Rais Ruto: Kenya itapeleka Wanajeshi kulinda Amani Jamhuri ya Congo

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1664042733615.png

Ruto amesema kwasababu Umoja wa Mataifa umetuma vikosi vyake kusaidia katika upatanishi wa amani na kupambana na waasi wa M23, kwa upande wa Kenya ikiwa ni sehemu ya EAC pia itajitolea kusaidia taifa hilo la Afrika ya Kati.

Alibainisha kuwa kila nchi ndani ya EAC, ambayo DRC ni sehemu yake kwa sasa, iliazimia kwa kauli moja kuongeza wanajeshi 12,000 wanaohitajika ambao wangesaidia UN kumaliza mzozo huo.

============================

President William Ruto has refuted claims that deploying Kenya Defence Forces (KDF) soldiers to help ease the conflict in the Eastern part of the Democratic Republic of Congo (DRC) will negatively affect the country.

The Head of State said that just as the United Nations (UN) has deployed its forces to help in peace mediation and battle the M23 rebels, Kenya being part of the East Africa Community (EAC) will also chip in to help the Central African nation.

He noted that every country within the EAC, which DRC is currently a part of, had unanimously resolved to add to the 12,000 required troops who would help the UN to end the conflict.

CITIZEN DIGITAL
 
Back
Top Bottom