jamii forum

JamiiForums is a Tanzania-based social networking website in East Africa founded in 2006. The online network is notable as the most popular social media website in Tanzania, according to AllAfrica. The website emphasizes its use of user-generated content to avoid penalties faced by traditional media for reporting issues in Tanzania. According to Washington Post, recent Tanzanian bills have caused significant worry over potential media crackdown in Tanzania, though its founders faced several law charges over the years.

JamiiForums was officially launched in March 2006 with the name JamboForums, and comprised several online subforums. In May 2008 they changed their name to JamiiForums due to copyright issues. In March 2016, Jamii Media filed a lawsuit against the federal Tanzanian police force, alleging that the police force's power to demand personal information of individuals suspected of crimes was unconstitutional. The case will be processed through the High Court of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania JamiiForums inaniathiri

    Inanipa sana wakati mgumu, Hasa nje ya mtandao huu Huko kwenye Whatsapp group Naona watu wanachart wanaongea pumba tu. Hawana fact Wala logic, nishazoea huku watu wanaongea kwa fact. Hali inayopelekea kugombana na baadhi ya watu kwa sababu hawana mawazo yenye akili. Issue ingine nakuwa free...
  2. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona hapa JamiiForums kutoka kwa Watu aina tofauti

    Shikamooni wakubwa, Kwanza nishangae, Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki. Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao. Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea...
  3. B

    JamiiForums Tanzania TRA VS TPDC

    wakuu wapi kuna asali maana jamii forum hakujawai kosekana jibu kati ya TPDC vs TRA
  4. Momentuum

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi jamii forum kuwa na akili mnemba (AI) yake

    Matumizi ya akili mnemba yaani artificial intelligence (AI) yakiendelea kukua kwa kasi binafsi nadhani ni wakati sahihi mtandao wa jamii forum kuwa na AI yake kama ilivyo kwa grok ya X(zamani twitter), Gemini (google) Microsoft copilot na chatGPT
  5. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza ongezeko la mishahara linawahusu watumishi wapi?

    Je ongezeko la mishahara linawahusu watumishi wapi walimu, madaktari au ni akina nani maana yaani apo kwenye kwa mishahara ya kima Cha chini sielewi naomba anae jua anipe ufahamu .?
  6. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Msaada: yule mwanamke wa JamiiForum niliyempa talaka anaomba kurudia baada ya kuona thread yangu

    Wakuu hawa viumbe vipoje? Aisee yule mke wangu wa jamii forum aliyenitosa anaomba turudiane baada ya kuona andiko langu la hapa jamvini na analalamika yule bwana wake mpya amemtosa na analalamika hamfikishi kileleni so ameomba turudiane Kiukweli mimi nilikuwa namfikisha kunako mlima kitonga na...
  7. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

    Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

    Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site...
  9. Zee la michongo

    JamiiForums Tanzania Mgeni wa Jamii Forums

    Habari wakuu Mimi ni mgeni nahitaji support yenu na ushirikiano wenu Ova
  10. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Ijue tofauti ya Member na Senior Member ndani ya JF

    "JF member" na "senior member" ni maneno yanayotumika sana katika muktadha wa majadiliano ya mtandaoni, haswa kwenye jukwaa la JamiiForums (JF). Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili: * JF Member: * Hii ni neno la jumla linalorejelea mtu yeyote aliyesajiliwa na anayeshiriki kwenye...
  11. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Habari wana JAMII FORUM je nikitaka kuuza madini lazima niwe na kibali ?

    Habari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?
  12. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Watengeneza maudhui huko x kumbe kuna muda wanachukua content humu jamii forum?

    Hilo nimelibaini katika pitapita zangu huko twitter. Na kingine na maana ubunifu wa kutengeneza maudhui umeisha hadi content nyingi ziwe zina relate tu na mambo ya uasherati na uzinzi🤔
  13. immortanity

    JamiiForums Tanzania Lake Zone ni zone pekee nchini inaweza jitegemea na kuwa nchi

    Amini kwamba hii zone imebarikiwa kila aina ya rasilimali hata pia idadi ya watu . Ni dhahili kua inaweza kua nchi na kujitegemea
  14. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania China inatumia Tiktok kuadvance agenda zake kimataifa kwanini Tanzania isitumie app za ndani kama JamiiForums Kudominate Global tech??

    Wakuu nauliza tu!! Kulingana na dunia inavo enda Tech giant zinapewa pesa na serikali zao kusambaza ajenda na maslahi ya nchi zao!! Tanzania tuna ajenda nyingi ambazo tunaweza kuzitumia tech zetu hata kama ndogo kuadvance kwene uso wa dunia Mfano ni hii JamiiForums ambayo mizizi yake ni hapa...
  15. DMmasi

    JamiiForums Tanzania HIVI JAMII FORUM WAMEANZA KULIPA KAMA KWA ELON?

    Siku hizi kumekuwa na uwandikaji mwingi wa machapisho ambayo hayana/umuhimu maana kiasi yanapoteza ladha ya kukaa jukwaani
  16. Augustine Aloyce

    JamiiForums Tanzania Jipange upya mwaka 2025

    Good Morning 🌞 for Everyone. 2025 Jipange upya njia uliyoitumia kuyaendea mafanikio na plan zako mwaka 2024 usikubali kurejea nayo kwani adui wamekutegea mikwamo mingi sana pengine mwaka 2025 usifike hata robo ya safari yako ya mafanikio, Ninachotamani uelewe ni hiki hapa!! Umekuwa ukifanya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

    Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata immortality life baada ya kufa. Je nawauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ingawa haja jishikiza kwenye...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Walimu wangu wananishauri nikasome BSc with Wducation UDSM. Nifanye nini?

    Mimi ni mwanafunzi nimemaliza form four mwaka 2021. Na nikapangiwa stashahada ya ualimu katika masomo ya physics and chemistry. Katika kozi hii tunasoma miaka mitatu, miaka miwili advance na mwaka mmoja ndo tunasomea ualimu. Sasa nimemaliza advance mwaka huu 2024 na nimepata division one ya...
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Habari wana Jamii forum, kuna swali hapa na zawadi itatolewa kwa atakaepata 👇🏾

    In a survey of 100 people, participants were asked to rate their satisfaction level on three different aspects: price, quality, and customer service. The results are as follows: | Aspect | Very Satisfied | Satisfied | Neutral | Dissatisfied | Very Dissatisfied |...
  20. Symon Samba

    JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha kwamba kunywa vikombe kadhaa vya kahawa yako pendwa kila siku kunaweza punguza hatari ya saratani ya tezi dume

    Habari njema kwa wapenzi wa kahawa. Utafiti unaonyesha kwamba kunywa vikombe kadhaa vya kahawa yako pendwa kila siku kunaweza punguza hatari ya saratani ya tezi dume. Utafiti wa hivi karibuni unaoangazia uhusiano kati ya unywaji wa kahawa na hatari ya saratani ya tezi dume ulijumuisha data...
Back
Top Bottom