HAPPY NEW YEAR WANA JAMII FORUMS

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Niwatakie Happy New Year wote. Mwaka huu uwe mwaka wa mafanikio kwa kila Mwanajamiiforums. Tujielekeze katika kuelemisha jamii na kutoa ushauri kwa kila jambo ambalo lina manufaa. Tujiepushe na matusi na udhalilishaji kwa jamii. Tupendane na kushirikiana katika kila jambo. Narudia tena HAPPY NEW YEAR.
 
Mungu atujaaliye hekima zake na neema nyingi. Tuwe watu wa kubariki, wala si kulaani. Tuwe watu wa kutoa, wala si kupokea, tuwe watu wa kuwatia moyo wengine, wala si wakulaumu tu. Mwaka 2020 uwe mwaka wa mabadiliko katka nafsi na roho zetu, hakika tutamuona Bwana. Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2020
Niwatakie Happy New Year wote. Mwaka huu uwe mwaka wa mafanikio kwa kila Mwanajamiiforums. Tujielekeze katika kuelemisha jamii na kutoa ushauri kwa kila jambo ambalo lina manufaa. Tujiepushe na matusi na udhalilishaji kwa jamii. Tupendane na kushirikiana katika kila jambo. Narudia tena HAPPY NEW YEAR.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini Mungu ana makusudi nasi ndio maana ametuacha hai tena tukauona mwaka mpya 2020 hatuna budi kumshukuru yeye maana sio kwamba sisi ni wema sana ila ni KWA NEEMA NA REHEMA ZAKE PEKEE!!! HAPPY NEW YEAR 2020!!
 
Amen. Napunguza kabisaaa kutukanana
images(2).jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom