jamii forums

  1. JamiiForums Tanzania Nipo kwenye haya mahusiano nisiyoyaelewa

    Kiukweli mapenzi yanauma sana jamni acheni tu, kuna mwanamke nipo nae sasa tuna miezi mitatu, tulikutanaga instagram ndipo tukawa tunawasilana hadi baadae tulipoingia kwenye uchumba, bahati nzuri tunakaa mtaa sio mbali mbali, yeye yupo kihonda mimi nipo msamvu na uwa tunakutana mara kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ananipenda kweli huyu demu?

    Wakuu niaje mazee, kuna kademu kamoja ni karfk kangu tu, tumezoeana hata wiki 2 hazijaisha ila kameanza kunionyeshea vitu vya ajabu, kanaweza kunitumia sms ya uck mwema saa6 uck, mara saa12 asubuhi kakanitumia sms ya siku njema mimi nakasoma tu nakatafutia gia, leo nimekajarbu kukaambia...
  3. JamiiForums Tanzania Kisa corona jana nimenyimwa tunda na huyu demu wa kisomali

    Aisee hii corona imetuletea majanga sisi mabaharia, Jana katika harakati zangu za kusaka angalau tunda kwaajili ya kujiburudisha nalo usiku nimejikuta nikilikosa huku sababu za kulikosa tunda ikiwa ni corona, kuna ex wangu wa muda mrefu ambae tumekuwa tukipashana vipolo kipindi cha nyuma sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

    Kuna taarifa zinasambaa ambapo inasemekana wagonjwa wa COVID-19 walikuwa wamelazwa hopitali ya AMANA wamevunja Geti na kutoroka. Inasemekana hii ni kutokana na kutelekezwa bila ya kupatiwa huduma na kutelekezewa maiti hospitalini. Mwenye update kamili atujuze mimi nimepata Clip za Audio...
  5. JamiiForums Tanzania Simulizi ya kusisimua- (penzi la mfungwa)

    PENZI LA MFUNGWA Mtunzi : sharobaro la jf CONTACT : 0765168293 SEHEMU YA KWANZA-01 "Mwizi mwizii mwiziii..", mayowe yalisikika, mayowe amabayo yalisambaa kwa kasi ya ajabu usiku ule, kitendo ambacho kilipelekea wanakijiji waliokuwa wamelala wakaamka ili kumkimbiza mwizi huyo ambaye alionekana...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu msichana kaninunia ghafla bila sababu

    Katika kitu ambacho kilikuwa kinaniumiza kichwa kipindi nimeanza mapenzi kipindi hicho nipo Form 3 mwaka 2012 ni kuhusu mapenzi. Zamani nakumbuka nilishawahi kupendana na msichana mmoja tulikuwa tupo mtaa mmoja, sasa kama mnavyojua hawa viumbe wakiona wanapendwa sana basi wataanza kuleta visa...
  7. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa haraka kuhusu huyu mwanamke

    Poleni na majukumu ya kujenga nchi wakuu, nije kwenye mada kuna mwanamke ninampenda sana ila sasa tumejenga urafiki mkubwa sana na yeye anaamini mimi ni rafiki yake sasa hapa ndio pananichanganya hata kumtongoza maana nawaza atanionaje. Japo nampenda sana ila nimeshindwa kumwambia ya moyoni...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu ndie mwanamke wa jf ninaemkubali

    Toka nimejiunga humu ndani nimetokea kumkubari sana, ledada kutokana na misimamo yake, na naweza kusema mimi ni shabiki wake wa kutupwa. Na hauniambii kitu kuhusu ledada wa humu jf, wewe unamkubari dada gni wa humu jf na kwanini unamkubari???
  9. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: JamiiForums ndio mtandao bora kwenye utoaji elimu japokuwa wengine waliomba corona ije kupitia hukohuko

    Mwandishi wa habari nguli na mwanasheria Pascal Mayalla amesema mtandao wa JamiiForums ndiyo bora katika utoaji elimu pamoja na kwamba kuna baadhi ya members waliomba Corona ije nchini. Mayalla alikuwa anaongea katika kipindi cha Jicho Letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star TV...
  10. JamiiForums Tanzania Yehodaya nawaageni jamii forums nitakuwa masomoni tutaonana Sept.2020

    Wakuu jamii forums leo ndio siku yangu ya mwisho humu nawaaga nitakuwa busy sana masomoni hamtaniona humu jukwaani hadi september 2020. Mlionikosea nawasamehe bure kwa sharti na ninyi mnisamehe bure nilipowakosea I will miss you all
  11. JamiiForums Tanzania Top 10 threads zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi kwenye Jamii Forums

    Habari ya leo wanaJF, JamiiForums ina zaidi ya members 500k ambao kwa pamoja wamechangia zaidi ya threads (nyuzi) 1.3M huku posts zikiwepo zaidi ya 13M. Lengo letu kwa leo sio kufahamu idadi ya members wa JF bali ni kujua top 10 threads / nyuzi zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi. Hii...
  12. JamiiForums Tanzania TV Program Alert: Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo Live on Star TV - Watch Live On Line!.

    Wanabodi, Kwa vile hili ndio bandiko langu la kwanza kulianzisha kwa mwaka huu humu jf, naomba nianze kwa kuwatakia Heri ya Mwaka Mpya. Kwa wenye access na Star TV, Mkurugenzi wa Jamii Forums, Mkuu Maxence Melo, atakuwa Live on Star TV, kuanzia saa 2:00 asubuhi hii kwenye kipindi Jicho Letu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TUHUMA ZINAZOSAMBAA MITANDAONI KWAMBA WAGONJWA WENGI WANAPOTEZA MAISHA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI-MLOGANZILA. Dar es Salaam. 06 Januari, 2020 Kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii Forum ambazo bila kuchanganua zinatuhumu kwamba...
  14. K

    JamiiForums Tanzania HAPPY NEW YEAR WANA JAMII FORUMS

    Niwatakie Happy New Year wote. Mwaka huu uwe mwaka wa mafanikio kwa kila Mwanajamiiforums. Tujielekeze katika kuelemisha jamii na kutoa ushauri kwa kila jambo ambalo lina manufaa. Tujiepushe na matusi na udhalilishaji kwa jamii. Tupendane na kushirikiana katika kila jambo. Narudia tena HAPPY...
  15. JamiiForums Tanzania Top 20 ya JamiiForums

    Top 20 ya members wenye meseji nyingi kuliko wote jamii forums 1. RUTASHUBANYUMA(JF-Expert member) Message: 169,603 2. NUMBISA( JF-Expert member) Message: 151,963 3. MSHANA JR(platnum member) Message: 127,933 4. SHUNIE(JF-Expert member) Message: 118,537 5. SHIMBA YA BUYENZE( JF- Expert...
  16. JamiiForums Tanzania Tunaiomba jamii forums ndani ya kai ios

    Habari, leo nimenunua kitochi janja kiukweli kipo simple na kinacover mambo mengi compare na kitochi jinga cha nokia, ili nikifahamu vizuri ilibidi nimeweka smartphone langu kubwa kwenye droo na kwakweli sijalimiss sana..Ila Kwenye hili pilau pendwa kilichomiss ni jamiiforums app, ingependeza...
  17. J

    JamiiForums Tanzania BBC waipongeza JamiiForums, wadai ndio tegemeo pekee la habari za uhakika nchini Tanzania, wampongeza Melo na watendaji wake

    BBC wameipongeza JamiiForums kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika Sasa Maxence Melo anahojiwa mubashara kuhusu tuzo anayoipokea nchini Marekani. Chanzo: BBC Dira ya Dunia
  18. JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Hi, I used to think that reading was boring until I found books that really sparked my interest. Reading became important to me because it’s fun and it teaches me new things. It keeps my mind active and inshape and it makes a difference for me if I go long periods without reading books, my mind...
  19. JamiiForums Tanzania Udogo ni kipimo cha mafanikio???

    Mimi ni kijana wa miaka 16 ndo nimemaliza elimu ya kidato cha nne ndio nasubiri matokeo hapo mwezi January,lakini wakati nasubiri matokeo nilwapa wazo wenzangu la kufungua Eatery,sasa shda inakuja ni jinsi gani haswa tutafanya promotion on our eatery and products cause ndo tunataka tuanze tu,na...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Je, Elimu inayotolewa katika shule za misingi, sekondori na vyuo inawasaidiaje wanafunzi kujijengea uwezo binafsi WA kufikiri???

    Ndug wana Jf nimeileta Mada hii kusudi tuweze kuchambua, kwa kina kuhusu elimu zitolewazo shuleni na vyuoni ni kwa kiwango gani kinawasaidia wanafunzi kuwa na uwezo binafsi wa kufikiri na kuweza kkuchambua na kutatua changamoto mbalimbali wanazokutana Nazo katika maisha yao ya kila siku. Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…