jamii forum

JamiiForums is a Tanzania-based social networking website in East Africa founded in 2006. The online network is notable as the most popular social media website in Tanzania, according to AllAfrica. The website emphasizes its use of user-generated content to avoid penalties faced by traditional media for reporting issues in Tanzania. According to Washington Post, recent Tanzanian bills have caused significant worry over potential media crackdown in Tanzania, though its founders faced several law charges over the years.

JamiiForums was officially launched in March 2006 with the name JamboForums, and comprised several online subforums. In May 2008 they changed their name to JamiiForums due to copyright issues. In March 2016, Jamii Media filed a lawsuit against the federal Tanzanian police force, alleging that the police force's power to demand personal information of individuals suspected of crimes was unconstitutional. The case will be processed through the High Court of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Raziel

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa elimu ya juu uhusike kutengeneza wajasiriamali nchini

    Tanzania kama zilivyo nchi nyingi zinazoendelea zinakabiliwa na kiwango kikubwa cha umasikini ambao unapelekea huduma za kijamii kama elimu, afya, barabara, umeme na mambo mengine kupatikana kwa hali isiyoridhisha na hali hii inatokana na serikali kuachiwa mzigo mzima wa kutatua changamoto hizi...
  2. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Katika majumuisho ya Habari Mh, Rais Samia amtaja Max na Jamii Forum

    Tukiwa hapa Mlimani City Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemtaja Mkurugenzi Mkuu wa Jamii forum Maxence Melo na Mtandao mzima wa Jamii forum katka majumuisho yake kuhusu uandishi wa mitandaoni akiipa kongole Jamii Forum katka usimamizi mzur wa habar za mitandao lakini akaongeza kuwa makini...
  3. Sauti Moja Festival

    JamiiForums Tanzania Salam za Eid al-Adha kwa wana jamii forum kutoka Sauti Moja Festival!

    Tunawapongeza kwa sikukuu hii ya kipekee, inayotukumbusha umuhimu wa kujitolea, imani, na mshikamano. Tunawatakia baraka nyingi, afya njema, na amani tele katika kipindi hiki cha Eid. Tunatumaini mnafurahia sherehe hizi pamoja na familia na marafiki, huku mkikumbuka umuhimu wa kusaidiana na kuwa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo na tuitarajiayo

    Tanzania Tuitakayo: Ajira na Tenda kwa Miaka 25 Ijayo Utangulizi Katika kijiji kidogo cha Mkwajuni, kulikuwa na kijana mwenye ndoto kubwa, Juma. Alikuwa na elimu ya chuo kikuu lakini alipambana kupata ajira katika soko la ajira ambalo lilikuwa na ushindani mkubwa. Hali hii ilimfanya Juma...
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Jamii forum, maoni dira ya Taifa, 2025-2050.

    -Maoni yangu binafsi ni umri wa kustaafu uwe miaka 50, kupisha chipukizi. -Iwe mwiko mtu kushika nafasi za kiuongozi zaidi ya moja. -Baada mtu kustaafu awe anapatiwa eneo la ekari 2, kama sehemu za benefit zake. -Uchumi wa viwanda upewe uzito -Utaalamu wa maswala ya electronic, ujuzi wake kwa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya Tuzo ya Milioni 50 kutoka Jamii forums kwa Maendeleo Binafsi na ya Nchi kwa Miaka 25 Ijayo

    Utangulizi Kushinda shindano la "Stories Challenge" na kuibuka mshindi wa shilingi milioni 50 ni tukio la kipekee linaloweza kubadili maisha. Malipo haya ni fursa adhimu ya kuweka msingi imara wa maendeleo binafsi na ya nchi. Katika makala hii, nitaelezea jinsi ninavyoweza kutumia fedha hizi kwa...
  7. mussason

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuelezea Tanzania ya Kesho: Maono ya Kibunifu kwa Mustakabali Endelevu

    Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, utamaduni mzuri, na watu wenye bidii na vipaji vingi. Hata hivyo, ili kufikia uwezo wake kamili na kufanikiwa katika kuleta maendeleo endelevu, ni muhimu kuwekeza katika maono ya kibunifu yanayolenga kuboresha maisha ya Watanzania...
  8. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania SoC04 Futa machozi tuondoe gizani

    Tanzania tuitakayo ni nchi yenye umeme endelevu na imara, ambayo inawezesha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wake. Kwa kuzingatia hili, serikali itaanzisha mpango wa kuimarisha miundombinu ya umeme nchini kote, ikiwa ni pamoja na kuboresha mitambo ya kuzalisha umeme, kupanua mtandao...
  9. Fundi manyumba 01

    JamiiForums Tanzania Maisha 2070: Una nini cha kuacha kama kumbu kumbu hapa JamiiForums

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "ChitChat". Ni tumaini langu wote ni wazima. Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma mpaka mwisho. Kuna vitu vingi vinatokea katika maisha tunavichukulia kawaida but Ushawahi kujiuliza...
  10. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 15 ndani ya JamiiForums

    Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki. Huu ni mwaka wa kumi na tano ndani ya jamii forum......(si mchezo).. Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana. Na wale tunaopishana kimtazamo au mawazo hapan'shaka twasameheana manake kiukweli binadamu tuna mapungufu na mie njia ya...
  11. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Hivi humu JamiiForums hatuwezi kuanzisha vikobesha

    Yaani VICOBA ili kujikwamua katika hili na lile...ni wazo tu waungwana....au ninyi mwafikirije?
  12. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuwa msomaji miaka takribani 6 sasa nimejisajili rasmi JamiiForums

    WAKUU HESHIMA SANA KWENU: Nimekua msomaji humu jf miaka takribani sita ila now ni mwanachama haiiii..humu ni vile sijasomeka persnlty yangu kwa kuwa sikua rasmi ila character za members na vimbwanga vyao 97% nazijua kulingana na post zao kwa hiyo nina furaha kwa sasa nimekua mchangiaji pia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Thanks JamiiForums members!

    Habari zenu jamii forum members, aisee nilikuwa nikifuatilia jamii forum Kwa muda mrefu tangia mwaka 2012 , yaani miaka 12 iliyopita, japo am new member here. NIMEJIFUNZA MAMBO MENGI. Na nimeona wasomi wa humu au labda, wakishua au watu wakawaida tu, wako fair katika kutoa mawazo, na michango...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Hodi JamiiForums

    Bila kupoteza wasaaa, Mimi Heyyouyoungman ni mgeni hapa jamii forum, japo nakili kuifahan JamiiForums toka mwaka 2010 nikiwa kidato cha pili katika shule moja wapo huko Rukwa. Nimekuwa nikisoma thread mbalimbali za humu jamii forum na kuvutiwa na watu kadha hasa mwanadada To yeye , na...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwanini naipenda Jamii Forums? Sabau kuu ni hii...

    KWA NINI NAIPENDA JAMII FORUM? SABABU KUU NI HII. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli JamiiForums ni moja ya mtandao mkubwa hapa Tanzania ambao ninaupenda na haiwezi kupita siku bila kuingia kama nitakuwa mzima. Nilianza kuingia JF mwaka 2011 kutokana na upenzi wa kusoma Makala ndefu zenye tija...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Afrika Mashariki yazindua noti yake iitwayo SHEAFRA

    Habari wakuu, Nimeona taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki imetambulisha noti yake itakayotumika katika nchi wanachama, iliyopewa jina la SHEAFRA (SHF). Wengi wameinukuu akaunti kutoka mtandao wa X (zamani Twitter) inayojulikana Government of East Africa Moja ya...
  17. jonas amos

    JamiiForums Tanzania VODACOM wamesema, dakika zilizobaki zinapaswa kutumika usiku kuanzia 5.59 mpaka 11.59 Alfajiri

    Habari, ya kutwa mwanzo wa juma kabisa siku ya hangover kazini za weekend nzima Mimi kwa majina ndo haya haya mnayoyaona Nimekutana na changamoto ya wizi wa dakika kutoka mtandao wa vodacom Nilijiunga kifurushi cha wiki cheka ya tsh 30,00 ambapo hupata dakika zenye nchanganuo wa matumiz...
  18. SAFCo_Academy

    JamiiForums Tanzania (Tanzania) Clean up your data headaches! Jump into Power Query training and see how it can make your data work way easier.

    Why Choose Power Query Training with Us? Hands-On Learning: Our training is practical and hands-on, ensuring you gain real-world skills that you can apply immediately. Expert Guidance: Learn from experienced instructors who will guide you through the ins and outs of Power Query. Supportive...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Serikali haioni hivi vichwa vilivyopo JamiiForums?

    Kwanza, ninaipongeza kwa kumteua Mkurugenzi wa JF, Maxence Mello kuwa mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Naamini hawajakosea kumteua mtajwa. Lakini inafahamu kuwa kuna vichwa vingine kibao, tena wanaotumia verified Id hivyo si kazi kuwapata, ambao wangeweza kuwa na mchango...
  20. AFRICAN BOYI

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, huku mtaani sio poa

    Habari zenu wakuu Wakuu naombemi kazi yoyote ya halali huku mtaani sio poa. Huku kitaa nimepambana sana huku na kule lakn bado kugumu ila hatukati tamaa. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi aniunganishe tafadhali, ata za viwandani sawa tu muhimu kupata chochote kitu. Mwenye connection za saidi...
Back
Top Bottom