jamhuri

Jamhuri Day (Republic Day) is a national holiday in Kenya, celebrated on 12 December each year. Jamhuri is the Swahili word for "republic" and the holiday is meant to officially mark the date when Kenya became a republic on 12th December 1964. The country became a republic after gaining full self-governance from the United Kingdom, after gaining independence on 1st June 1963. Jamhuri Day is regarded as Kenya's most important day, marked by numerous festivities which celebrate the country's cultural heritage and looks back at her journey to independence and self-governance.The entire Kenyan

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Africa ya Kati

    Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu( ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2013 Nourredine Adam, kiongozi wa kundi la Popular Front for the Rebirth of...
  2. JamiiForums Tanzania Zanzibari si sehemu ya serikali ya Jamhuri? Hebu ona bei yao ya mafuta

    hii ni taarifa ya Zura(EWURA ya Zenji) mwezi huu tar 4 juu ya bei ya mafuta: Pettrol - Tsh.2642 , Diesel- Tsh.2644 na hii ni taarifa ya EWURA ya jamhuri tarehe na mwezi kama wa ZURA; Petrol - Tsh. 3148, Diesel - 3258 Maisha tunayoishi huku bara wapemba wasingeweza.
  3. J

    JamiiForums Tanzania CUF yapendekeza Serikali ya Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amemtaka serikali ya JMT iwe ya. Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar CUF Ilikuwa inawasilisha maoni yake mbele ya Kikosi kazi cha Profesa Mkandala na Zitto Kabwe. === Chama cha Wananchi (CUF) kimependekeza Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa na muundo wa...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga / Uwanja wa Jamhuri / Dodoma / Ligi Kuu Bara

    Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, leo Jumapili Mei 15, 2022, Yanga watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Jamhuri kucheza dhidi ya Dodoma Jiji FC Mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Yanga haijapata bao hata moja katika mechi tatu zilizopita mfululizo katika Ligi Kuu Bara, presha kubwa ipo pia kwa mshambuliaji...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kwako Dkt. Tulia Ackson: Kuhusu waliofukuzwa Chadema, mheshimu Sheria za nchi

    Ninayo machache kwako kama raia wa nchi kama ilivyo kwa watanzania wengine. Kwa siku za hivi karibuni hasa alhamisi ya tar 12.05.2022 kulienea taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya uanachama wa dada zetu 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA kuwa wamevuliwa uanachama wao ndani ya CHADEMA. Na...
  6. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. "Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kama Jamhuri ilimuonea huruma Mbowe na ugaidi basi Mdee na wenzake wataachwa

    Si Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi. Mbowe aliposhtakiwa na Ugaidi tuliona serikali za nchi hizo kufuatilia kwa karibu kesi hiyo na yote si kwa Sababu wanaipenda Sana CHADEMA au Mbowe ila ni kuhakikisha usalama...
  8. JamiiForums Tanzania Dodoma: Maadhimisho ya Mei Mosi, Waliofukuzwa kwa vyeti feki kulipwa, ahadi ya Nyongeza ya Mishahara yatolewa, Unyanyasaji kazini wakemewa

    Tanzania inaungana na mataifa mengine katika kuazimisha siku hii ambayo itakuwa ni mara ya pili kwa Rais Samia Hassan kuwahutubia wafanyakazi baada ya kushika wadhifa huo. Rais Samia atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho haya huku wafanyakazi akisubiri kwa hamu hotuba yake kutokana na ahadi...
  9. JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Afrika ya Kati yawa nchi ya Kwanza Afrika kuhalalisha matumizi ya Bitcoin kama sarafu rasmi

    Mkuu wa wasaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ‘Central Republic of Africa’ (CAR) Obed Namsio alisema mswada unaosimamia matumizi ya ‘cryptocurrency’ ulipitishwa kwa kauli moja na bunge wiki iliyopita na Rais anaunga mkono muswada huo akidai utaboresha hali ya raia wake Jamhuri ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais ya wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania

    Rasi Samia Suluhu Hassan
  11. JamiiForums Tanzania Mawaziri kuwekwa kitimoto na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Abdulrahman Kinana amesema hivi karibuni Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kitafanya kikao kitakachowakutanisha mawaziri wote ili kujadili mstakabali wa nchi hasa kuhusiana na suala la mfumko wa bei katika bidhaa mbalimbali hapa nchini...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna Mbunge hajui kama kuna dira ya Taifa ya Maendeleo 2025? Tulikosea 2020, tujisahihishe 2025

    Inashangaza, inasikitisha, inakera, inaumiza, inahuzunisha, Ikiwa Mbunge wa kuchaguliwa hajui kama nchi tuna dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Je mbunge huyu anajua kuwa kuna Ilani ya chama? aliombaje kura kwa Wananchi kama hajui chochote? je anajua yuko bungeni kwa kazi? akiwa kama Mwenyekiti...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania; wanatimiza wajibu wao kikatiba.

    Ninawaza kwa kina majibu sipati, hawa waheshimiwa wanatekeleza wajibu wao kikatiba kweli?. Ninaona wenzetu hawatangulizi masrahi ya taifa mbele badala yake wamejaa chuki binafisi, kujipendekeza na kulinda masrahi Yao binafisi.Ninamuangalia Luhaga mpina wa 2015-2020 si huyu wa 2021-2025.Musukuma...
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo lawahusisha wanajeshi wa Rwanda na waasi

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo linasema kuwa wanajeshi wa Rwanda waliwasaidia waasi wa M23 wakati wa shambulio la Jumatatu karibu na mpaka wake na Rwanda na Uganda. Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema limewakamata wanajeshi wawili wa Rwanda waliohusika na shambulizi...
  15. JamiiForums Tanzania History is made! Democratic Republic of Congo is now a new member of the East African Community

    EAC Heads of State OFFICIALLY admit the Democratic Republic of the Congo (DRC) into the East African Community. H.E Uhuru Kenyatta,Chair of the Summit of EAC Heads of States announces during the 19th Extra-Ordinary Summit of EAC Heads of State. === Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Ombi: Rais Samia ikikupendeza futa Waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa Mkuu wa Utumishi wa Umma

    Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ninaombi kwako ikikupendeza na kuona inafaa ulifanyie kazi. Ninaomba uufute waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa mkuu wa utumishi wa umma. Waraka huu umetoa taratibu kadhaa kwa watumishi wa umma ili waweze Kugombea nafasi za kisiasa. Nina sababu za kukuomba...
  17. JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Humphrey Polepole na Waziri Kindamba waapishwa

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo: WAZIRI KINDAMBA WAZIRI...
  18. JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 365 za Rais Samia, tutazame Tanzania katika Uhusiano wa Kimataifa

    KUELEKEA SIKU 365 ZA MHE SAMIA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Na Elius Ndabila 0768239284 2: UHUSIANO WA KIMATAIFA. Baada ya kuangazia utulivu wa kisiasa kuelekea siku 365 za Mhe Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo tutaitazama Tanzania katika uhusiano wa kinataifa...
  19. JamiiForums Tanzania Kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe na wenzake hakuna sababu nyingine isipokuwa ushahidi wa Jamhuri kutothibitisha mashitaka

    ASIKUDANGANYE MTU, kwa propaganda yoyote kuwa DPP kutangaza kutokuwa na nia ya kuendelea na mashitaka ya tuhuma za ugaidi na uhujumu uchumi dhidi ya M/Kiti wa CHADEMA - Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake eti ni kwa sababu zingine zozote zile bali ilikuwa ni suala la muda tu siku hii ifike...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia awatumbua Wakurugenzi wa Halmashauri wanne kwa ubadhirifu wa Fedha zikiwemo za UVIKO-19

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida Mjini baada ya kubainika kutumia vibaya fedha za UVIKO-19. --- Rais Samia Suluhu Hassan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…