jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini nadhani umeme kijijini hautawashwa Japo nyumba Zina umeme?

    Natafakari tu kwamba REA wamepeleka umeme vijijini lakini wananchi awautumii, waliweza kumudu kuwasha taa chache ndani na kwa muda mfupi saa yaani saa moja Hadi saa nne usiku then ukipita vijiji vingi saa tano utadhani umeme hakuna. Wakati wanawasha taa chache kwa muda mchache walikuwa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa elimu: Kila mtu asome

    Ninajua hii itaondolewa hapa haraka,, some na usambaze. Chanjo ya covid 19 inamtengeneze mtu mpya. Hutakuwa wewe tena wala watoto wako, na vizazi vyakkko vyote. Ndiyo sababu inapigiwa kelele kwa lazima bila kujali kuna magonjwa mengi zaidi yanayoua kuliko corona. Sasa hivi serikali...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna Jambo gumu kama kupambana na mwenye Haki

    HAKUNA JAMBO GUMU SANA KAMA KUPAMBANA NA MWENYE HAKI Na, Robert Heriel Kwa kweli kuna mambo magumu Sana Duniani lakini gumu kuliko yote ni kupambana na Mwenye haki. Tena kuna mambo rahisi Sana duniani, lakini rahisi kuliko yote ni kupambana na muovu. Hakuna Jambo rahisi Kama kupambana na mtu...
  4. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania SoC01 Siri inayoweza kukusaidia kama unashindwa kuanza jambo lako

    Miaka mitano iliyopita nilipata wazo la kugeuza taaluma yangu ya ualimu na passion ya usomaji, kujifunza na kufundisha kuwa ajira. Nikawa na mpango wa kufundisha Kwenye radio, TV, semina, makongamano, vyuo na taasisi mbalimbali na kuzalisha podcast zangu. Nikamshirikisha rafiki yangu mmoja...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unajisikiaje Mswahili mwenzako akikusalimia "jambo?"

    Mzuka wanaJF! Yani unakutana na Mmatumbi mwenzako anakusalimia JAMBO haki ya nani siitikii nanyoonya tu. Japo ni neno sahihi la kiswahili katika kusalimiana ila automatically na rasmi ni kwa wazungu kulitumia kutusalimia. Kiukweli kabisa waswahili wengi huona Ugumu kulitumia kusalimiana.
Back
Top Bottom