jamii

  1. MKAKA WA CHUO 2

    JamiiForums Tanzania SoC02 Janga la kupuuzia fursa mbalimbali katika jamii

    FURSA ni kitendo Cha kuepo au kupatikana kwa nafasi au kazi au jambo lolote ambalo linaweza kumuingizia MTU kipato. Jambo hili linaweza kuwa ni jambo kubwa au dogo, vilevile FURSA inaweza kuhusisha kazi za ofisini au kazi za mitaani, zote hizi ni FURSA kwasababu zina uwezo wa kutuingizia kipato...
  2. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mila kandamizi katika jamii

    Jamii tunayoishi imekuwa na mambo mengi ya kustaajabisha ambayo ukikaa kuyatafakari Kwa undani yanatokana na mambo ya kimila, watu wamekuwa wakiishi Kwa mateso wakijua hayo ndio maisha Yao kumbe ni Mila gandamizi, mfano huku kwetu Kusini kumekuwa na Mila za kupeleka watoto wadogo umri wa miaka...
  3. aleesha

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii hii itelekeze familia Zanzibar?

    Ndugu Watanzania kila mtu anayo haki ya kuishi maisha popote pale kwa kuzingatia misingi ya sheria ya ukaazi wa eneo husika. Nasikitishwa na baadhi ya watu ambao kwa matakwa yao waliamua kuhama kutoka Tanzania bara na kuja visiwani Zanzibar kwa ajili ya kutafuta riziki zao kutelekeza familia...
  4. Content

    JamiiForums Tanzania SoC02 TEHAMA ina athari hasi katika Jamii zaidi ya tunavyofikiri. Je, nini kifanyike?

    Tunapozungumzia maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na intanet bila shaka hutaacha kuzungumzia jukwaa linalotoa fursa za ajira, kujuajiri (yaani kuuza bidhaa au huduma kupitia internet), kurahisisha mawasiliano katika jamii zetu pamoja na kurahisisha upatikanaji wa taarifa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo kwa maendeleo ya Jamii

    Kilimo Kwa jamii nyingi hususani za kitanzania kinategemewa kuwa ukombozi mkubwa dhidi ya umaskini na hasa kwaajili ya maendeleo ya nchi kwa ujumla.Bado kuna utajiri wa ardhi katika nchi yetu ambapo kama watu wakiamua kuwekeza itakuwa ni moja ya njia ya kuchochea maendeleo hasa katika...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Ifahamu dhana ya Utoaji Huduma kwa Jamii

    Utoaji wa huduma kwa jamii ni mgawanyo wa huduma muhimu kwa jamii kulingana na mahitaji ya jamii husika. Huduma za jamii ni bidhaa au mahitaji ambayo ni muhimu kwa maisha na ustawi wa jamii Huduma hizi za kijamii mara nyingi hugharamiwa na Serikali ingawaje kuna huduma nyingine zinachangiwa na...
  7. Innocent Ngaoh

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi ya kuboresha uhusiano wako na watu wanaokuzunguka kwenye jamii yako

    Mtaji mkubwa wa mtu ni watu kwa maana hiyo unahitaji kuwa na ujuzi wa kuishi vizuri na watu “Interpersonal skill” pasipo kujali upo wapi na unafanya nini; lakini kupitia makala hii utaenda kuwa mtu mwenye kuishi vizuri na watu na kufanya watu kuvutiwa na uwepo wako kwenye jamii yako, na amini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukatili kati ya ndugu, wapenzi na watu wa karibu ndani ya jamii

    UTANGULIZI Ukatili ni hali ya kusabishwa kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwengine, Ukatili baina aya ndugu, wapenzi au watu wakaribu ndani ya jamii unaweza ukawa ni ukatili wa kijinsia au ukatili kwa watoto unaoweza kufanywa na rafiki kwa rafiki, mzazi kwa mototo, jinsia moja...
  9. Leonard24

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jamii yenye huzuni iliyojaa picha za furaha na ufahari katika mitandao ya kijamii

    Utambulisho Habari Wana jamii Forum,kwa majina naitwa Lenny Godfrey mkazi wa wilaya ya kinondoni jijini Dar-Es-Salaam.Na pia Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu Cha Sayansi na Teknologia Cha mtakatifu Joseph Mbezi jijini Dar-Es-Salaam katika ngazi ya Uhandisi. Kutokana na ukuaji wa Sayansi na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nyumbu 20 waangushwa kuwanasa Wahadzabe kuhesabiwa

    Na John Walter-Manyara Serikali ya Tanzania imetoa wanyamapori 20 aina ya Nyumbu kwa jamii ya Wahadzabe ikiwa ni sehemu ya takwa lao ili wawe tayari kushiriki zoezi la Sensa linaloanza usiku wa kuamkia Agosti 23 hadi Agosti 31 mwaka huu. Sensa ya mwaka huu inafanyika kwa mara ya sita ambapo...
  11. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la afya ya akili chanzo cha ongezeko la vitendo tishio kwenye jamii

    Matatizo ya afya ya akili ni nini? Ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikra, na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha. Afya ya akili inaweza kuathiri namna ya kufikiri,na pia inaathiri mfumo mzima wa namna ya...
  12. DANIEL NOAH

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hatua za kufuata ili kupunguza au kumaliza matatizo ya Ndoa katika jamii zetu

    Ndoa ni muunganiko wa mtu jinsia ya kiume na mtu mwingine jinsia ya kike na kwa muunganiko wao husababisha pia familia zao kuungana na kuwa na mahusiano baina yao.Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la ukatili katika ndoa nyingi kwenye jamii zetu za kitanzania ambao husababishwa...
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa tangazo la kuhitaji vijana wa kazi nimeamini vijana wengi waliopo JF hawajui umuhimu wa Jamii Forums

    Nikili yakuwa lile tangazo nililoliweka jukwaa ili limenipatia picha Kamili ya vijana waliomo humu wengi yakuwa hawajui maana ya matumizi ya mitandao. Nitaeleza vyema naomba mnielewe na msome andiko hili na mwelewe vyema sio Kila mtu anae weka tangazo humu anakuwa anataka akuchunguze na kukujua...
  14. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi imani ya miujiza inavyopotosha jamii

    Imani ni hakika na bayana ya mambo yatarajiwayo, ni kuwa na hakika na jambo kutokea au kutimilika pasipo shaka. Kila mtu amekuwa na kile anachokiamini, japo kuwa sote tunaamini uwepo wa Mungu. Ni nadra sana kusikia mtu haamini uwepo wa Mungu. Hii yote imetokana na hitaji la mwanadamu katika...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine, Asante JamiiForums

    Napenda kutoa shukrani zangu kwa jukwaa hili hasa members kwa jinsi mnavyo changia mijadala mbalimbali. Kwa namna ya pekee naushukuru uongozi wa jukwaa hili. Kwa mara nyingine tena nilileta humu KERO fulani na ikatatuliwa. Ikumbukwe Jana nilileta habari ya makarani kunyanyaswa na viongozi wa...
  16. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania JamiiForums, Mkombozi wangu wa Fikra!

    Leo nimeamua kutoa ya moyoni kuhusu, Manufaa niliyoyapata JamiiForums. Kiukweli, nilibahatika kujiunga na JamiiForums mwezi wa saba~ mwaka huu mara baada ya kutumiwa tangazo linalohuso shindano la "STORIES OF CHANGE 2022" kutoka kwa rafiki yangu ambaye anadai aliliona kutoka kwenye mtandao wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Zijue athari zitokanazo na hizi Bahati Nasibu zilizoibuka katika Redio mbalimbali kwa Watu/ Jamii

    1. Kuongeza Umasikini kwa Kubahatisha 2. Moyo Kudunda sana kwa kuwaza kama utashinda au hapana 3. Uwizi wa Fedha Kwingineko ili ucheze hizi Bahati Nasibu kila mara au kila Siku 4. Wivu na Chuki Kuongezeka kwa Walioshinda 5. Kumkufuru Mwenyezi Mungu kama Mmoja anacheza mno ila hafanikiwi na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Nilichoamua kufanya baada ya kugundua sina uwezo wa kipesa wala akili za kiubunifu za kuikomboa jamii

    Naipenda sana jamii yangu Nilitamani sana kuwa mwenye mchango katika jamii lakini bahati mbaya mpaka naingia utu uzima sikufanikiwa kutoka kimaisha na kuweza kuifanyia jambo la maana. Niliangalia shughuli niifanyayo, kwa mifano hai ya waliotangulia kuifanya kabla yangu, HAKUNA KUTOKA...
  19. Kingtol

    JamiiForums Tanzania SoC02 Fahamu ushoga na usagaji ulivyo na unavyozidi kuenea nchini, sababu na athari zake katika jamii

    Leo tunakutana tena kuzungumzia jambo ambalo si geni kwenye maskio ya walio wengi japo halifahamik sana chanzo,sababu na athari zake kwa jamii. Tuondoe dhana ya kusema kuongelea dhambi ni kufanya dhambi na haifai na kujiweka nyuma katika kufatilia mambo kama haya ndio chanzo kingine cha huu...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwalipa wasanii pesa inayowawezesha kuishi bila kujichanganya na jamii

    Msanii ni kioo cha jamii na jamii ina watu wenye uwelewa tofauti na hupokea ujumbe katika mapokea tofauti. Mfano tamdhilia ina kipengele cha mama wa kambo mtesi wa watoto. Nia ya sanaa ni kuweka wazi matendo yanayoendelea katika jamii lakini kuna watakao pokea na kumchukia yule msanii hasa...
Back
Top Bottom