jeshi

  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Maafisa 4 wa Jeshi la Uganda (UPDF) Washtakiwa kwa Wizi wa Mafuta ya Jeshi

    Maafisa wanne wa ngazi za juu katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Kijeshi mjini Makindye, wakikabiliwa na mashtaka ya kuiba mafuta ya jeshi kwa ajili ya matumizi yao binafsi. Wanaotuhumiwa ni: Brigedia Jenerali James Barigye Ruheesi (60)...
  2. K

    JamiiForums Tanzania CCM acheni uvivu fanyani siasa badala ya kutegemea Polisi na Jeshi iko siku watawageuka

    CCM acheni uvivu fanyani siasa badala ya kutegemea Polisi na Jeshi iko siku watawageuka. Kizazi hili kijacho wanajeshi wake hawataweza kuunga mkono unyanyasaji. Hawa viongozi wa kichawa wa jeshi la Polisi na Jeshi la wananchi iko siku wanawageuka na kufuata hisia za watu. Angalieni wenzenu...
  3. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Samia aambiwe bunduki haikuzuia machafuko bali ulangai wa jeshi la wananchi

    Hicho ndicho kilichozuia machafuko zaidi! Bunduki haijawahi, haitawahi na haiwezi kumzuia mwanadamu anayetaka kujinasua kwenye uovu wa mtesi. Jeshi la wananchi lilitumia mbinu ya ulaghai kuwashawishi wananchi warudi majumbani kisha wakawafanyia ambushi kitu ambacho hata wao wanalijua.
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kwa mujibu wa Jeshi La Polisi watu 758 walipotea, watu 448 hawajapatikana

    Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
  5. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Jeshi la anga la USA limeishambulia meli ya Korea kasikazini ikiwa na askari 13,000 kuelekea Urusi?

    Je, ni upi uhalisia wa chapisho hili linalosambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii?
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo ni MARUFUKU Askari wa jeshi lolote kupanda bure daladala zangu

    Wakuu kwema, katika kutafuta riziki, ninatoa huduma ya kusafirisha abiria jijini, magari yangu yote 5 yanaanzia Mbagala kwenda mjini na sehemu nyingine za jiji. Jana saa 6 usiku nimewapigia madereva wangu wote kwenye conference call kupitia group la Whatsapp kuwaamuru wawajulishe makondakta...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Australia yamteua Mwanamke kuongoza Jeshi kwa Mara ya kwanza katika Historia ya taifa hilo

    Australia imetangaza kuwa kwa mara ya kwanza katika historia yake, mwanamke ataongoza jeshi la nchi hiyo, ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya uongozi ndani ya vikosi vya ulinzi. Luteni Jenerali Susan Coyle, ambaye kwa sasa ni mkuu wa uwezo wa pamoja wa kijeshi, anatarajiwa kuwa mkuu wa jeshi la...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tuslikuwa na Imani na Mahakama na Jeshi lakini sasa ni la Machawa!

    Tuslikuwa na Imani na Mahakama na Jeshi lakini sasa ni la Machawa! Tumebaki wenyewe
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inakuaje vijana Wamarekani hawana hamasa na kazi za jeshi Marekani?

    Jinsi ambavyo huwa naona hapa bongo watu wanavyogombania kazi za jeshini hadi wengine wanahonga, wanaenda kwa vimemo na wengine kutapeliwa huwa nashangaa sana jinsi jeshi la Marekani linvyoshindwa kufikia malengo yake ya kuajiri wanajeshi wapya hadi inabidi kubembeleza watu au kushusha vigezo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tusichimbe mafuta yetu mpaka tuwe na jeshi imara. Vyenginevyo Wanaharakati watatuuza

    Nimeona taarifa kwamba marekani anasafisha mafuta ya Venezuela. Pia Rais wa USA amesema atachukua mafuta ya Iran. Kilichosaidia Iran kwamba anajeshi imara ndio kazuia. Kwahivyo, nashauri tusichimbe mafuta mpaka tuwe na jeshi imara. Vyenginevyo wanaharakati watatuuza kwa wapenda vya watu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Iran kuvua magwanda na kukaa kati ya raia kuwa kinga dhidi ya mashambulizi ni uhalifu wa kivita na hao raia watahesabiwa kama jeshi

    Baada Irgc kushindwa vita wameamua kuwatoa na kuwalazimisha wananchi wao kuwa kafara. Hii inaonyesha hili jeshi ni la kigaidi kabisa, inakuwaje. Wao wabaki kwenye mahandaki wajikinge watangulize wananchi mbele. Hii ni aibu kubwa bahati mbaya hao wananchi watahesabiwa kama magaidi na wanajeshi .
  12. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel limeanza kukishambulia kisiwa cha Kharg huko Iran

    Milipuko kadhaa imeripotiwa kutokea katika Kisiwa cha Kharg nchini Iran, kwa mujibu wa shirika la habari la nusu rasmi la Mehr. Kisiwa cha Kharg, kilichopo kwenye pwani ya magharibi ya Iran katika Ghuba ya Uajemi, ni kituo muhimu sana cha usafirishaji wa mafuta ya nchi hiyo, kikichakata sehemu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Utapeli wa "Ile fedha tuma kwenye namba hii" umeshuka kwa kasi

    TAARIFA KWA UMMA TAHADHARI KUHUSU VITENDO VYA UTAPELI. Hali ya Usalama nchini inaendelea vizuri kutokana na jitihada za Jeshi la Polisi zinazo saidiwa na ushirikiano mkubwa kutoka kwa wananchi katika kubaini na kuzuia uhalifu. Pamoja na ushwari huo, yapo matukio mengine yanatendeka kutokana na...
  14. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Kumbe ile zawadi ambayo Trump aliisema amepewa na Iran ni huyo kamanda wa jeshi la majini

    Dunia ina mambo. RIP kamanda
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi ashuhudia Jeshi la Wananchi na Jeshi la Marekani wakisaini Makubaliano ya Ushirikiano Kijeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 12 Machi,2026, katika ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na JKT, Upanga, jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Jimbo la Nebraska nchini Marekani (Nebraska National Guard)...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni Dkt. Samia ndio haliamini Jeshi au kuna hali ya hatari ndani ya Jeshi?

    Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa? Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Trump: Tumezamisha meli zote za Iran, hawana tena jeshi la majini

    Wanaukumbi. Video za IRGC za 2025 zinaonyesha vichuguu vya chini ya ardhi vilivyo na boti za mashambulizi ya haraka, makombora ya kuzuia meli na kile kinachoonekana kuwa migodi ya majini. Marekani iliharibu meli juu ya uso. Kilichojificha ndani ya vichuguu hivi ni shida nyingine kabisa...
  18. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania TRA NA JESHI LA POLISI BUNDA MNA HABARI KUHUSU HUYU JAMAA ANAYEUZA STICKER FEKI ZA TRA?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.Kati ya maandiko yangu ya siku zilizotangulia niliwahi kugusia bwana mmoja maarufu kwa jina Baraka wasila ambaye ni muasisi wa kuuza dhahabu feki hapa bunda mjini.Niliwahi pia kueleza kwamba licha ya kuwa muuza dhahabu feki mjini aliamua kufungua...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa kwanza mwenye nyota nne mwenye asili ya Afrika ateuliwa jeshi la Navy Marekani tangu miaka 246 ya kuanzishwa jeshi hilo

    Semper Fidelis. In the Marine Corps, under President Donald J. Trump color does not matter. Merit does. For the first time in its 246-year history, the U.S. Marine Corps has promoted a Black officer to the rank of four-star general. General Michael E. Langley has made history. Commissioned...
  20. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Iran yamnyonga jenerali wake wa jeshi kwa kumhisi ni msaliti

    Kumekuwepo na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, zikidai kuwa Jeshi la Iran kupitia Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limemnyonga Jenerali Esmail Qaani, ambaye ni kiongozi wa Kikosi cha Quds. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyochapishwa na ukurasa wa Smart tv...
Back
Top Bottom