Hii tabia inakera sasa kwa siku nafuatwa na wanawake 6 mpaka 10 huku pm, wengi wao wanaomba mahusiano na mimi mwizukulu mgikuru a.k.a babu...nimechoka kutongozwa na akina beesmom.
Habari wana JamiiForums, kuna jambo lanitatiza Naombeni majibu yenu.
Mfano umepanga nyumba na mwenye nyumba wako anaishi mkoa mwingine tofauti na uishio wewe, ukiwa unamtumia kodi ya nyumba je, ni lazima kumtumia na ya kutolea?
Imeelezwa kuwa kitaalam na kiafya mtu mmoja anapaswa kula nyama wastani wa kilo moja kwa wiki ikiwa ni njia moja wapo ya kuondokana na utapiamlo.
Hayo yameelezwa leo Oktoba 28 Jijini Dodoma na Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania Dkt. Daniel Mushi wakati Akielezea utekelezaji wa shughuli...
Mimi Mdau wa JamiiForums ninasema hivi, vikundi vingi katika jamii ni changamoto.
Vikundi vingi vimejikita katika:
1. Kusaidiana katika shida na raha, yaani hivi havina malengo zaidi ya kuchangishana pesa za misiba na sherehe mbalimbali ikiwemo harusi, sendoffs na birthdays. Changamoto kwenye...
USIKKUBALI MTU MWINGINE AKAANDIKA HISTORIA YAKO, ANDIKA MWENYEWE KWA AJILI YA WATOTO/KIZAZI CHAKO.
Anaandika Robert Heriel
Baba
Wakati Sisi wengine tukishindwa kutaja vizazi hata Vinne Kurudi nyuma, mfano, Baba,
Babu,
Baba yake Babu.
Babu yake Babu.
Wenzetu Wayahudi watoto wao wanauwezo wa...
Fuatilia jamii za wakulima na wafugaji. Utaona wakulima ni wafupi sana. Watu warefu kabisa Afrika wote ni wafugaji. Wadinka na wasudan kusini wengine, Wamasai, Watutsi, wahausa n.k, na hata kwa kawaida wabantu si warefu (sababu ya lishe duni), lakini Wukuma na Wakurya ni warefu sababu ya kupiga...
Mama huyu ni mpumbavu sana, anaanzaje kumkatili mtoto kiasi hiki?
Mtoto siku yake ya kuzaliwa ni siku ya furaha lakini kinachofanyika hapa ni tofauti kabisa.
Mtoto anavutwa, anawekwa sakafuni kwa nguvu, anamwagiwa maji yabaridi na analia kwa nguvu kuonyesha kuchukizwa na kinachoendelea lakini...
Ukizungumzia tiba asili kwa watu wengi picha inayokuja haraka ni kwa watu waishio vijijini au jamii ambazo hazijapiga hatua katika masuala ya matibabu, lakini ukweli ni kwamba imani hii sio sahihi.
Nchini China tiba asili ina mchango mkubwa katika ustawishaji wa afya sawa na ilivyo au...
Taifa linapokuwa na wahitimu wa chuo kikuu ambao hata wakikaa mitaani ni kama hawajamaliza form four ni aibu kwa taifa.
Ni lazima wapimwe kwa mitihani ambayo ina vigezo vya kimataifa.
Bahati nzuri dunia nzima masomo ni yaleyale tu.
Sasa kama vyuo vitawalegezea wanafunzi ili waonekane...
HIFADHI YA JAMII NDIYO MWARUBAINI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE; MUSWADA WA BIMA YA AFYA NI WA KUTUPILIWA MBALI!
Ndugu Waandishi wa Habari,
A. Utangulizi:
Muswada wa sheria ya ‘Bima ya Afya Kwa Wote’ uliwasilishwa Bungeni rasmi tarehe 23 Septemba 2022 na unatarajiwa kuanza kujadiliwa katika ngazi...
Tazama;
Tunashuhudia matukio ya kikatili yakiendelea hapa nchini,
picha toka mtandaoni ya mwanafunzi aliyechomwa mikono.
Tumeshuhudia idadi kubwa ya vijana kupotea ama kufanyiwa ukatili ama kuondolewa baadhi ya viungo vyao sababu ya pesa,
Tumeshuhudia kesi za ubakaji na ulawiti wa watoto...
Maana ya Uraghbishi
Si rahisi kuwa na maana moja kamili ya Uraghbishi, hii ni kwa sababu Uraghbishi ni falsafa, mtazamo na namna ya kuwachochea Wananchi washiriki kwa pamoja katika kujiletea maendeleo yao. Uraghbishi ni mtindo wa maisha.
Lengo la Uraghbishi
Kuwahamasisha wanajamii katika ngazi...
Siku ya jana katika kuadhimisha siku ya walimu Duniani, nimekutana na jumbe nyingi zinazoonyesha uelewa wa Watanzania juu ya kazi ya utekelezaji wa miradi katika Elimu inayofanywa kwa weledi chini ya Uongozi wa serikali ya awamu ya sita, tuangazie baadhi ya mambo;
1.Ujenzi wa Shule mpya za...
Haki na Usawa: Wito wa China wa kuwa na jamii yenye haki zaidi yenye mustakabali wa pamoja
NA BRYAN OTIENO
"Muunganiko na muunganiko, hufuatana umbali wa maili elfu moja."
Matukio sawa ya kihistoria na ujumbe sawa wa kihistoria umeunganisha kwa karibu China na Afrika, na China na Afrika...
Naulizia kuhusu kozi ya bachelor of science in housing and infrastructure planning ndo ikoje yaan inahusu nini na je unawezq jiajiri, mwenye ujuzi msaada wakuu
MAKOSA/DHAMBI AMBAZO TUKIFANYA TUNATAKIWA TUUAWE ILI KUONDOA MAOVU KWENYE JAMII.
Anaandika, Robert Heriel
Tunalalamika Kwa nini dunia ya sasa maovu yameongezeka, matukio ya kikatili na unyama yameshamiri. lakini muda huohuo tunasahau kuwa mbinu namba moja ya kuondoa Uovu kwenye jamii yoyote...
Hapa nchini tangu zamani tumekuwa tukisikia, kushiriki au kuona (kushuhudia) MIRADI mbalimbali inayoanzishwa na kusimamiwa na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo kwenye Jamii husika. Mfano: Miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Shule, Vyuo na Vituo vya Afya n.k
Miradi hii baadhi imekuwa...
SEHEMU YA KWANZA
Habari zenu wana jamii wenzangu natumai muwazima wa afya, kwa walio na changamoto mbalimbali poleni sana niseme tuu ikiwa tunaishi tumaini lipo tusikate tamaa.
Baada ya salamu ningependa kutoa ufafanuzi mfupi juu ya uzi ninaokwenda kuushusha. Kwanza huu ni mtizamo binafsi...
Kama kichwa kinavyojieleza..
Naanza nimesoma shule ya msingi sanawari primary school,shule ipo arusha.
Mwaka (1998-2004)..nawakumbuka walimu waliokuwa wanachapa hatari sana,kuna mwalimu mdee,mwalimu mollel,hawa sitawasahau kwa kichapo heavy.
Nawakaribisha tukumbushane ya zamani...
Dkt. Tulia Ackson ameihoji Serikali akitaka kujua nani anapaswa kuhakikisha michango ya mafao inayokatwa kwa wafanyakazi inapelekwa katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Pia ameitaka Mifuko kufatilia fedha kwa waajiri kwasababu sio wajibu wa mfanyakazi kujua michango imepelekewa au haijapelekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.