jela

Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:

Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist

View More On Wikipedia.org
  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mfute kazi Waziri Mkenda; anakuchafua nje ndani

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Nawapongeza Baraza la Mitihani (NECTA) kwa kufanya kazi nzuri ya kufichua uovu uliofanywa na Shule ya Chalinze Islamic Modern School kuwabadilishia wanafunzi 7 namba za mitihani kwa sababu wanazozijua wao wenyewe. Lakini...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Levinus Kidanabi Jela miaka saba na faini mil 15 kwa kumkashifu Rais Samia

    VIjana wawe makini na mgroup ya Watsapp === Bariadi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Sh15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  3. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Nkasi: Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka saba

    Mahakama ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara wa mjini Namanyere, Athanas Exavery (32) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka saba. Akitoa hukumu hiyo leo Alhamisi Oktoba 20, 2022 Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi wa mahakama...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kifungo miaka mitano kwa kumchoma mikono mtoto wake

    Mahakama ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Shahende, Mpipi Emanuel (33), kutumikia kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kumchoma moto mikono mtoto wake mwenye umri wa miaka 14. Kitendo hicho kimemsababishia mtoto huyo maumivu makali na kushindwa kufanya mtihani wa taifa wa...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hivi Zitto yupo? Na Mbowe alipotoka jela alirudishwa tena? Angekuwa huru sasa hivi angedai Katiba na Mikutano

    Zitto ni muda nadhani hayupo sayari hii. Atakuwa sehemu analamba tu Asali. Asikwambie mtu. Nampenda Rais Samia. Hatumii nguvu kuwanyamazisha wanasiasa. Magufuli alikuwa Mjeuri na mbishi. Acha alale huko aliko. Ashakum si matusi. Wanasiasa wanapigania kupata "Kula" wakipata kula zao tu basi...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni asaini sheria ya mitandao, ukiikera Serikali jela miaka 5 na faini Tsh. Milioni 6

    Rais Yoweri Museveni amesaini Sheria ya Matumizi ya Mitandao yenye vifungu vya kuwabana watumiaji mitandao endapo watachapisha au kusambaza habari zinazoikera Serikali au watu binafsi. Sheria inatamka kuwa “Mtu yeyote anayetumia mitandao ya kijamii kuchapisha au kusambaza habari zilizopigwa...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu wa hisabati jela maisha kwa kulawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Rufani imebariki kifungo cha maisha alichohukumiwa mwalimu wa Shule ya Msingi Chomvu iliyopo Wilaya ya Mwanga, Elibariki Mchomvu kwa kulawiti mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Mchomvu, aliyekuwa akifundisha hisabati, alipatikana na hatia kwa mara ya kwanza mwaka...
  8. FK21

    JamiiForums Tanzania Mume aliyejela amuagiza mkewe chakula chenye sumu ili afe lakini kilipimwa na mke kukutwa na hatia

    Mshikaji mmoja yupo jela kwa kesi ya mauaji. Alimuacha mke vizuri na kila kitu sasa mke wake akawa anakitembeza sana, anachapwa sana mtaani na vijana jamaa. Stori zikampata ikamuuma sana. Siku mke kaenda kumtembelea jamaa kamwambia mke wangu humu siwezi kutoka niletee chakula chenye sumu nife...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Wanahabari watatu waachiliwa huru baada ya kuzuiliwa jela kwa miaka minne

    Mahakama moja nchini Rwanda Jumatano imewaachilia huru waandishi wa habari watatu ambao walikuwa wanazuiliwa jela kwa miaka minne kwa madai ya kueneza habari za uongo, kesi ambayo ilitajwa na makundi ya kutetea haki za binadamu kama uzushi. Wanahabari hao watatu, Damascene Mutuyimana, Shadrack...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

    Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12. Ushahidi unaonyesha mwanamke huyo alikamatwa baada ya mama mzazi wa mtoto huyo, akiwa na rafiki yake...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Usipochanja Mbwa, Paka faini Tsh. Milioni 10 au jela mwaka mmoja

    Ili kudhibiti kuenea na kusambaa kwa ugonjwa wa kichaa cha Mbwa sheria inasema kila mfuga mbwa au paka kumchanja ili kuzuia kichaa cha mbwa na endapo hatozingatia basi adhabu yake ni faini ya kati ya Shilingi 500,000 hadi Shilingi milioni 10 au kifungo cha mwaka mmoja jela. Mkurugenzi wa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania China: Waziri wa zamani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kosa la kupokea rushwa

    Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa China, Fu Zhenghua amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zaidi ya TZS Bilioni 72 akiwa mtumishi wa umma. Hukumu hiyo yaweza kutekelezwa ndani ya miaka miwili au kuwa kifungo cha maisha baada ya miaka miwili kumalizika. Pamoja na hukumu...
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kwenye ndoa za kikristo uasherati pekee ndio uliruhusiwa kuvunja ndoa, kwanini wakristo huvunja ndoa kwa sababu zingine ambazo hazijaruhusiwa?

    Nawashangaa wakristo waliokbali kufunga ndoa kwa imani ya kikristo wanaenda kinyume na sheria za kuvunja ndoa, sheria pekee iliyouhuswa ni uasherati lakini wao wanajionhezea vijisababu vyao,, kuna hizi sababu nje ya biblia nimeshaona zikipelekea ndoa kuvunjika -Kukosa amani ndani ya ndoa...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwalimu afungwa miaka 30 kwa kumlawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma mkoani Mara, imemuhukumu kwenda jela miaka 30 mwalimu Idrisa Athumani (29) wa shule ya Msingi Kyawazaru iliyopo wilayani Butiama baada ya kukutwa na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake Hukumu hiyo imetolewa leo Septemba 16,2022 ikiwa ni siku mbili tu tangu mwalimu...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lindi: Ahukumiwa maisha jela kwa kulawiti mtoto wa miaka nane

    Stevin Malikanga (48) Mkazi wa Kijiji cha Simana amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka nane. Mtuhumiwa amedaiwa kutenda kosa hilo Julai 26, 2022 baada ya kumchukua Mtoto huyo aliyekuwa akicheza nje ya...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 60 akiri kulawiti mtoto wa miaka 7, afungwa jela maisha

    Mzee wa miaka 60, Dickson Njau au ‘Babuu Saluu’, mkazi wa KDC Mbokomu katika wilaya ya Moshi, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukiri kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka saba. Mshitakiwa ambaye hakuisumbua mahakama, alikiri kumwingiza mtoto huyo chumbani, kumvua...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mganga wa jadi jela kwa kosa la kumuua mwenzake wakigombea mwanamke

    Mganga wa kienyeji, Ismail Ramadhani (27) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanaume mwenzake bila kukusudia, wakiwa wanagombania mwanamke. Ramadhani ambaye ni mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, amehukimiwa kifungo hicho leo Jumanne...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Songwe: Mtendaji afungwa jela miaka 8 kwa ubadhirifu wa fedha za umma

    Noah Ruben Mwanjali, aliyekuwa mkusanya mapato, amehukumiwa kwenda jela miaka 8 au faini ya milioni 4 kwa kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, ufujaji na ubadhirifu wa fedha za umma, Tsh. milioni 26. Hukumu hiyo ya Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 06/2021 imetolewa Agosti 30, chini ya...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mtendaji Katavi aliyeomba Rushwa ya 200,000 ahukumiwa miaka mitano jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi imetoa hukumu katika Shauri la Jinai Na. CC. 72/2021 dhidi ya Florence Noel Malilo (Kaimu Afisa Mtendaji Kijiji cha Mapili, Halmashauri ya Wilaya Mlele). Mshtakiwa alishtakiwa kwa makosa ya kuomba na kupokea rushwa ya shs. 200,000...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Walioghushi vocha za pembejeo za kilimo wahukumiwa kwenda jela

    Mahakama ya Wilaya Kyela Mkoani Mbeya, Septemba 1, 2022 ilitoa hukumu ya mashauri mawili. Kwanza ni Shauri ya Jinai Na.91/2021 (R v Never Black Mwakalinga na Holdin Jaji), ambapo mshtakiwa wa kwanza Bi. Never Black Mwakalinga alikuwa Wakala wa Pembejeo za Kilimo katika Kijiji cha Mwaya na...
Back
Top Bottom