Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba
JWTZ
Jeshi la polisi
Jeshi la magereza
Jeshi la uhamiaji
Na Maaskari game
Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi
Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi?
Na...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeonya watu au makundi yanayohamasisha vurugu nchini, likisisitiza kuwa halitasita kuchukua hatua stahiki za kisheria kudhibiti ghasia na uvunjifu wa amani kwa kushirikiana na mamlaka za kiraia.
Katika taarifa rasmi kwa umma iliyotolewa leo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limebaini uwepo wa ujumbe unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii (kama inavyoonekana kwenye picha) ukidai uwepo wa kikundi kinachokamata Bajaji kibabe kwa kigezo cha "Wrong Parking" na kutoza kiasi cha Tsh. 22,000 bila risiti, huku kukiwa na tuhuma kuwa baadhi ya...
Nawapa neno moja kwa leo,
Pindi polisi mnapokuwa Depo huwa kuna mtihani wa kulenga shabaha na kuna kuwa na maksi mnazowapa.
Sasa niwaulize wale waliopata 0% kwenye shabaha huwa mnawapa silaha wazibebe wakatulize maandamano????
Bila shaka huyo akilenga mguu risasi itaenda tumboni mwa mwananchi...
IGP MSTAAFU MAHITA, akiwa anahojiwa katika podcast ya Mr&Mrs Kashera alisikika akisema, JESHI LA POLISI linapokea AMRI na maagizo kutoka katika Mamlaka tatu tu ambazo ni Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Sasa huyu Waziri wa Sasa WA mambo ya ndani haya Mamlaka nani aliyempa???
Je, IGP wa...
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana.
Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya...
jeshijeshi la polisi
katambi
katambi marufuku vyama mikutano vyama siasa
kauli
marufuku mikutano vyama vya siasa
mikutano ya siasa
polisi
sheria
uhuru kufanya mikutano ya siasa
waziri
waziri katambi
Kusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti accounts au nyuzi zifungiwe au ziondolewe na wanatishia watu ikibidi.
Jina la buku saba lilianzia...
Sawa ni kazi nzuri wanaifanya EU, lkn maneno maneno, vikao hawa watu hawayaogopi! Wanaogopa kufa ingawa wao wanaua! madikiteita wanataka vitendo.
Madulo asingelitoka bila vitendo, maana USA imemesema sana....aiwadharau maana maneno hayaunguzi nyumba.
https://www.youtube.com/live/Ex4phmqWLxY?si=-kvbHkryi4LV2ROJ
Video: MATUKIO DAIMA MEDIA
Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasi na maendeleo (Chadema) John Heche ametaka jeshi mkoa wa Iringa kusema wapi alipo aliyekuwa mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Iringa, Ibrahim Myovela anayedaiwa kutoweka...
Kwa nyakati tofauti, Jeshi la Polisi limekuwa likijikuta kwenye mtihani wa kuaminika mbele ya umma kutokana na matukio yenye utata ambayo huacha maswali mengi bila majibu ya wazi. Mara nyingi, taarifa za awali hutolewa, lakini baada ya hapo umma hukosa mrejesho kuhusu hatua za uchunguzi au...
Niaje waungwana
Iran inajiamini sana, ndio maana haiwezi kufanya shambulio bila kutoa taarifa mapema ili kuepusha maafa kwa kina mama na watoto kama Gaza na Lebanon.
Ila sasa taarifa hizi za kuwaepusha raia na maafa, hutumiwa na viongozi wa Israel kukimbilia kujificha kwenye bunker ili kuepuka...
MNAKUMBUKA NILISEMA, HIZI NI SAA NA HAKUNA KESI HAPA
Kwanza nitakuwa wa kwanza Leo kuugana Mwamposa kwamba hapa hakuna mmasai , hebu angalia hizi picha na sura hawa ni wamasaia ? Okey hata kama ni wamasaia bado inakataa kabisa kuingia akilini.
Ipo hivi Jeshi la Polisi ambalo,
Kwa miaka zaidi...
Jeshi la IDF liliteka tena Ngome ya Beaufort huko Lebanon ambayo Israel iliikalia kisheria kuanzia 1982 hadi 2000 katika vita vya kwanza vya Lebanon.
Safari hii Magaidi wa Hezbollah wanapigwa mpaka chumbani kwao bila huruma yoyote!!
Nimepata taarifa kwamba usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane, Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt zenye maandishi “FREE TUNDU LISSU”
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, Mbyella...
Habari za jumapili!
1. Wiki kadhaa zilizoisha taarifa za kuuawa mchina zilizagaa mitandaoni.
2. Mshukiwa wa mauaji hayo akiwa ni mtu mmoja ambaye jina lake halikutajwa isipokuwa kabila lake la maasai.
Hii ni kusema taarifa inaripotiwa mchina auawa na mmasai.
3. Wamasai ni moja ya Makabila...
Kuna mambo mengine yapo wazi kabisa kwamba taifa linahitaji mabadiliko.
Kuwa na katiba ambayo ilitungwa na makada wa CCM ambao hawakushirikisha wananchi ni aibu kwa taifa kama hili na haifai
Watanganyika wanataka katiba ambayo kwanza itatambua taifa lao. Alafu katiba ambayo itawapa mamlaka...
Ni miaka na mikaka sasa bado mnatafuta chanzo cha kwanini WATU wanatekwa na kupoteza
Lakini haitoshi bado mnatafuta nani alimpiga TUNDU LISSU risasi pale Dodoma had kumsababishia ulemavu wa kudumu
Sasa katika hali ya kushtua mbele ya umma wa WATU wa IRINGA WAZIRI MKUU wa JAMHURI ya MUUNGANI WA...
Nashangaa taifa lililosheheni taasisi nyingi za kuilinda katiba lakini wanaibuka watu ,kikundi cha watu wanaivunja hiyo katiba na taasisi zipo za kuitetea katiba .
Kama katiba imeshindwa kumlinda raia kuna haja kuwa na katiba .
Katiba yetu imechakaa kama shati lililopauka lenye virakaviraka...
Kaka yangu Nape, mapema mwaka huu aliwahi kusema, kama serikali isipodhibiti matumizi ya nguvu dhidi ya raia, Siku moja wananchi watakikataa chama chetu.
Kila mtu anaweza kuwa na mtazamo wake juu ya hili, lakini mimi napenda kuwakumbusha viongozi wangu uchaguzi wa 2010 Mbeya mjini kati ya Sugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.