KUKAMATWA WATU 27 KWA TUHUMA ZA KUIBA MIFUKO YA SARUJI BAADA YA AJALI YA MALORI MBAGALA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linawashikilia watu 27 kwa tuhuma za kuiba mifuko ya saruji baada ya ajali ya malori mawili eneo la Mbagala Mission.
Mnamo tarehe 04/10/2021 saa 04:30 asubuhi eneo...
Natarajia kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya jeshi la polisi, naitaka mahakama kuu itoe tafasiri na/ muongozo wa je Jeshi la polisi linaruhusiwa kuteka raia au kukamata raia? Na Je kukamata ni sawa sawa na kuteka? Na je utaratibu wa kuteka raia unatakiwa uweje? Yaani kabla raia hajatekwa ni...
Ile Taasisi bora ya akina mama barani Africa, na ambayo inatajwa kushika namba 3 kwa ubora duniani kwa sasa, BAWACHA, Imeishika Nchi kwa kiganja kimoja cha mkono wa kushoto.
Pamoja na kwamba Bawacha ni Taasisi ya wanawake, lakini nguvu kubwa inayotumiwa na Jeshi la Polisi kuwadhibiti bila...
Kwa muda mrefu kumekuwa na mvutano kati ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa, vyama vya siasa vyenyewe hasa vya upinzani na Jeshi la Polisi. Ukipekua Katiba ya nchi na sheria zetu unashindwa kuelewa kwa nini haya yanatokea.
Kama kila mdau wa siasa angeisoma kikamilifu Katiba ya Jamhuri ya...
Taarifa zinaeleza kwamba Mwandishi huyo anayeripotia ITV kutokea Mkoa wa Tanga , amekamatwa na Polisi wa Korogwe na kulundikwa Sero kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo , Ambaye pia ni Mlimbwende wa Tanzania wa miaka iliyopita Mtukufu Basila Mwanukuzi .
Bado haijafahamika kosa lake
Chanzo : Kitenge TV
Wakuu, kulingana na mwenendo wa kesi inayoendelea mahakama kuu divisheni ya uhujumu uchumi, tumewashuhudia maafisa wa jeshi la Polisi wakionesha kutoifahamu vizuri PGO, kifaa ambacho wao wanakieleza kama nyenzo muhimu katika kazi zao.
Hii inaleta MASWALI mengi Sana, Ni kiwewe Cha kutoa ushahidi...
Msajili wa vyama vya siasa Francis Mutungi ametangaza kukutana na Jeshi la Polisi huko Dodoma kwa lengo la kupanga ajenda za kikao dhidi vyama vya siasa, ambacho anapanga kukiitisha.
Maswali ni haya, Hivi Katiba ya Nchi hii haijaandika chochote kuhusu mikutano na makongamano ya vyama vya siasa...
Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote,liko poa sana.
Shida ya jeshi la polisi ni latina.
Shida ni CCM,
Shida ni serikali iliyopo madarakani.
Hilo afrika kusini wakate wa makaburu mapolisi walifanya hivihivi,lakini serikali ilipobadilika na matendo ya askari yakabadilika.
Latina yao...
Polisi Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima wa Mlandizi kwa kumdhalilisha Mtoto wa kike mwenye miaka mitatu kwa kumchezeachezea sehemu za siri
Alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea Mwanafunzi huyo wa Chekechea
====
Polisi Mkoa wa Pwani wanamshikilia...
Sasa ndio polisi wanatafuta balaa, hivi hamna mnaowafundisha kuchunguza ,polisi kupata habari wanategemea eti wananchi wawapelekee habari, mkiambiwa jeshi lipanguliwe mnapiga makelele ,jeshi letu limeishiwa mbinu za kufanya kazi kiuweledi wanalolijua ni kuwakamata wafuasi wa vyama vya siasa...
Kumekuwa na sintofahamu kuhusu matukio yanayoendelea katika mkoa wa Shinyanga.
Inaelezwa kuwa matukio yanapotokea Kamanda wa Polisi ambaye tangu aje mkoani Shinyanga ameonekana kutokuwa na ushirikiano na vyombo vya habari kuwa kubana kutoa taarifa za matukio kama wanavyofanya makamanda wengine...
Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani.
Huenda tukazika sana kama tutaendelea hivi.
"Darmpya Blog tunalaani vikali vitendo vya upendeleo kwa @ccm_tanzania vinavyofanywa...
So far nchi yetu haijaweza kukumbwa na matukio ya moja kwa moja ya ugaidi kama ambavyo imekuwa ikitokea katika nchi nyingine za Africa na kwingineko.
Sababu kubwa si nyingine bali ni ile tabia/hali ambayo Watanzania tumejengewa tangu tupate uhuru - uoga wa kutokuhoji (docility) hata pale...
Jeshi la polisi limekuwa likikabiliwa na tuhuma nyingi kwa kushindwa kuchukuwa hatua stahili na kwa wakati kudhibiti na kuzuia jinai mbalimbali. Mifano michache ni kama ifuatayo:
Sakata la mmoja wa wabunge kufanya vitendo vya kishirikina ndani ya ukumbi wa bunge ;
Tuhuma kuwa vyombo vya dola...
Hivi karibuni kulitokea tukio la kustua na kutisha Sana, ambapo kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, alipofika kituo cha Selander Bridge na kuwafyatulia risasi kwa kutumia bastola yake na kuwaua askari 2 na kuchukua "machine gun" yao na kuanza kuwasaka Polisi popote pale walipo na...
Kwa namna jeshi la polisi linavyodili na watuhumiwa wa uhalifu hapa nchini basi ifikie hatua tusiwe na chombo kinachoitwa mahakama.
Maana mtu akituhumiwa kwa wizi wa aina yoyote kabla ya kufika mahakamani lazima apate kipigo na mateso makubwa akiwa chini ya jeshi la polisi.
Ni kweli kabisa...
Dar es Salaam. Familia ya Hamza Mohamed aliyewapiga risasi na kuwauwa askari watatu, mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kisha naye kuuawa kwa kupigwa risasi, wameeleza kusikitishwa na taarifa kutoka polisi kuwa ndugu yao alikuwa gaidi.
Akizungumzia uchunguzi wa polisi, jana Alhamisi, Setemba2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.