jifunze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyuki Mdogo

    NJIA PANDA: Jifunze jinsi inavyotumiwa na katika madhumuni tofauti

    NJIA PANDA Njia panda ni mahali ambapo njia zaidi ya moja hukutana, lakini njia panda nzuri zaidi kwenye kazi hizi ni ile ya njia nne inayoweka alama ya ❌ Matumizi ya njia panda inaweza kuwa kwa madhumuni tofauti, hasa kuleta kitu kuelekea kwako au kutuma kitu kwa mtu mwengine Unaweza kutumia...
  2. Intelligent businessman

    Jifunze kuendana na nyakati mbali mbali, kwenye maisha yako

    NAKUSHAURI Watu wengi mnajinyima furaha, watu wengi pale mnapotakiwa kulia hamtaki kulia, pale mnapotakiwa kufurahia hamtaki kufurahia. Watu wengi mnakufa kwa maumivu makubwa ya moyo. Ngoja nikufundishe kitu. Siku ukifiwa na mtu unayempenda, lia sana, tena lia kuliko wote ikiwezekana...
  3. Its Jensen

    Kwanini biashara yako haikui? Jifunze Jinsi kampuni hii ilivyokuza mtaji kufikia mabilioni ya pesa

    Habari wana jamii forum, ni matumaini yangu mnaendelea salama baada ya mda mrefu kupita bila kushusha thread ya moto.... Leo nimependa kuzungumzia swala zima la mauzo (sales) na jinsi ya kuongeza wateja kwenye biashara, kuna msemo unasema "kufungua biashara na kuuza ni vitu viwili tofauti...
  4. K

    Jifunze kwa mpangaji wa nyumba yako na sio kumfanyia visa

    Nipo jirani na mwenye nyumba ambae mpangaji wake anatengeneza udongo wa mpemba toka Kigoma baada ya kuambiwa faida zake. Mwenye nyumba kaanza visa, mara vumbi linaleta mafua, mara unachafua nyumba na vumbi lako. Hii sio sawa.
  5. sinza pazuri

    Rayvanny angalia usidumbukie aliponasa Harmonize. Jifunze kukaa mbali na fungu la kukosa

    Rayvanny wewe ni brand kubwa umebeba image ya makampuni makubwa yaliyokuamini yakaweka hela ya kutosha. Dunia nzima inajua Paula na mama yake ni fungu la kukosa hawana nyota ya pesa na ukikaa nao karibu lazima uzame. Ulifanya vizuri kuwakataa wale matapeli wa mjini. Tanzania nzima inajua...
  6. Infinite_Kiumeni

    Jifunze kuona makosa kama masomo na sio majuto na kujichukia, utakua na amani zaidi

    Natamani ningetumia muda mwingi zaidi pamoja naye. Natamani ningekua namsikiliza na kuongea naye. Natamani ningemtongoza mapema kabla jamaa hajamchukua. Saivi yupo na bwana mwingine. Hiyo ni mifano tu ya majuto. Ukiona unatumia “nge” sana ujue upo kwenye majuto. Ni kweli umri unaenda lakini...
  7. Agresive

    Jifunze kutokuamini watu ili uepuke kuumizwa

    Ndugu wana jamvi hbr ya leo. Naandika kwa msisitizo kuwa jitahidi sana sana upunguze kuamini watu katika jambo lolote punguza imani ya kuamini watu ili kuepeuka kuumizwa na kupoteza pesa. Watu wengi wameumizwa kipesa na kimapenzi na watu waliowaamini, haijalishi ni mtu wako kiasi gani punguza...
  8. F

    Kijana acha kujaza ndeluche tu kichwani, jifunze mambo yatakayokusaidia.

    Hakuna wakati mzuri wa kujifunza na kujua mengi ya maana kama wakati huu tunapoishi. Mambo mengi yapo vidoleni mwetu una Google tu unayapata. Lakini la kushangaza vijana wengi wanazidi kuwa wajinga na mandeluche. Kuna vijana wanaonekana wajanja mdomoni lakini ukiwauliza Dodoma ipo Zanzibar ama...
  9. QGISInsights

    Jifunze QGIS

    Habari wakuu! QGIS ni programu ya bure. Jina QGIS linamaanisha "Quantum GIS" na awali ilianza kama mradi wa Quantum GIS mnamo mwaka 2002. QGIS ni program bora sana kulinganisha na program zingine. Pia ni program rahisi sana kujifunza na kuitumia! Nitatumia ukurasa huu mara kwa mara kuandika...
  10. OKW BOBAN SUNZU

    Jamaa niliyekuibia mpenzi wako jifunze, mwanamke mzuri hafokewi

    Wikendi jana nilikuwa zangu kanda ya ziwa. Nikafikia lodge moja yenye sehemu nzuuuri ya kutulia na kula kinywaji. Nyakati za jioni nikatoka nje kupunga upepo,kunywa wine huku nikipitia nyuzi za wakuu Jamiiforums. Pembeni kidogo kulikuwa na mtoto mzuri lakini anaonekana mapepe kama wale watoto...
  11. ladyfurahia

    Jifunze kwa wengine waliofanikiwa nawe utatoboa kimaisha

    Habarini wadau wangu, Natumai mko vyema na mnaendelea na majukumu yenu ya kutafuta ugali wa kila siku. Ni bora leo tukaongelea jambo hususani lenye kuleta tija katika mstakabari wa maisha yetu. Je, kwanini unasema maisha yamekuwa magumu, vitu vimepanda kama ndege angani ilahali bado uko...
  12. D

    Umri wako ni tabia yako! Hivi ndivyo ilivyo jifunze tabia 14

    Kila umri una mawazo na tabia yake tofauti 1. Miaka 1~5 ni umri wa kujifunza chochote kwa kuiga wakubwa 2. Miaka 6~10 ni umri wa msingi wa uadilifu unaodumu maishani 3. Miaka 11~17 ni umri wa makuzi na matamanio (haudumu) 4.miaka 18~25 ni umri wa ndoto kubwa za nia njema na matarajio makubwa...
  13. peno hasegawa

    Katibu wa UWT mkoa wa Kilimanjaro jifunze alama za nyakati, punguza kupokea mlungula na warejeshee akina mama nauli walizotumia kwenda Dar

    Niwe muwazi na mkweli. Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023. Tumepatwa na kila aina ya dhoruba. Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui...
  14. Elli

    Nimetapeliwa/kuibiwa kiboya sana, ilinibidi nicheke tu. Jifunze hapa

    Kwanza nikiri kuwa February 2023 haikua nzuri sana kwangu maana ile 5 February 2023 nilikua safarini, jamaa wakapita na bag la laptop. Lilikua na vitu kibao....hio tuache! Siku chache kabla ya Safari yangu ya Mkoani, nilifika Sinza Makaburini nikitokea shekilango. Kuna Traffic Lights za...
  15. ChatGPT

    Majadiliano Juu ya Mahusiano: Jifunze Kutoka Kwa Wengine

    Mada hii inahusu majadiliano kuhusu mahusiano na jinsi ya kujifunza kutoka kwa wengine. Tunaweza kuzungumzia mambo kama vile jinsi ya kuwasiliana na mpenzi wako, jinsi ya kutatua migogoro na jinsi ya kudumisha mapenzi yako. Kila mtu ana uzoefu tofauti katika mahusiano, na kwa kushirikisha uzoefu...
  16. AbuuMaryam

    Jifunze hili kwenye hili sakata la ndoa ya Dr. Mwaka na Bakwata

    Salamu zenu... Dini ya kiislaam ni dini ambayo hakuna kitu kuhusu maisha ya mwanadam hakijawekwa wazi utaratibu wake... KILA KITU KATIKA MAISHA YA MWANADAM KIMEWEKEWA UTARATIBU KATIKA UISLAAM...KUANZIA KWENYE QUR-AN HADI HADITH ZA MTUME MUHAMMAD صلى الله عليه وسلم. NDOA, TALAKA, NA MIRATHI...
  17. U

    Jifunze mambo yanayosababisha ushindwe kufanya jambo kwa viwango vikubwa

    Habarini, Ningependa tujifunze baadhi ya makosa tunayoyafanya,na husababisha tushindwe kufanya mambo kwa viwango vikubwa. Ningependa kutumia kitabu cha ONE THING. Kitabu kinachoelezea kuwa umuhimu wa kufanya mambo kwa mpangilio. Suala ni kwamba wote huwa tuna malengo,ila malengo au ndoto zetu...
  18. Mung Chris

    Jifunze namna ya kuandika Business plan ukiwa Dar es salaam

    Tar 10-11/01/2023 saa 3-9 jion Dar es salaam, Ilala Bungoni mafunzo namna ya kuandika BUSINESS PLAN kwa ajili ya ufugaji wa Kuku wa Nyama, Mayai na wa kienyeji, lengo ni kukusaidia kuwa na uwezo wa kuandika mchanganuo wa mkopo. Mafunzo ni bure. 0788811136
  19. Mung Chris

    Jifunze namna ya kuandika Business Plan

    Tar 7-8/01/2023 saa 3-9 jion Arusha, Maji ya chai, mafunzo namna ya kuandika BUSINESS PLAN kwa ajili ya ufugaji wa Kuku wa Nyama, Mayai na wa kienyeji, lengo ni kukusaidia kuwa na uwezo wa kuandika mchanganuo wa mkopo. Mahali: Arusha Maji ya chai. Mafunzo ni bure. 0788811136
Back
Top Bottom