jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. aliyetegwa

    JamiiForums Tanzania Daima usimdharau usiyemjua, mwenzenu leo nimekutwa na jambo

    Niko zangu kibandani kwangu, hua nauza nguo kwa jumla na rejareja. Mara ghafula wanatokea watu wawili wachafu, mzee kwa umri zaidi ya miaka sitini akiwa amevalia suruali yenye viraka kila sehemu ila sehemu inayoonekana zaidi ni maeneo ya kwenye zipu ambapo pameshonwa na uzi mweupe wakati suruali...
  2. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini jambo hili ni nadra kulisikia kwa walimu, ila kwa hawa sijui kwanini!

    Sijui kwa upande wangu tu au hata kwako unaliona hili. Askari baadhi wamekuwa wanapiga sana mtungi na kupelekea kufukuzwa kazi. Mfano hai, ndugu yangu naye alifukuzwa kazi akiwa na nyota kisa pombe. Kwanini mambo haya hutokea zaidi kwa askari?
  3. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Ilishindikana vipi jambo hili?

    Wakuu kunasabu gani kutokuwa na saini ya waziri wa fedha kwenye hela sh 50, 100, 200 na 500?
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hasa akina Dada hili Jambo si sawa Jamani tunatafutiana tu sababu za kuonana wabaya n.k chonde chonde sisi wengine zinatuathiri sana tu

    Hizi issues mkianika nje sisi wengine tunapatwa na hisia kinyama....yaani tena nikiona sehemu ambapo papuchi inakaa nadata kabisa ... Msianike nje please. Nyumba moja nlipanga dada mmoja akawa anaanika nje vifuniko vyake....siku moja nlimfuata na kumsihi sana asiendelee kufanya hivyo akaniambia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kusikiliza nyimbo za injili(dini) wakati 'mnangonoka' kwa wanandoa na 'mnazini' kwa wasiooana ni jambo jema?

    Tena kuna wakati unasikia kabisa mtu anakandamizwa(anangonolewa) vilivyo na sauti ya kuulilia mkurudungu wa aliye kifuani kwake ukiisikia dirishani, ila hapo hapo tena unasikia playlists za gospel songs tupu zinaimba. Kwa mnaojua mna imani hii ni sawa?
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali kuja na kodi ya kichwa baada ya kuhitimisha zoezi la Sensa?

    Kama mtakuwa muna kumbukumbu nzuri waziri wa fedha alipendekeza kodi ya watu wazima yaani kodi ya kichwa. Binafsi napenda kulipa kodi na kama serikali itaona uhalali wa kuleta Kodi mpya zingine ziletwe haraka. Sasa hii kodi inapaswa iwe kwa madaraja. Ashukuriwe Mungu sensa imekuwa mgongo wa...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nikifanya jambo la msingi nasikia usingizi, nikishika simu unapotea, kwanini?

    Kwa mfano nafungua kitabu kwenye laptop nisome, dakika chache nasikia usingizi, mikishika simu nipoteze usingizi, namaliza masaa bila kusinzia, ipi trick ya ku win hii hali ili niwe productive?
  8. Really Kamodo

    JamiiForums Tanzania Jambo lipi ni muhimu kufanya ili kumuinua kielimu kijana ambaye ni taifa la kesho?

    Tumekua tukikalilishwa sana Watanzania kwamba elimu ni ufunguo wa maisha. NDIYO Elimu ni ufunguo wa maisha, lakini pia tukumbuke kwamba Elimu hiyo tunayowapa vijana wetu inawajenga vipi kifikra vijana wetu. Je, inawasaidia au ndio inawaharibu kisaikorojia? Tunajua hakuna jambo lenye faida tu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya mishahara ya Marais wa Afrika ni jambo la kujiuliza na kutafakari

    Ni Rais ghani Afrika anayepokea mshahara mkubwa kuliko wote Afrika , kwa mujibu wa mtandao wa Africa business , walichapisha chapisho la viongozi wa Afrika wanaopokea mshahara mrefu kuliko wote, ambapo wengi wa viongozi hao wana utajiri wao binafsi ukiachana na uongozi. Ambapo kipindi cha...
  10. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya vifurushi: TTCL MB 1 kuuzwa kwa Tsh 2.50

    Mambo ni byuti byuti huko kwenye maasiliano. Sasa MB 1 ni Tsh 2.50 kutoka 1.50 na hiyo ni TTCL tu sijui huko kwingine
  11. TTCL Customer Care

    JamiiForums Tanzania NEW ALERT: Tarehe 16 Agosti 2022 tuna jambo letu

    Mshtue na mwenzio, sio jambo la kukosa hili. #RudiNyumbaniKumenoga
  12. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete anasifiwa kwa jambo lipi hasa la maana alilofanya nchi hii?

    Watanzania wengi ni watu wenye uelewa mdogo sana wa mambo. Kwa kutumia mwanya huo ndio maana CCM inaendelea kutawala nchi hii wanavyotaka. Unashangaa watu wengi wanamsifia sana Kikwete na kumuona mtu wa aina yake na aliefanya mambo makubwa nchi hii lakini ukweli ni kwamba Kikwete kaliingiza...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie

    Wanabodi, Ukiwa na jambo lako, ukaomba msaada wa usaidizi kwa public ili usaidiwe, the public ulioomba msaada ika respond positive, ukasaidiwa kwa michango ya hali na mali, baadhi yetu ni huwa wanyenyekevu wakati wa kuomba tuu, lakini tukisha fanikiwa, tunatabia ya kujisahau. Haturejei...
  14. Jolvin J Lug

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu anashida pindi anapokutana na jambo gumu katika mawazo(stress) huzimia

    Habari za majukumu na JF. Nina mpenzi wangu ambae nampenda pia nae ananipenda. Na tumekua na mahusiano yaliyodumi kwa muda wa mwaka mmoja Mara kadhaa ameniomba nimpelekee moto nimekua nikimzungusha kwa sababu mi nimuathithika wa Virus vya Ukimwi na yeye anajua. Hatimae siku moja nikafanya...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia acha Kumtumia PM Majaliwa Kuelezea Jambo, kwani haeleweki, haaminiki tena na ana 'PhD' ya Kudanganya na Kukurupuka

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali inapopandisha mishahara inaangalia zaidi kima cha chini na kwamba asilimia 23 iliyosemwa na Rais Samia Suluhu siku ya Mei Mosi iliwalenga zaidi wenye kipato cha chini. Majaliwa ameyasema hayo leo Julai 29, 2022 akitoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa January Makamba unafikirisha sana, lifanyike Jambo

    Habari wana Jf ,ninapata shida sana kuamini kwamba kabla ya kuteua mtu kuwa kiongozi tunafuatilia kwa kina sana . Kwa J Makamba mbali na kwamba ana roho nzuri na ndicho kitu nacho kipenda kwake nimeona haya :- 1.Kutakuwa na Shida kwenye ufaulu wa darasani ,sidhani kama ufaulu wake unaonyesha...
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa mambo ya anga, physics hili jambo limewezekanaje?

    Kama inavyoonekana hapo chini. Hiyo helcopter sioni engine ikizunguka ila inaendelea kuwa hewani. Je hii ikoje?
  18. Nangu Nyau

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wateja wa mahakama a.k.a dada poa piteni hapa kuna jambo

    Moja kwa Moja kwenye maada. Kabla ya yote nadeclare interest, mimi Nangu Nyau mteja mzuri sana wa madada wauza papuchi aka wauza K aka makahaba. Pamoja na heshima yangu kwenye mambo nyeti hili ni la kwangu linalonipa burudani wazungu wanasema "my personal affair" OBSERVATION: Kuna katabia ka...
  19. Rosh Hashannah

    JamiiForums Tanzania Hili la Sakho si jambo geni kwetu

    Msimu wa 2014 YANGA ilitoa Top Scorer wa CAF Champions League/LIGI YA MABINGWA AFRICA hata na wala huezi kukuta wachambuzi wa mchongo wanaisema hii kwa ukubwa wake!
  20. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Je, hali ya ofisi nyingi na makampuni mengi kutaka interns na volunteers ni jambo sahihi?

    Siku hizi kumeibuka tabia ya mashirika na makampuni binafsi na ya serikali kupenda ma intern/volunteer/wa kujitolea kwa sana. Je, ni jambo jema? Wengine hawalipwi kabisa, wengine wanalipwa kidogo. Pia wanatoa ahadi hewa za kukupa ujuzi au kukupa mkataba ambao hautaupata bila connection. NB...
Back
Top Bottom