwa vetting ni muhimu sana kabla ya kugawa cheo

    Leo nakuomba sana sana ukumbuke kuwa wale wapinzani wote mliowanunua na kuwapa mavyeo au kuwashindisha kwenye uchaguzi wa marudio hawakuwa wamefanyiwa vetting ama ya kiserikali ama ya kichama. Mngekuwa mmewafanyia vetting watu kama akina Protabas Katambi, Kafulila, Cecil Mwambe, Karanga, Mollel...
  5. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kijana wa kiume jifunze kuishi kama baba kabla ujafikia majukumu

    Tabia ya kuamka Usiku na kuzunguka Nyumba na Mazingira ni tabia unayopaswa kujifunza tangu ukiwa na geto sio unakoroma tu hadi Asubuhi unapoteza nafasi kubwa kuja kuwa Mshua Uliyechangamka. Na nimeenda😜🏃🏃
  6. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

    Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'. Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
  7. mgt software

    JamiiForums Tanzania Wasanii Jifunze kwa yaliyompata Irene Uwoya. Ni baada ya Malezi mabovu, watu wamempandia hewani hadi kutoa machozi

    Wana Jf Ukisikia mwanakuyatafuta na mwanakuyapata Ni pale msanii maarufu baada ya kuposti picha chafu za kumdhalilisha mwanae wa kiume mavazi ya kike na kumpamba mithili ya like. Wanamitandao walichukizwa na kitendo kile na kuanza kumtukana wakitaka ajirekebishe, matusi Yale yalimtikia mwanae...
  8. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Whozu ana kipaji kikubwa, akikazana na kujifunza atafika mbali sana

    Juzi nimeletewa wimbo na mdogo wangu unaitwa Mi Amor wa huyu Whozu. Huwa nasikiliza Bongo Fleva lakini ni wasanii wachache sana huwa nawafurahia kwa uwezo wa kufanya ubunifu wa kujitenganisha na wasanii wengine. Mara nyingi wasanii wengi huwa wanaigana sana kuimba na mwisho kabisa huwa unakuta...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuelewa maana ya kuoa/kuolewa kabla ya kuingia huko

    Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Kama wengi wetu tujuavyo, Ndoa ya kwanza ilifungishwa pale Edeni na Mungu mwenyewe. Na ilikuwa ndoa takatifu, iliyobeba msingi na dira ya ndoa nyingine zote zitakazofuata jinsi zinavyopaswa ziwe. Katika ndoa ile ilihusisha Mtu mume mmoja (Adamu) na...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili jifunze jambo hili kwa Wakazi

    First of all najua wewe ni member wa Jf Kwa sababu Ur a graduate and "Every Tanzanian Graduate is presumed to be a member of Jamii Forums until proven otherwise" Back to my topic. Nikki wa Pili wewe umekuwa ukijinasibu kama msanii mwana hip hop msomi but kwenye interviews zako simuoni msanii...
  11. fungi6

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo litachimbwa shimo kubwa kutokea upande wa pili wa dunia?

    Tukiachana na layer na sifa zake kwa kuongezeka joto kadri mtu unavyo zidi teremka chini ya ardhi Layer zenyewe zikiwa zinajulikana kama, -mantle(2) -crust(1) -core(3) Je unaisi itakuaje mtu akichimba shimo kutoka pande moja ya dunia shimo litokee upande wapili je akiruka kudumbukia kutoka...
  12. Askarimtu

    JamiiForums Tanzania Jifunze Kichagga (Vunjo) & na historia ya Wanyiramba

    Salam, Lugha hii ya kichagga (vunjo) ni katika daraja la mwanzo (elementary level). Hongera kwa waandishi. Lengo ni kusambaza ujuzi tu. Nyie wanyiramba kumbe ni watu wa kutoka Sudan?? Stay safe and enjoy!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze matumizi sahihi ya Barakoa ujikinge na #COVID19

    MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MATUMIZI YA BARAKOA Uvaaji wa barakoa au “mask” ni moja ya njia za kujikinga na maambukizi ya magonjwa mbalimbali ya kuambukiza. Katika kudhibiti kusambaa kwa Virusi vya #Corona Barakoa inapaswa kuvaliwa endapo unakohoa au kupiga chafya, mtu wa karibu yako ana dalili...
  14. senicoms

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuandaa andiko la mradi

    JIFUNZE KUANDAA ANDIKO LA MRADI. (SOMO LA MSINGI) MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MUUNDO WA ANDIKO LA MRADI NA TAARIFA ZA MSINGI KUHUSU ANDIKO LA MRADI Je, unaweza kuandika kwa ufupi mambo ya msingi yahusuyo mradi wako? ambayo yanaweza kusomeka kwa wepesi na haraka? yanayoweza kueleweka baina ya...
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 10-Year Jail Sentence for Kilifi DG - Uhuru Recommends

    Wakati naendelea kutafakari juu ya yule mama aliyetoroka katika karantini na kukamatwa na DC Kasesela huko Iringa pia yule jamaa aliyotoka Dubai na kutua JNIA Dsm na kukamatiwa Mwanza akiwa na maambukizi ya Corona ndio ghafla nakutana na mkwara wa Rais Kenyatta wa Kenya. Rais Kenyatta anasema...
  16. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kuandika matangazo yenye mvuto

    Somo letu la Leo tutazungumzia Jinsi ya kuandika matangazo yenye mvuto. Kwa hivyo kama unafanya biashara, unauza bidhaa au unatoa huduma, labda umeshawahi kujaribu kuandika matangazo lakini hujapata matokeo mazuri basi naomba ufuatilie kwa umakini sana makala hii kwani nataka nikupe fomula...
Back
Top Bottom