Udogo ni kipimo cha mafanikio???

Ally ucher

New Member
Oct 14, 2018
2
0
Mimi ni kijana wa miaka 16 ndo nimemaliza elimu ya kidato cha nne ndio nasubiri matokeo hapo mwezi January,lakini wakati nasubiri matokeo nilwapa wazo wenzangu la kufungua Eatery,sasa shda inakuja ni jinsi gani haswa tutafanya promotion on our eatery and products cause ndo tunataka tuanze tu,na wote ndio we have just graduated
 
Daah nakuonea donge umepata akili hiyo ukiwa na miaka 16 nawakati mimi katika umri huo sina chochote nachokijua zaidi ya kumeza masomo tu, kingine 16 umemaliza four nakati mimi umri huwo nipo form two, pambana mkuu kama umestuka mapema target kabla 20 ufike mbali sio kidogo.

Ila iyo Eatery ndio nini.
 
Ni mgahawa au hoteli ya chakula
 
Daah nakuonea donge umepata akili hiyo ukiwa na miaka 16 nawakati mimi katika umri huo sina chochote nachokijua zaidi ya kumeza masomo tu, kingine 16 umemaliza four nakati mimi umri huwo nipo form two, pambana mkuu kama umestuka mapema target kabla 20 ufike mbali sio kidogo.

Ila iyo Eatery ndio nini.
Hta mmi siijui
 
Yani humu ndani kumbe sometimes nabishana kwenye baadhi ya mada na tutoto tudogo kiasi hiki........daaaah
 
Vizur lakin kwa hiyo kesi yako unatakiwa utazame mazingira kwanza ni rafiki nabhiyoo biashara utakayo taka kuianzisha ukipaona pako okey mnaanza sasa hapo kidogo kidogo kesi imeisha
 
Back
Top Bottom