jela

Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:

Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afungwa jela maisha kwa kubaka Mtoto wa miaka mitatu

    Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, imemhukumu John Sanare (23), Mkazi wa Kimnyaki wilayani hapo kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kubaka kichanga cha miaka mitatu na miezi miwili. Hukumu hiyo ilitolewa jana mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu Gwantwa...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Arusha: Afungwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa miaka 10

    Mahakama ya Wilaya ya Arusha, imemhukumu kifungo cha maisha gerezani, Godlisten Kibwana (22), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka 10. Kibwana ambaye ni mkazi wa eneo la Mianzini, jijini Arusha amehukumiwa adhabu hiyo leo Alhamisi, Desemba 29, 2022 na Hakimu Mkazi...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kumbaka mtoto

    Mkazi wa kijiji cha Geilailumbwa kilichopo wilayani Longido mkoani Arusha, Lemindia Lesiria amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka binti mwenye umri wa miaka 16. Mbali na kosa hilo mtuhumiwa huyo na rafiki yake, Kulasa Mandeu wamekutwa na hatia katika makosa...
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jinsi Profesa Lipumba alivyowatosa CUF na UKAWA kumnusuru rafiki yake Ramadhani Dau asifungwe jela na Hayati Magufuli

    Namalizia kisa cha mwisho cha visa na mikasa vya Hayati JPM. Vikao vya CCM baada ya kumpitisha JPM kuna wana CCM waliofurahi ila wanaomjua vizuri walijua kumekucha, walijua magereza yatajaa watendaji wakiboronga na mafisadi. Mmoja kati ya watu waliokosa usingizi ni mtoto wa mjini ila msomi...
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wataaalam wa siasa mnielimishe: Pamoja na wapinzani kufanyiwa maovu kwanini bado wanaendelea?

    Hizi siasa huenda hata bado sijazijua vizuri. Hawa wapinzani wanapigwa sana, wengine vilema, wengine wameponea kifo chupu chupu, wengine washauwawa, wengine wapo magerezani, wengine washateswa sana, hivi huwa hawaogopi wanapoona wenzao wanapitia hayo?
  6. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko

    Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu. Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sudan: Mwanamke afungwa jela kwa kumbusu Mwanaume

    Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 20 amehukumiwa kifungo cha miezi sita baada ya kukubali kosa, awali alihukumiwa kifo kwa kupigwa mawe, lakini baada ya malalamiko ya wanaharakati na taasisi mbalimbali hukumu ikabadilishwa. Adhabu ya awali iliyotolewa katika Mji wa Kosti, Jimbo la White Nile...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Sarah wa Kilakala Sec. Alipata kesi ngapi za kuwapa Mimba wanafunzi. Kwanini hakupelekwa Jela?

    Ukishangaa ya Musa utayaona ya Makamba. Nimesikia Kwa watu zaidi ya wanne visa vya Mwalimu Sarah wa Kilakala Sec kuwapa Mimba wanafunzi wa Kilakala na Adrian Mkoba. Alitambulika kama mwanamke lakini mwenye dushe na dushe lilikuwa linapiga kazi. Namimba aliwapa madent kadhaa sasa ajabu mbona...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Argentina: Makamu wa Rais ahukumiwa Kwenda jela 6

    Mahakama imetoa hukmu hiyo kwa Cristina Fernandez de Kirchner mwenye umri wa miaka 69, kutokana na kumkuta na makosa ya rushwa Kiongozi huyo amedaiwa kutumia vibaya madaraka yake kwa kutoa kandarasi ya umma kwa rafiki yake, lakini hataweza kutumikia kifungo hicho hadi rufaa yake itakapokamilika...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chad: Waandamanaji 260 wahukumiwa kwenda jela

    Mahakama imetoa hukumu ya hadi miaka mitatu kwa waandamanaji hao ambao walishikiliwa katika maandamano ya Oktoba 2022 ambao wanasheria waligomea mchakato wa kesi wakiamini haukuwa wa haki. Zaidi ya watu 400 walikabiliwa na mashtaka, ikiwa ni pamoja na kushiriki katika mkusanyiko usioidhinishwa...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Indonesia: Bunge kupitisha Sheria, watakaofanya ngono kabla ya ndoa Kwenda jela

    Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja. Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu wazazi wa watu ambao hawajaoa kuwaripoti watoto wao kama wameshiriki kufanya tendo hilo. Uchumba...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mahakama yatoa hukumu IGP kutupwa Jela miezi mitatu

    Mahakama Kuu ya Nigeria imetoa hukumu hiyo kwa kosa la kutotii amri ya Mahakama, uamuzi huo umetokana na kesi ya Afisa wa Polisi ambaye alifutwa kazi mwaka 1992, ambapo alipinga kustaafu kwake kwa kulazimishwa na kuachishwa kazi. Mahakama imeamua Inspekta Jenerali Usman Alkali Baba kuwa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania BoT: Kukopesha fedha bila leseni faini Tsh. Milioni 20, jela miaka 2

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa onyo kwa wananchi kuepuka kukopa au kufanya Biashara na Taasisi, Kampuni, Mtu au Watu Binafsi ambao hawana leseni. Kifungu cha 16 (1) cha Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 imezuia na kukataza biashara ya kutoa mikopo bila kuwa na vibali maalumu...
  14. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Haukumiwa miaka 8,659 jela

    Mahakama moja ya mjini Istanbul nchini Uturuki Jumatano imemhukumu mtu mmoja kifungo cha miaka 8,658 kwa kujihusisha na wanawake ambao hawakuwa wamejistiri vizuri aliokuwa akiwaita “paka”, chombo cha habari katika eneo hilo kimeripoti. Adnan Oktar, aliongoza vipindi vya televisheni akionekana...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Iringa: Afungwa jela miaka mitatu kwa kumchoma mikono mtoto wa kambo

    Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Edward Uphoro ametoa adhabu kwa mshtakiwa Bruce Karistus aliyekiri kutenda kosa hilo dhidi ya mtoto wake wa kufikia. Kwa mujibu wa Mashtaka imeelezwa kuwa Oktoba 21, 2022 Karistus alimjeruhi sehemu mbalimbali za mwili mtoto mwenye miaka...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Musoma: Afungwa miaka 30 jela kwa kumbaka mlemavu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma Mkoa wa Mara imemhukumu kwenda jela miaka 30, mkazi wa Kijiji cha Kibubwa Wilaya ya Butiama, Juma Ligamba (40) baada ya kupatikana na kosa la kubaka kinyume cha sheria. Mahakama hiyo imemtia hatiani, Ligamba baada ya kuthibitika kuwa alimbaka binti mwenye umri...
  17. mawaridi

    JamiiForums Tanzania Hashpuppi ahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa makosa ya utakatishaji fedha

    Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela huko Marekani Hashpuppi alikuwa anatuhumiwa kufanya utapeli unaofikia jumla ya dola millioni 24 za Marekani kwa njia ya mtandao Hashpuppi anatajwa kuwa mmoja wa matapeli wakubwa zaidi wa mtandaoni...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hushpuppi ahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela

    Hatimaye hukumu ya mwizi nguli mitandaoni ambaye ni raia wa Nigeria, Ramon Abbas (39), maarufu Hushpuppi imesomwa jana Alhamisi, Novemba 3, 2022 na Jaji Otis Wright wa Mahakama ya Wilaya huko California ambapo Hushpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 gerezani. Hata hivyo kwa kuwa tayari...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afungwa miaka 20 kwa kuwadhalilisha kingono Watoto

    Hukumu imetolewa na Hakimu Mkazi John Mdoe wa Mahakama ya Wilaya dhidi ya Francis Julius Matiko mkazi wa Isevya kutiwa hatiani kwa makosa mawili ya kuwadhalilisha watoto. Upande wa Mashtaka uliiambia Mahakama kuwa mshitakiwa kwa nyakati tofauti aliwalaghai watoto wawili wa kike kwa kuwapa Tsh...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Singapore: Daktari feki wa wanawake Facebook, jela miaka 4

    Mtuhumiwa huyo Ooi Chuen Wei, 37, ni Mwanaume ambaye alikuwa na utambulisho wa bandia katika mtandao huo amekutwa na hatia ya kuwadanganya wanawake na kuwashawishi wamtumie taarifa zao ikiwemo picha za sehemu zao za siri. Ooi Chuen alikuwa akiwasiliana na Wanawake na kuwatumia fomu ya ujaza...
Back
Top Bottom