Kilimanjaro: Sheria kutungwa, Wazazi wasiolipia chakula shuleni kufungwa jela

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, imepitisha rasimu ya sheria ndogo inayotaka Wazazi watakaoshindwa kuwalipia vyakula watoto wao wakiwa shuleni, wafungwe miaka miwili gerezani.

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Sifael Kulanga ambapo ameeleza kuwa rasimu hiyo inaandaliwa mchakato kupitishwa na rasmi na Waziri mwenye dhamana ili iwe sheria kamili.

Katika rasimu hiyo, inaonesha mzazi anaweza kutozwa faini isiyopungua shilingi 200,000 na isiyozidi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi 12 na kisichozidi miezi 24 au adhabu zote mbili kwa pamoja.

Kulanga amesema, rasimu hiyo imelenga kuhakikisha wanafunzi kuanzia awali hadi sekondari wanapata chakula Shule kama moja ya jitihada za kuongeza viwango vya taaluma shuleni.

“Katika rasimu hii, wazazi watalipa kiasi cha Sh 70,000 kwa mwaka ikiwa ni Sh 35,000 kwa muhula kwa wanafunzi wa awali, Sh 90,000 kwa mwaka kwa elimu ya msingi na Sh 120,000 kwa sekondari kwa mwaka” amesema

Aidha, ameeleza kuwa fedha za chakula shuleni zitasimiwa na wazazi wenyewe kupitia kamati watakazounda lakini kamati hizo zinaweza kuvunjwa na mkurugenzi wa Manispaa iwapo zitaenda kinyume na malengo.

Meya wa Manispaa hiyo, Mhandisi Zuberi Kidumo alisema baada ya waziri kutangaza sheria hiyo katika gazeti la serikali itaanza kutumika rasmi na itakuwa lazima wazazi kutoa michango hiyo.

Chanzo: Dar 24
 
Hivi niulize aliekua Katibu Tawala mkoa wa Arusha kwenye teuzi kasahaulika? Sijamsikia, alikua mfatiliaji sana kwenye michango ya vyakula mashuleni, namkumbika kwenye tukio Moja Mkoani Arusha
 
Mimi ni mchagga niwe mkweli kwetu toka tukiwa wadogo ni aibu kubwa sana kwa Mzazi kushindwa kupeleke chakula chako shuleni
Shule zote moshi vijijini kibosho watoto wanakula shuleni
Na kwa kwetu uchaggani elimu ya mwisho kwa sasa ni form four lazima
Ndio mkoa wenye shule nyingi sana kuliko zote Tanzania na ni mkoa mdogo wapili kwa ukubwa baada ya Dar es salaam
Kuna watu wanalalamika wachagga wanapendelewa kwenye Ajira
Fikiria ni mkoa wapili kwa udogo ila ndio mkoa unaongoza kwa shule nyongza Msingi na Secondary
Unaofwata ni Dar es salaam
 
Kwahiyo wakifungwa jela ndipo chakula kitafika shuleni
 
Hivi niulize aliekua Katibu Tawala mkoa wa Arusha kwenye teuzi kasahaulika? Sijamsikia, alikua mfatiliaji sana kwenye michango ya vyakula mashuleni, namkumbika kwenye tukio Moja Mkoani Arusha
Kuna uzi humu unasema
Pale anayeongoza yuko nyumbani wakati aliyeko ofisini hajui cha kufanya
 
Mtaka akiwa RC mkoani Dodoma aliwahi kuzungumzia hili la wazazi kuchanga chakula na kuongeza muda wa watoto kusoma mkoani humo. Baadhi ya waTZ walipinga kauli hiyo. Hayo maamuzi ya manispaa ya Moshi yana tofauti na kauli ya Mtaka?
 
Bongo nyoso yaani mzazi kuchangia elfu 90 ya chakula kwa ajili ya mtoto wake mwenyewe bado anaona kipengele? Kwa kweli bado tuna safari ndefu km watanzania
 
Mimi ni mchagga niwe mkweli kwetu toka tukiwa wadogo ni aibu kubwa sana kwa Mzazi kushindwa kupeleke chakula chako shuleni
Shule zote moshi vijijini kibosho watoto wanakula shuleni
Na kwa kwetu uchaggani elimu ya mwisho kwa sasa ni form four lazima
Ndio mkoa wenye shule nyingi sana kuliko zote Tanzania na ni mkoa mdogo wapili kwa ukubwa baada ya Dar es salaam
Kuna watu wanalalamika wachagga wanapendelewa kwenye Ajira
Fikiria ni mkoa wapili kwa udogo ila ndio mkoa unaongoza kwa shule nyongza Msingi na Secondary
Unaofwata ni Dar es salaam
kibosho kwetu... Ilikuwa lazima mahindi debe moja na maharage sado moja. Vikichanganywa na mazao ya mashamba ya shule msosi mwaka mzima. Mboga za majani zinalimwa shuleni.
 
Ni jambo jema, pahali napoishi ni karibu na shule ya primary watoto wanatoka mida ya sa11 jioni.

Kuna wakati unakaona katoto kananjaa kanatembea kwa kujisukuma tu, wazazi wajitahidi tu kuhakikisha watoto wanapata chakula.
 
Back
Top Bottom