Je, Elimu inayotolewa katika shule za misingi, sekondori na vyuo inawasaidiaje wanafunzi kujijengea uwezo binafsi WA kufikiri???

Sep 3, 2018
14
5
Ndug wana Jf nimeileta Mada hii kusudi tuweze kuchambua, kwa kina kuhusu elimu zitolewazo shuleni na vyuoni ni kwa kiwango gani kinawasaidia wanafunzi kuwa na uwezo binafsi wa kufikiri na kuweza kkuchambua na kutatua changamoto mbalimbali wanazokutana Nazo katika maisha yao ya kila siku.

Na je, ni mbinu gani ziweze kutumiwa na walimu wahadhiri na wakufunzi mbalimbali ili kusudi waweza kuwasaidia wanafunzi na wanavyuo kuwa na uwezo binafsi WA kufikiri.

Mtazamo wangu binafsi.
Kwa elimu zinazotolewa katika shule na vyuo mbalimbal hazina mchango wowote katika kuongoze uwezo binafsi wa kufikiri kwa wanafunzi Bali umekuwa ukididimiza zaidi uwezo WA binafsi WA kufikiri na kuvumbua mambo mbalimbali na kutatua changamoto mbalimbali, elimu hii hasa imewafanya wanafunzi kukarii zaidi masomo wanayofundishwa ili waweze kufaulu tu mitihani na kuwa na vyet vingi visivyokuwa na msingi wowote, na kutokujua kwa namna gani wanaweza kuyatumia elimu Hugo katika kuleta mafanikio na maendeleo kwa jamii,
Hali hii hasa inachangiwa na jinsi elimu inavyowasilishwa kwa wanafunzi hasa wa masomo ya sayansi elimu inapofundishwa kwa nadharia tu, na inapokaribia mitihan wanafunz ndipo hukaririshwa namna za kufanya practically kusud tu wanafunz wawez kufaulu na kusahau kuwa wanafunz Hawa ndio wanaohitajika wawe wataalamu wa siku zijazo, suala hili limepelekea kuwa na watumish na wataalamu wasiokuwa na ujuz wa kina katik taaluma zao mfano (utakuta mwalimu et hajui namna ya kufanya practically na kuishia kuwapa wanafunz vifaa wafanye wenyew bila hata kuwaongza namna ya kufany)
suala hili pia limepelekea wanafunz na wanavyuo weng wanapomaliza vyuo kusubiria ajira na kushindwa kujiajir wenyew kwasababu Kwanzaa hawana uwez binafsi wa kufikir ni nini wanaweza wakakifany na kwa namna gan wanawez kufany shughuli mbalmbl za kujiajir wenyew pia wameshindw kutambua fursa zilizopo za kuwez kujiajir, lakin pia kushindw kutambua talent walizo nazo ili wazitumie katik kuleta nafanikio. Na hata wengin wameshindwa kufany maamuz binafsi na kutegemea watu mbalimbsl kuwafanyia maamuz
ukijaribu kuchunguza utaon kuw matajir weng na watu weng waliofanikiwa hawakutegemea hasa elimu wanazopata mashulen n vyuon, na pia wengine hawana hata elimu
Ukijiuliz je, uwez huo WA kufikia mafanikio makubw unatoka WP?? Na watu haw hawan elimu
Jibu n kwamb watu haw wametambua na wamewez kutumia uwezo binafsi wa kufikir na kuzishughulisha akili zao kufikir na kufanya maamuz binafsi .

Bas niwakaribish wadau mbalimbali wa Elim, wataalamu, walimu, wakufunz na wote tujadil kwa pamoja tuwez kutengenez kizaz cheny mafanikio makubwa .

nawasilisha.....
 
elimu elimu elimu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom