jela

Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:

Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania HISPANIA: Shakira ashtakiwa kwa kukwepa kodi, wataka afungwe jela miaka 8

    Mwanamuziki Shakira anaweza kukutana na kifungo cha miaka nane na miezi miwili jela pamoja na faini ya Dola Milioni 24 (Tsh. Bilioni 55.7) kama atakutwa na hatia katika mashitaka ya kukwepa kulipa kodi. Shakira alipewa ofa na watoza kodi kuwa wayamalize kwa kutakiwa kulipa kiasi cha fedha kati...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 7 kwa kumuua mwanaume bila kukusudia, alimkuta amesimama na mtalaka wake

    Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kifungo cha miaka saba jela Donati Phabian baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia Alfred Damas kwa madai ya kumkuta akizungumza na mtalaka. Phabian alifanya kitendo hicho baada ya kuwakuta wawili hao barabarani katika Kijiji cha Lugangwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Video: Jimmy Kindoki asema Manara alitakiwa kuwa jela

    Yaani kama siyo kujuana juana alhaji albino sope binobino kubwa la ma albino east africa lilitakiwa kuwa jela segerea basi tu ni kama toto dogo lichokozi linajua likitukana watu kuna vibopa watalikingia kifua liendeleze matusi yake
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wahukumiwa kwenda Jela miaka 70 kwa wizi wa mifugo

    Watu sita ambao ni majambazi sugu wa mifugo wamehukumiwa kifungo cha miaka 70 jela kwa kosa la unyanganyi wa kutumia silaha aina ya bunduki na mapanga katika mahakama ya wilaya ya Tarime Mkoani Mara. Hukumu hiyo imetolewa na hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Tarime Hakimu Yohana...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Muigizaji Nchini Nigeria ahukumiwa Miaka 16 jela kwa kumnyanyasa mtoto kingono

    Muigizaji wa Nigeria, Olanrewaju Ominyika (49), maarufu kama ‘Baba Ijesha’ amepatikana na hatia ya kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 14 kati ya mwaka 2013 na 2014 Mnamo Mwaka jana, Omiyinka alikiri mahakamani kumlawiti mwathiriwa, lakini akasema ni katika muktadha wa nafasi aliyokuwa akiigiza...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kifungo cha jela kimempa mabadiliko chanya ya maisha

    Jana nilikua kwenye basi kuelekea nyumbani Kwamtogole. Jirani yangu alikaa mwanaume mwenye umri unaokaribia miaka 35. Hajui Kiswahili vizuri. Tuliongea hivyo hivyo na Kiingereza changu cha yes, no lakini nilifanikiwa kumuelewa. Huyu mwanaume ni raia wa Ghana lakini alifanikiwa kwenda Ulaya...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Wale panya road waliokuwa chini ya miaka 18 wamefungwa jela ya watoto?

    Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahau plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika? Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kazi isiyoangaliana na mlango wa Jela haiwezi kukufanya kuwa Tajiri

    Kwema Wakuu! Ikiwa kazi unayoifanya haijawahi kukuletea Polisi, au haijawahi kukupeleka kwenye vyombo vya kisheria ujue hiyo kazi haiwezi kukufanya kuwa Tajiri. Utajiri na uvunjifu wa sheria ni pande mbili za sarafu moja. Huwezi kuwa tajiri bila kuivunja sheria ya nchi, mahali popote Katika...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Afisa wa Zamani ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuhusika katika Mauji ya Halaiki

    Laurent Bucyibaruta, aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Gikongoro Kusini amekutwa na hatia nchini Ufaransa kwa kuhusika na mauaji ya halaiki ya mwaka 1994, ambapo takriban Watutsi 800,000 na Wahutu ambao hawakufungamana na upande wowote waliuawa. Gavana huyo wa zamani anadaiwa kutumia ushawishi wa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

    Mwanamuziki wa Marekani, R. Kelly leo amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la Sex Trafficking --- Mwanamuziki wa Marekani wa miondoko ya R&B Robert Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa unyanyasaji wa kingono kwa wanawake na mabinti wadogo. R. Kelly amepatikana na hatia za...
  11. Lavan Island

    JamiiForums Tanzania R. Kelly kesi imemkalia vibaya, jela miaka 25 au maisha

    Mwimbaji R. Kelly anaweza kukabiliwa na miongo kadhaa jela atakapohukumiwa siku ya Jumatano, miezi tisa baada ya kupatikana na hatia ya kuendesha mpango wa kuwanyanyasa kingono wanawake na watoto. Mnamo Septemba, jopo la New York lilimtia hatiani mwanamuziki huyo aliyefedheheshwa kwa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Atupwa jela miaka 30 kwa kumbaka binti yake wa miaka wa miaka 6

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu Kumbuka Mhotelwa kifungo cha miaka 30 jela na kulipa fidia ya Tsh. Milioni Moja baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 6. Mhotelwa mwenye umri wa miaka 30 na mkulima akiwa ni mkazi wa Kitwiru, Wilaya ya Iringa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya leo ndiyo unajua mpaka Kukiri kuwa 'Jela' siyo mahala pazuri? Na hapo bado huenda 'Ukaozea' huko kabisa

    Kila Siku tu unashauriwa na Watu 'Maalum' kuwa pale ukiwa unaenda Mahakamani ikitokea Umep;angua Kesi fulani basi 'Body Language' yako isiwe ni ya Kuonyesha kama Ujeuri na Ujivuni kwani ndilo ambalo linakugharimu ila kwa Upopoma (Upumbavu) wako na Kiburi chako unajifanya Gangwe. Halafu acha...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Iringa: Dereva Bajaji atupwa Jela maisha kwa kumbaka mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu kifungo cha maisha na fidia ya shilingi milioni 7 dereva wa Bajaji, John Umbo (20) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka 10. Imeelezwa kuwa siku ya tukio Mei Mosi, 2021 alimrubuni mtoto huyo na kumpeleka kichakani ambapo...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Jamaa atupwa JELA MAISHA kwa kumlawiti mtoto wa dada yake

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha na fidia ya Tsh. Milioni 10, Ramadhan Musa Chewa (34), Mkazi wa Pawaga, Iringa kwa kosa la kumuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike wa dada yake mwenye umri wa miaka 12. Hakimu Mkazi Mkuu, Ally Said Mkasiwa amemesema mtuhumiwa...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamuhukumu miaka 30 jela kwa kumbaka mama yake. Mtuhumiwa na mdhamini wake hawajulikani walipo

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu mfanyabiashara, Kaloli Mkusa kifungo cha miaka 30 jela na fidia ya shilingi milioni moja baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mama yake mzazi. Hata hivyo mfanyabiashara huyo mwenye umri wa miaka 30 pamoja na baba yake Joseph Mkusa ambaye alimuwekea...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 24 jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka 9

    Juwai Magoda, mwenye umri wa miaka 24 Mkoani Iringa amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na faini ya Tsh milioni moja baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji kwa binti wa miaka 9 aliyekuwa akisoma darasa la pili. Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Iringa, inadaiwa Magoda...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Misri: Mmiliki wa vyombo vya habari ahukumiwa kwenda jela miaka 3 kwa kuwanyanyasa kingono watoto yatima

    Mahakama nchini Misri imemhukumu tajiri wa vyombo vya habari kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuhusika katika biashara haramu ya binadamu na kuwanyanyasa kingono mabinti wenye umri mdogo katika kituo cha watoto yatima alichoanzisha. - Mohamed al-Amin ambaye ni mmiliki wa Future Media, CBC...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tarime:Mwalimu jela miaka sita kwa kutafuna pesa shule Tsh mil tatu.

    Mahakama ya Wilaya ya Tarime imemuhukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa mwalimu mkuu shule ya msingi Mwege iliyopo wilayani Rorya mkoani Mara,Issaya Gwidana kwa makosa 6 ikiwemo la kughushi hundi za shule na kuchukua Sh. milioni 4.965 ambazo ni kwa ajili ya ujenzi wa madarasa...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Mwandishi wa habari atupwa jela mwaka mmoja kwa kuikosoa Taliban katika mitandao ya kijamii

    Mahakama Nchini Afghanistan imemuhukumu mwanandishi wa habari, Khalid Qaderi kifungo cha jela mwaka mmoja kwa makosa ya kuikosoa Serikali ya Taliban katika mitandao ya kijamii, japokuwa Msemaji wa Taliban amesema amehukumiwa kwa makosa ya jinai. Qaderi ni ripota wa Radio Nowruz amekuwa...
Back
Top Bottom