Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, amesema kuwa nyumba yake imewekwa chini ya udhibiti wa kijeshi huku Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, akimtishia kumuua na kutoa agizo la saa 48 ajisalimishe.
Bobi Wine amesema wanajeshi bado wamepiga kambi ndani ya nyumba...
Tanzania may soon consider leaving the Rome Statute of the International Criminal Court (ICC). This debate has grown stronger after recent calls on the court in The Hague from Lawyers for the victims, backed by groups like the World Jurists Association and the Madrid Bar Association to...
Mwambieni rais haramu na wambura na mgunda tuna chukulia wauwaji kama waasi wa nchi hilo jeshi sio la baba zenu mmelikuta na mtaliacha mtaona moto.
Hatucheki na wapumbavu wakatafute wapumbavu wenzao huko wakae wapige zogo sio sisi. watu hawa wanapaswa kutengwa kwa sasa kama wanafikiri mziki ni...
https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc
Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu zilizofuata uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania.
Maandamano yalizuka katika miji mikubwa ikiwemo Mwanza...
baada
dw yathibitisha aina ya risasi
hapo
jeshi
jijini mwanza
kichwa
kumkamata
mauaji
mauaji ya oktoba 29
mpya
mwanza
oktoba
oktoba 29
polisi
risasi
ushahidi
wambura
Taifa la Myanmar linaendelea na zoezi la kupiga kura katika awamu ya pili ya uchaguzi, ambao hadi sasa umetawaliwa na chama kinachoungwa mkono na jeshi linalotawala, huku serikali ya kijeshi ikijaribu kupunguza uzito wa ushiriki mdogo wa wapiga kura katika awamu ya kwanza ya zoezi hilo...
Leo tarehe 11 Januari 2026, Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limetangaza mechi ya kirafiki itakayochezwa majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Manispaa ya Kinondoni (KMC), Mwenge. Mchezo huo unawakutanisha timu ya Tanzania Sport Influencer—iliyoundwa na mashabiki wa Azam, Simba na...
Hata kama atakaa kwa muda mrefu ataondoka tu kirahisi kama walivyondoka akina Mobutu , Bokasa na wengineo.
Hata vijana ambao huwa nakutana nao mara kwa mara huwa nawaeleza hili kuwa kila jambo lina mwisho.
Tulipata uhuru bila kumwaga damu. Lakini leo hii watu walimiminiwa risasi kama njugu...
Taarifa za karibuni ni kwamba waandamanaji wamefanikiwa kumwua afisa wa juu wa jeshi la polisi, mmoja wa watoa amri kwa maafisa wa chini. Afisa wa polisi aliyeuawa ni Luteni Shahin Dehghan.
Naonawananchi wa Iran wameamua kupambana na mzizi wa fitina badala ya polisi wa kawaida.
Na hakika, kama...
Tanzania hatuna Polisi tuna Jeshi la Raisi linaitwa Polisi.
Tanzania tuna kitengo cha jeshi kinaitwa Polisi ambacho kazi yake kubwa sio kusaidia jamii kwenye mambo ya sheria bali kufuata maagizo ya kisiasa na kulinda na kuzuia vurugu. Lakini Polisi ya Tanzania inahusishwa na utekaji na waziwazi...
Ndege za jeshi la marekani zinaingia kwa wingi uingereza na nchi zingine za ulaya ikiwemo uturuki
Inaongeza wasiwasi kwamba huenda Iran itakumbwa na kile kilichoikumba Venezuela
Iran kwa upande wao wameweka bango lenye picha za majeneza yenye bendera za marekani na Israel yenye ujumbe 'jalini...
Wamerekani wamekuwa wakionesha Dunia kuwa Hesabu ndio kila kitu Jeshini kwani 100% ya maamuzi yanayofanyika jeshini/vitani ni Hesabu & Physics
Mfano:
1. Kurushusha mabomu ni hesabu kwa huku kwetu ipo kwa kidato cha tano Phy/maths
2. Mambo mengi vitani yanahitaji prediction (probability) ipo...
Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali.
Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi.
Rafiki yangu wa Siku...
Kilichowatokea Venezuela masaa machache yaliyopita, kinathibitisha ukweli wa ile narrative isemayo: ukitaka kuiponya nchi yako na uvamizi wowote kutoka nchi za nje, basi hakikisha una uungwaji mkono wa kutosha ndani ya nyumba yako -- wananchi, jeshi, na vyombo vingine vya usalama.
Huo utatu wa...
Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina nani ? je, kwanini serikali itumie makundi hayo yasiyo fahamika kuzuia waandamanaji kwa kuwauwa ...
Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi.
Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
Zama za mfumo wa chama kimoja nchini Malawi chini ya chama cha Malawi Congress Party (MCP) kilichokuwa kinaongozwa na Hastings Kamuzu Banda, siasa za nchi hiyo zilikuwa za kuogofya sana na zilijaa kila aina ya ukatili na uovu.
Katikati ya vurumai hiyo, kulikuwa na jumuiya ya vijana ya chama...
Simba chawene na matangazo ya kubadili Jeshi la POLISI liwe Jeshi la huduma, Badala ya keshi la vulumai, swali fikirishi nani anae toa amri JESHI liwe hivyo?
Tumekubali Jeshi letu limetumiwa kama kondomi kwa kujua ndugu zetu na ndugu zao Leo tunangaza mnatangaza reform reali?
Polisi walifanya...
Narejea kusisitiza kwamba, CCM ndiyo watakaosababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe Tanzania
Kitendo cha Hangaya kutangaza 2024 kuwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama kujiandaa kijeshi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2025, lilikuwa ni tangazo la maandalizi ya vita dhidi ya raia.
Kitendo cha kutoa...
Mmetoa pongezi kwa wananchi kuwa wametunza amani.
Ukweli ni huu: Watu bado wanatafakari the way forward baada ya vifo vya watu 10,000 ( as per current unconfirmed testaments).
As long as hamjatenda HAKI, basi hakuna AMANI watu wamepoa kidogo wanatafakari what next!
HAKI HAKI HAKI then AMANI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.