jamii

  1. Junior Lecturer

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mkakati wa kupunguza uhalifu kupitia Polisi Jamii

    Jukumu la kupunguza uhalifu na wahalifu ni jukumu la jamii nzima. Mkuu wa Jeshi la polisi aliye maliza muda wake CPF (CHIEF OF POLISI FORCE) marufu kama IGP (INSP GERAL OF POLICE), SIMON NYANKORO SIRRO, ALIPELEKA WAKAGUZI WA SAIDIZI WA POLISI kwa kila kata katika kata zote nchini Tanzania. Ili...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mtu hayuko pensionable, haya mashirika ya hifadhi ya jamii yanakuwa na uhalali gani wa kushikiria hela za mwanachama?

    Tuliambiwa kuwa mashirika ya hifadhi ya jamii yataunganishwa lakini mpaka sasa Jambo Hilo halijafanyika.kila shirika linajiendesha kivyake. Jambo hili mimi naona limeleta usumbufu mkubwa. Ili mtu aweze kupata mafao ya kustaff anatakiwa awe amechangia miaka 15 . Tangia 2019 tuliambiwa kuwa...
  3. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Kwanini waume wa Marais wa kike hawapewi kipaumbele na jamii?

    Ruto kashinda Urais Kenya tunaoneshwa picha zake za zamani akiwa na MKE WAKE. Nakumbuka pia Obama alishinda Urais tukaona picha zake za zamani akiwa na MKE WAKE.. Na Mara hizi zote nimeshuhudia watu wakisifu kuwa hawa wanawake "walivumilia sana maisha ya waume zao na kuwasaidia kufikia ndoto...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Fikra huru kaa la moto kwa jamii?

    Fikra huru, kuwa na mawazo yako kuhusu mambo mbalimbali hasa kwenye mambo ya dini na siasa na sio kukubali tu kama vilivyowekwa, kuzoeleka au kufundishwa. Kuwa na fikra huru kumewaletea matatizo watu hawa kwasababu tu wamekuwa tofauti na vilivyokuwa na mizizi na kuzoeleka. Baruch De Spinoza...
  5. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kanuni Mpya ya Mpya ya TFF, Shindano la Jamii Ngao ya Jamii Kushirikisha Timu 4

    Kwa mujibu wa Barua iliyotumwa kwa vyombo vya Habari, Kupitia kwa Bodi ya Ligi, Bodi imeboresha kanuni ya Ngao ya Jamii ambapao kwa kwa kanuni mpya kutakuwa na shindano la Ngao ya jamii ambalo litashirikisha timu 3 za juu kwenye ligi, ambapo ikiwa timu ni mshindi wa kombe la FA na ipo kwenye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jamii na Teknolojia katika kubadilisha maisha yetu

    MAKALA HII IMEANDALIWA NA: TRIPHONY RAYMOND MASONDA PROFESSIONAL: IT specialist -Ili jamii zistawi na kustawi, uvumbuzi wa kiteknolojia umekuwa wa lazima, wakati huo huo utamaduni, maadili na matarajio ya jamii za wanadamu yameunda jinsi ustaarabu huo ulivyounda, kufaidika, na kuzuiwa na...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ni Jukumu la Kila Mmoja Kuhakikisha Watoto Wote Wanaishi Salama Katika Jamii

    Ukatili unaotekelezwa dhidi ya watoto unaweza kuwa wa aina nyingi. Unaweza kuwa wa kimwili, kihisia au kingono. Unaweza kufanyika katika mazingira yoyote kama vile nyumbani, katika jamii, shule na mtandaoni. Ukatili dhidi ya watoto unajumuisha aina zote za ukatili dhidi ya watu walio chini ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Andiko la mabadiliko chanya katika jamii kwenye nyanja mbalimbali zikiwemo za elimu, uchumi, kilimo,utawala, afya, sayansi na teknolojia

    Mabadiliko chanya katika Elimu; Kumekuwa na fikra hasi katika jamii zetu kwenye swala la elimu vijana wengi fikra zao kwa sasa katika elimu zinatokana na ukosefu wa ajira ama ajira zisizotosheleza idadi ya watu waliopo, Hivyo basi vijana wengi wanaona hakuna umuhimu wa kupata elimu ikiwa ajira...
  9. Mkemia Fred James

    JamiiForums Tanzania Fanya Mambo haya ili uheshimike katika Jamii

    1. Heshimu wengine,wakubwa kwa wadogo.Ukitaka heshima toa heshima. 2. Epuka kuwa mmbeya,fanya mambo yako. 3. Heshimu sheria na taratibu zilizowekwa maeneo mbalimbali. 4. Kuwa jirani mwema. Hujui leo na kesho. 5. Fikiri kabla ya kuongea chochote mbele za watu. 6. Jizuie kuweka ahadi ambazo...
  10. think tank01

    JamiiForums Tanzania SoC02 Bima ya Afya ya Jamii

    BIMA YA AFYA YA JAMII 🇹🇿 UTANGULIZI; Salamu Watanzania wote. Ni muhimu kwa nchi hasa zinazoendelea, kuwa na dira/sera ambayo ndio muongozo wa utoaji na usimamizi wa huduma na maendeleoya nchi husika. Ili nchi yoyote isonge mbele kiuchumi, inahitaji jamii yenye Afya Bora ili...
  11. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Ustawi wa Jamii walivyoharibu maisha yangu, no# 1

    Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi. Wapo waliouza nyumba zao, waliokimbia miji, pia wapo ambao mpaka sasa naandika huu Uzi wapo jela, japo hawana hatia...
  12. MAKA Jr

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu saba (07) zinazopelekea mtoto wa Kitanzania ashindwe kupata elimu bora

    Picha. Chanzo: Mwananchi (12/08/2022) UTANGULIZI Nchi masikini na zinazoendelea zina changamoto nyingi kama vile; changamoto za umasikini, utandawazi, na kielimu. Changamoto za upatikanaji wa elimu bora ndio kubwa zaidi. Tanzania kama moja ya nchi zinazoendelea pia ina changamoto kadhaa...
  13. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu: Kikosi cha Simba kinachotakiwa kuanza dhidi ya Yanga kwenye Ngao ya Jamii

    Habari wakuu, Kuipata First eleven ya Simba ni pasua Kichwa. Kichwa kinauma, uanze na nani, nani umuweke wapi nk. Kwa Ufundi kabisa, ningepata nafasi ya kuchagua kikosi ama kulishauri benchi ningeenda kama ifuatavyo. 1. Aishi Manura. 2. Shomari Kapombe. 3. Mohamed Hussein. 4. Enoch...
  14. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

    Yanga 🐸 2 - Simba 🐏 1 🐸 dakika ya 19 🐏 dakika ya 52 🐸 dakika ya 81 (Majina ya wafungaji nitaweka siku ya mechi baada line up kutoka)
  15. Edward mbaga

    JamiiForums Tanzania SoC02 Unyanyasaji au Uonevu wa Kimtandao (Cyberbullying) umekuwa tatizo kubwa kwenye Jamii yetu

    Unyanyasaji wa kijinsia ni dhana pana sana ambayo ina ainanyingi sana ambazo kwa namna moja au nyingine zina muathiri mwanaume au mvulana Pamoja na mwanamke au msichana katika jamii zetu na kuna aina tofauti tofauti za unyanyasaji wa kijinsia ambazo ni ; Unyanyasaji wa kingono, Unyanyasaji wa...
  16. kevylameck

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Sensa na Vifo Vinavyozuilika Kwenye Jamii

    Na Kevin Lameck Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2015 zilipitisha Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Lengo la tatu la ajenda hiyo lililenga afya bora na ustawi. Tangu wakati huo, WHO imekuwa ikisaidia mipango ya nchi na kufuatilia maendeleo...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hizi single parent imekuwa kama sifa au ufahari kwenye jamii yetu.

    Siku hizi kwa udadisi wangu naona hili jambo linakuwa kwa speed ya light. Nikianza na sisi wanaume. Siku hizi nana tumeinvest sana kwenye kujenga miili,kutumia mikongo,alkasusu nk ili kuwalizisha wanawake kitandani, huku tukikataa kuwajibika kwa output (mtoto) tulizo zitengeneza kitandani na...
  18. Bernardo45

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la kiwewe (trauma) katika jamii, sababu, madhara na jinsi ya kuepuka

    UTANGULIZI Kiwewe (trauma) Ni moja ya matatizo ambayo kwa sasa yanaiathiri kwa kiasi kikubwa jamii yetu ilhali wanajamii wengi hawatambui au hawana ufahamu mkubwa juu ya tatizo hili. Hivyo kupitia andiko hili kwa ufupi jamii ielezee maana ya Kiwewe, Sababu zinazopelekea Kiwewe ,madhara yake na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Shairi: Afya ya uchumi

    Habari yenu jamii, mko salama jamani, inaniuma namimi, twapotea hasirani, twakosa tiba kwanini, nchi ni yako namimi, leo nahitaji nipate, afya ya uchumi. watu wanahangaika, ajira zionekani, serikali kutoweka, fursa kazi hadharani, watu kazi wanataka, huishia wizi mtaani, kwanini ajira hazipo...
  20. Jade_

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jamii mbili zinazochanganya

    Hizi jamii mbili, Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya jamii huchanganya sana watu. Inawezekana chanzo ni zote kuwa idara katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu. Au kwa sababu majina yote yana neno “jamii”. Hata maneno ustawi na maendeleo huonekana na walio wengi...
Back
Top Bottom