jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,615
- 4,389
Habari, ya kutwa mwanzo wa juma kabisa siku ya hangover kazini za weekend nzima
Mimi kwa majina ndo haya haya mnayoyaona
Nimekutana na changamoto ya wizi wa dakika kutoka mtandao wa vodacom
Nilijiunga kifurushi cha wiki cheka ya tsh 30,00 ambapo hupata dakika zenye nchanganuo wa matumiz
Katika hari isiyo ya kawaida na ikiwa leo ni mara ya pili kutokea har hii dakika ukiangalia salio unaona zipo ila ukipiga unambiwa huna salio la kutosha
Ndugu jonas:
Salio muda wa maongezi: akaunti kuu tsh 0.26.
Kifurushi:sms 10 mb 542
Dk 89 sek 11 voda sms 10 mpaka 2024-02-14 12:04:00.
Mb 542 mpaka 2024-02-24 21:14:09.
Dakika ni hizo hapo ila napiga nambiwa salio halitoshi
Nimejaribu kuwapugia huduma kwa wateja
Majibu aliyotoa nahis na kuamini ni wizi kabisa
Vodacom
Eti dakika zilizobaki zinapaswa kutumika usiku kuanzia 5.59 mpaka 11.59 alfajir
Wameleta mambo ya zaman enzi hizo usiku bure kina tigo
Yaani wanajua kabisa dakika hizo kwa usiku mtu sio rahis kutumia wanatumia nafasi hii kuibia
Selikal ni kweli mna mambo mengi ila kupitia wizara au trca naomba mfanyie kazi kutuepusha na huu wizi
Hari ya pesa saiv yafaa sana kuheshimu pesa
Kutuibia ni kutuona watanzania ni vilaza
Tcra
@wizara ya mawasiliano
Vodacom
Tunaomba hii tatzio3 lifanyiwe utatuzi wa haraka
Naomba kuwasilisha