Ni takwimu za kutisha sana katika Mahusiano/Ndoa. Kuna jambo tunapaswa kujifunza tupende tusipende ama sivyo tutaangamia

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,482
23,623
Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), kwa mwaka unapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima.

Kilichonishangaza ni kwamba asilimia 78% ya Ndoa zinazovunjika ni wanawake ndio wanaoomba talaka na kupeleka maombi hayo.

Kilichonishangaza na Kunimaliza zaidi ni kwamba asilimia 89% ya wanawake wanaoomba talaka ni WANAWAKE WASOMI (Intellectual Women)

Swali; Wanawake wasomi wana SHIDA GANI, kwanini kwao talaka ziwe nyingi, kwanini wengi wanasumbuka na mahusiano na kwanini wengi ni single mothers?

Honestly kuna kitu hakiko sawa kwa hawa Intellectual women, kwa takwimu hizi tunaweza kusema elimu zimewaharibu badala ya kuwatengeneza wawe wake bora.

Ndio, haiwezekani asilimia 89% ya maombi ya talaka yakaliwe na wao pekeao, ina maana elimu zao zinawaambia kwamba solution pekee ni talaka, nawaza sana yani🤔

Ngoja niropoke; wanawake wengi wasomi wana kakiburi ka maarifa kanaitwa "INTELLECTUAL ARROGANCE"

Haka kakiburi kanawaambia hivi "wewe ni msomi, una akili, unajiweza na mwanaume hatakiwi kukusumbua kwa lolote lile"

Haka kakiburi kamewafanya wengi washindwe kuwa wanyenyekevu kwa sababu wanajiona ni classy and high, inafika hatua wanaanza kuvimba.

Wengi walifanikiwa sana kielimu kiasi cha kupata fedha, vyeo na status katika jamii vichwa vikaelemewa sifa na kujiona wanajua na kuweza kila kitu.

Pengine ofisini kwao yeye ndo Managing Director na ana watu wengi wakiume wako chini yake kikazi, anataka na mumewe awe chini yake pia.

Elimu yake, cheo na fedha vinamwambia "Unastahili kunyenyekewa na sio kunyenyekea na unaweza kila kitu" wengi hapa ndipo wanapofeli sasa na kuleta mabalaa.

Pengine walipokuwa wanasoma waliambiwa maneno kama "Soma sana, tafuta fedha zako ili mwanaume asikusumbue kwa lolote lile" (hii ndo shida kubwa)

Kwahiyo wengi kuanzia hapo wakawa wanatembea na competetive mentality (fikra za kishindani) na muda wote wapo kinyume na jinsia ya kiume.

Kinachotokea, wakiolewa wanafanya mambo kama washindani (competetors) kwa wanaume wao na sio wapambanaji wenza (teammates)

Kitu kingine kinachowaharibu ni hizi FEMINISTS MOVEMENTS (harakazi zinazodaiwa kumpa nguvu mwanamke na kumkomboa kifikra)

Ukizifuatilia vizuri hizi harakati zinawafanya wanawake wahisi kwamba hata wao wanaweza kuwa kama wanaume since they can pay bills na ada za watoto.

Sikatai, ni kweli kabisa kuna majukumu mwanamke anaweza kuyaperform kama mwanaume lakini haitatokea hata siku moja akawa kichwa cha familia.

Elimu walizopata wengi wao zimewasababishia kakitu kanaitwa "Control Freak Disorder" (unajua ni kanini haka, soma hapa chini👇)

Ni kale ka akili ka kumtaka mwanamke amcontrol mwanaume na kumfanya mwanaume aenende vile mwanamke anataka (amuweke chini)

Na hii inatokana na ukweli kwamba wengi wameweza kuongoza kakundi ka watu, wengi wameweza kufanya vitu vikubwa katika academic fields zao.

Kitendo cha kufanikiwa kuongoza kakundi ka watu kinawafanya hata kwenye ndoa nafasi ya kuongoza ambayo ni ya mwanaume aitake mwanamke, yaani yeye ndo awe kichwa.

Msuguano unaanzia hapo, mwanaume yeyote yule anataka yeye ndo awe top, ikitokea mwanamke akataka kumshusha mwanaume ili mwanamke awe top balaa linaanza.

Fuatilia, wanawake ninaowazungumzia hapa wengi wana kakiburi, wanajiona, na wanaamini kwamba hakuna kitu wanahitaji kutoka kwa wanaume na wanaweza kila kitu pekeao.

Wanaume wengi wanatafuta fedha ili wahudumie familia zao na kuwatimizia mahitaji, ila kwa wanawake mambo yako kinyume kabisa!

Wengi wanasoma na wanatafuta fedha ili waweze kuthibitisha kwamba wanaweza kufanya kama wanaume, wanaweza kuishi bila wanaume na hawawezi kusumbuliwa kwa lolote.

Ndio maana, kukiibuka kaugomvi kadogo wengi solution inakuwa ni kuachana ili kuthibitisha kwamba "NINAWEZA KUISHI MWENYEWE NA KAMA NI MTOTO/WATOTO NITALEA COZ NINA FEDHA"

Dear ladies, black brother wenu nawakubali kinoma na nafurahi kuwaona vile mnastrugle kupambania ndoto zenu (hongereni kwa hilo)

Lakini, jitahidi kadri uwezavyo fedha zako, elimu yako na cheo ulichonacho/utakachopata visikutie Kiburi mbele ya mumeo uliyenae/utakaekuwa nae.

Ni kweli umefanikiwa kielimu, pengine una mshahara mkubwa, au biashara zako zinaenda safi, una cheo/position fulani somewhere lakini WEWE BADO NI MWANAMKE.

Wakati wowote uwapo mke, mpe nafasi mwanaume awe mume, awe baba, awe kuongozi, awe dereva wa familia huku wewe ukiwa kwake msaidizi.

Hata kama ofisini kwenu una wanaume wengi unaowaongoza na wananyenyekea mbele yako usitake na mumeo akunyenyekee.

Mpe yeye nafasi ya kuwa king, mtii, msikilize na panapohitajika ushauri mpe ushauri kwa upole huku ukionesha kwamba unamuheshimu na kuamini katika nafasi yake.

Sasa nisikilize hapa, kuwa mnyenyekevu na mtiifu haimaanishi kwamba uvumilie kila upuuzi wa mwanaume (kuwa makini)

Yaani usiwe ni mwanamke wa kupelekwapelekwa in the name of NAMSIKILIZA MUME WANGU, NAMTII NA KUMNYEMYEKEA.

Uonapo mambo hayako sawa tafuta msaada ili usije ukaharibikiwa, mnayoweza kuyashughulikia wawili yashughulikieni yakikushinda njoo unambie.

SABABU ZINAZOFANYA WANAWAKE WENYE AKILI KUBWA, VYEO, FEDHA, ELIMU, UMAARUFU KUSUMBULIWA NA MAHUSIANO

Mwisho; kama huamini kwamba elimu na hizi feminists movement zinaharibu zaidi ya vile zinatengeneza jiulize hivi👇

Kwanini wanawake wa sahivi wamesoma lakini hawadumu kwenye ndoa kama mama na bibi zetu walioishia darasa la nne/la saba.

Kadri mwanamke anavyoanda juu kielimu, kuna namna anapoteza WIFE TRAITS umakini unahitajika sana ndo mana wengi wanabaki single/single mothers.

Fuatilia wanawake woote unaowajua Tanzania ambao wana vyeo vikubwa, wamefanikiwa kibiashara au wapo top kwenye eneo lolote lile.

Wengi utagundua kwamba hawajawahi kuolewa, waliolewa wakaachika, walizalishwa na wakabaki hapo.

Elimu sio mbaya, fedha sio mbaya..lakini inakuwa mbaya pale inapoanza kumfanya Quuen atake kuwa king, haiwezekani!......
Copied as it is ...
 
Tupende tusipende, tutake tusitake, tukubali tukatae, tuelewe tusielewe;

"JANDO & UNYAGO" zilikuwa ni mila zenye impact kubwa kwenye kudumisha ndoa na kuimarisha domestic wellfare ya waafrika.

Mazuri yalikuwa yanazidi mabaya, kilichotakiwa ni kutoa yale mabaya na kubakisha mazuri..

Zamani mwanamke hata awe msomi vipi kamwe hawakubweteka na elimu zao kisha wakaacha attitude mke anayopaswa kuwa nayo.

Ila kwa sababu tumekubali kutawaliwa kielimu, kijamii, kiuchumi basi acha tule jeuri yetu.
 
Ndoa ni jambo zuri.. tatizo watu tunaoa wake za watu na wanawake wanaolewa na waume za watu.

N.y.e.gezi tunaanza zipata toka tuna miaka 15. Ila ndoa tunafunga tukiwa na miaka 30. Hapo kati kati kwa miaka zaidi ya 15 ya nyegezi tumeonesha nyeti zetu kwa wenza kibao kabla ya mume ama mke.. sasa ndoa inadumu vipi?

Unaanzia wapi kumtuliza mke aliye na ma ex kumi yaani anajua kila staili ya dushelele.. ama mume mwenye ma ex 20
 
Yote haya yanatokana na umasikini, mzazi anasomesha mtoto wa kike si kumpa maarifa afanye uvumbuzi bali ili apate ajira ambayo in long run itamrudishia mzazi baadhi ya gharama alizotumia kumsomesha, kiufupi wazazi wanasomesha watoto wa kike kwa namna ile ile vijana wanavyo bet soccer games
Hii attitude ndo inasababisha wanawake wengi wasomi kuingia kwenye mahusiano wakiwa na mikakati na si mapenzi .
Ndio maana talaka zinakuwa nyingi
 
Ndoa 500 per year mbona chache sana? Anyway me ninajua idadi itakuwa zaid ya hiyo maana ushahidi tunauona mitaani.

Acha watu wapeane talaka kama wamechoka kuishi pamoja Kuliko kufikia maamuz ya kutoana uhai ama kufanyiana VISA ni bora watengane tu, na hiyo ndyo best way ya kuepuka migogoro na vifo vya kujitakia.

Kwa akili za wanawake kwa kizaz hiki, ni wachache sana wanaostahili kuwa ktk ndoa, maana wengi wao bado wanaendeshwa na utandawazi+ 50/50 haki sawa

Dunian hakuna na haiwezekan kuwepo kwa usawa katika ndoa kati ya mme na mke, always mwanaume ni King&head of family or dictator na mwanamke ni mfuasi wa Order za mwanaume/mfalme.

Sasa hawa wanawake wanapoforce kutumia sheria zao za kudai haki sawa na kukosa heshima kwa mwanaume unadhani kuna kudumu kwa mahusiano hapo? Acha waendelee kupeana talaka sisi watoaji wa michango tulishamaliza kazi zetu pale siku ya sherehe kula kuku na kucheza kwaito/amapiano ukumbini
 
Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), kwa mwaka unapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima.

Kilichonishangaza ni kwamba asilimia 78% ya Ndoa zinazovunjika ni wanawake ndio wanaoomba talaka na kupeleka maombi hayo.

Kilichonishangaza na Kunimaliza zaidi ni kwamba asilimia 89% ya wanawake wanaoomba talaka ni WANAWAKE WASOMI (Intellectual Women)

Swali; Wanawake wasomi wana SHIDA GANI, kwanini kwao talaka ziwe nyingi, kwanini wengi wanasumbuka na mahusiano na kwanini wengi ni single mothers?

Honestly kuna kitu hakiko sawa kwa hawa Intellectual women, kwa takwimu hizi tunaweza kusema elimu zimewaharibu badala ya kuwatengeneza wawe wake bora.

Ndio, haiwezekani asilimia 89% ya maombi ya talaka yakaliwe na wao pekeao, ina maana elimu zao zinawaambia kwamba solution pekee ni talaka, nawaza sana yani🤔

Ngoja niropoke; wanawake wengi wasomi wana kakiburi ka maarifa kanaitwa "INTELLECTUAL ARROGANCE"

Haka kakiburi kanawaambia hivi "wewe ni msomi, una akili, unajiweza na mwanaume hatakiwi kukusumbua kwa lolote lile"

Haka kakiburi kamewafanya wengi washindwe kuwa wanyenyekevu kwa sababu wanajiona ni classy and high, inafika hatua wanaanza kuvimba.

Wengi walifanikiwa sana kielimu kiasi cha kupata fedha, vyeo na status katika jamii vichwa vikaelemewa sifa na kujiona wanajua na kuweza kila kitu.

Pengine ofisini kwao yeye ndo Managing Director na ana watu wengi wakiume wako chini yake kikazi, anataka na mumewe awe chini yake pia.

Elimu yake, cheo na fedha vinamwambia "Unastahili kunyenyekewa na sio kunyenyekea na unaweza kila kitu" wengi hapa ndipo wanapofeli sasa na kuleta mabalaa.

Pengine walipokuwa wanasoma waliambiwa maneno kama "Soma sana, tafuta fedha zako ili mwanaume asikusumbue kwa lolote lile" (hii ndo shida kubwa)

Kwahiyo wengi kuanzia hapo wakawa wanatembea na competetive mentality (fikra za kishindani) na muda wote wapo kinyume na jinsia ya kiume.

Kinachotokea, wakiolewa wanafanya mambo kama washindani (competetors) kwa wanaume wao na sio wapambanaji wenza (teammates)

Kitu kingine kinachowaharibu ni hizi FEMINISTS MOVEMENTS (harakazi zinazodaiwa kumpa nguvu mwanamke na kumkomboa kifikra)

Ukizifuatilia vizuri hizi harakati zinawafanya wanawake wahisi kwamba hata wao wanaweza kuwa kama wanaume since they can pay bills na ada za watoto.

Sikatai, ni kweli kabisa kuna majukumu mwanamke anaweza kuyaperform kama mwanaume lakini haitatokea hata siku moja akawa kichwa cha familia.

Elimu walizopata wengi wao zimewasababishia kakitu kanaitwa "Control Freak Disorder" (unajua ni kanini haka, soma hapa chini👇)

Ni kale ka akili ka kumtaka mwanamke amcontrol mwanaume na kumfanya mwanaume aenende vile mwanamke anataka (amuweke chini)

Na hii inatokana na ukweli kwamba wengi wameweza kuongoza kakundi ka watu, wengi wameweza kufanya vitu vikubwa katika academic fields zao.

Kitendo cha kufanikiwa kuongoza kakundi ka watu kinawafanya hata kwenye ndoa nafasi ya kuongoza ambayo ni ya mwanaume aitake mwanamke, yaani yeye ndo awe kichwa.

Msuguano unaanzia hapo, mwanaume yeyote yule anataka yeye ndo awe top, ikitokea mwanamke akataka kumshusha mwanaume ili mwanamke awe top balaa linaanza.

Fuatilia, wanawake ninaowazungumzia hapa wengi wana kakiburi, wanajiona, na wanaamini kwamba hakuna kitu wanahitaji kutoka kwa wanaume na wanaweza kila kitu pekeao.

Wanaume wengi wanatafuta fedha ili wahudumie familia zao na kuwatimizia mahitaji, ila kwa wanawake mambo yako kinyume kabisa!

Wengi wanasoma na wanatafuta fedha ili waweze kuthibitisha kwamba wanaweza kufanya kama wanaume, wanaweza kuishi bila wanaume na hawawezi kusumbuliwa kwa lolote.

Ndio maana, kukiibuka kaugomvi kadogo wengi solution inakuwa ni kuachana ili kuthibitisha kwamba "NINAWEZA KUISHI MWENYEWE NA KAMA NI MTOTO/WATOTO NITALEA COZ NINA FEDHA"

Dear ladies, black brother wenu nawakubali kinoma na nafurahi kuwaona vile mnastrugle kupambania ndoto zenu (hongereni kwa hilo)

Lakini, jitahidi kadri uwezavyo fedha zako, elimu yako na cheo ulichonacho/utakachopata visikutie Kiburi mbele ya mumeo uliyenae/utakaekuwa nae.

Ni kweli umefanikiwa kielimu, pengine una mshahara mkubwa, au biashara zako zinaenda safi, una cheo/position fulani somewhere lakini WEWE BADO NI MWANAMKE.

Wakati wowote uwapo mke, mpe nafasi mwanaume awe mume, awe baba, awe kuongozi, awe dereva wa familia huku wewe ukiwa kwake msaidizi.

Hata kama ofisini kwenu una wanaume wengi unaowaongoza na wananyenyekea mbele yako usitake na mumeo akunyenyekee.

Mpe yeye nafasi ya kuwa king, mtii, msikilize na panapohitajika ushauri mpe ushauri kwa upole huku ukionesha kwamba unamuheshimu na kuamini katika nafasi yake.

Sasa nisikilize hapa, kuwa mnyenyekevu na mtiifu haimaanishi kwamba uvumilie kila upuuzi wa mwanaume (kuwa makini)

Yaani usiwe ni mwanamke wa kupelekwapelekwa in the name of NAMSIKILIZA MUME WANGU, NAMTII NA KUMNYEMYEKEA.

Uonapo mambo hayako sawa tafuta msaada ili usije ukaharibikiwa, mnayoweza kuyashughulikia wawili yashughulikieni yakikushinda njoo unambie.

SABABU ZINAZOFANYA WANAWAKE WENYE AKILI KUBWA, VYEO, FEDHA, ELIMU, UMAARUFU KUSUMBULIWA NA MAHUSIANO

Mwisho; kama huamini kwamba elimu na hizi feminists movement zinaharibu zaidi ya vile zinatengeneza jiulize hivi👇

Kwanini wanawake wa sahivi wamesoma lakini hawadumu kwenye ndoa kama mama na bibi zetu walioishia darasa la nne/la saba.

Kadri mwanamke anavyoanda juu kielimu, kuna namna anapoteza WIFE TRAITS umakini unahitajika sana ndo mana wengi wanabaki single/single mothers.

Fuatilia wanawake woote unaowajua Tanzania ambao wana vyeo vikubwa, wamefanikiwa kibiashara au wapo top kwenye eneo lolote lile.

Wengi utagundua kwamba hawajawahi kuolewa, waliolewa wakaachika, walizalishwa na wakabaki hapo.

Elimu sio mbaya, fedha sio mbaya..lakini inakuwa mbaya pale inapoanza kumfanya Quuen atake kuwa king, haiwezekani!......
Copied as it is ...
Hayo ni mambo ya kawaida tu, Tatizo ni kwamba huku Afrika hatujayazoea lakini kwa nchi zilizoendelea, wanawake kudai talaka au kutoolewa kabisa ni jambo la kawaida tu.

Katika nchi iliyoendelea kabisa ya Japan, ilifikia kipindi ndoa zikawa hakuna kabisa hadi serikali ikawa inatoa motisha kwa atakayeoa au kuolewa. Huku sisi utasikia watu wanasema, bila ndoa sasa familia itakuwaje, malezi ya watoto vipi na bla bla nyingi...

Sisi bado tuna evolve, kwa hiyo twendeni taratibu, lakini itafikia kipindi tutaelewa tu pamoja na mambo mengine, ndoa sio jambo la muhimu kama tunavyodhani.
 
Tupende tusipende, tutake tusitake, tukubali tukatae, tuelewe tusielewe;

"JANDO & UNYAGO" zilikuwa ni mila zenye impact kubwa kwenye kudumisha ndoa na kuimarisha domestic wellfare ya waafrika.

Mazuri yalikuwa yanazidi mabaya, kilichotakiwa ni kutoa yale mabaya na kubakisha mazuri..

Zamani mwanamke hata awe msomi vipi kamwe hawakubweteka na elimu zao kisha wakaacha attitude mke anayopaswa kuwa nayo.

Ila kwa sababu tumekubali kutawaliwa kielimu, kijamii, kiuchumi basi acha tule jeuri yetu.
Huo ulikuwa unamfanya mwanamke ajione yeye yupo duniani kwa ajili ya kuolewa. Hata akiwa na elimu ama nafasi kubwa na mchango katika jamii, bila kuolewa anajiona hana thamani. Je, wewe unadhani ni sawa?
 
Kwa mtazamo wangu ni kwamba nadhani kuna vitu vinatakiwa viwe intergrated kwenye haya maisha. Kwa sisi watu wa kilimo kwenye mambo ya pest management kuna njia tatu ambazo ni mechanical, chemical, na biological. sasa ili kuweza kuifanya vizuri kuna kitu kinaitwa Intergrated Pest Control. Unakuwa unacombine njia mbili au tatu ili kupata matokeo mazuri.

Turudi kwenye hii mada. Naamini wives wakiintergrate elimu zao za darasani, imani na mambo ya unyago bas vitu vitakua muswano. Elimu ya darasani imsaidie mwanamke kumkomboa fikra na kuondoa ujinga ndani yake. Ataweza kusimamia elimu za watoto wake kama.vihomework kuwasaidia, maendekeo ya shule. Pia miradi ya kifamilia mwanmke aisimamie na kukeep records vizuri, kufanya research na kupropose kwa mme of what and how to do stuff ili waendelee, kumanage biashara zake au za familia pia ili hasara isiingie. Kama ni daktari basi anakuwa anajali zaidi kama anavyojali wagonjwa.

Elimu ya imani au dini itamsaidia kusimama kwenye nafasi kama mke, mama, mtoto kwa wazazi. Imani itamuongoza kutembea katika hofu ya Mungu. Na pia itamuimarisha kiroho katika familia yake maana jukumu la mama ni kusali sana. Kama wewe ni mwanamke, uko.kwenye ndoa na.husali..hufungi..huswali..juzuu huijui..biblia huna muda nayo usitegemee ndoa itakaa sawa. Maana usipopigwa na usaliti, uchumi..kama si uchumi..watoto..ama unakuta ukweni ni shida..ama unajikuta una tamaa wewe ndo mchepukaji. Imani zinaimarisha ndoa zetu.

Mambo ya unyago sasa. Hapa mwanamke anatakiwa awe na elimu hii kwa kiasi chake pia. Chumbani kuna jinsi ya kuwa kama mwanamke. Chumba kina mavazi yake, lugha zake. Nyumba ya mwanamke aliyeolewa ina lugha zake. Kuanzia muonekano wa nyumba, jinsi ya kuishi na watu iwe ni wageni, majirani, usafi..ubora..hekima..upendo. chumba kina sayansi yake dada. Kila ufundi unatakiwa ufanyike mule. Mwanamke wewe ni pambo. Maua fresh tunayaweka kwenye maji ili yasinyauke. Ww kama ua maji yako ni ulimi mtamu, manukato na marashi, chachandu za haja, mavazi ya kichokozi, viungo laini na haiba nzuri.

Sasa vyote hivi vinatakiwa viwe intergrated. Yani mwanamke ajue kuvibalance ili kuleta ladha ya ndoa. Nadhani watu wanatakiwa wajue hili.

NB; kuna pipo mtasema oooh mwanamke afanye yote mwanaume afanye nini...mi sijui. Kama hutaki usiolewe baki msimbe. Ndoa is not for the weak periodtt!!
 
Mkuu, nina kutunukia shahada ya uzamivu PhD. Hili jambo umelifafanua vyema. Mwenye macho na asome.

Siyo vibaya tukasoma na hii kwa pamoja pia
 
Nadhani pia wanaume wanashindana na wanawake, mfano; kumwachia mwanamke majukumu ya kulea familia yako kwakua anapesa kutafanya ndoa zivunjike sana tu na kuleta dharau.
Kuna rafiki yangu mmoja(mwanaume) wakati anakaribia kuoa aliwahi kusema " Mimi ninapoamua kuoa,naoa ili Mke wangu nikirudi nyumbani niwe namkuta,kama atakuwa anafanya kazi au biashara inayomfanya asiwe nyumbani muda mwingi basi sharti atakachokuwa anavuna huko kwenye kazi au biashara yake awe ananipa mimi ili kifidie kukosekana kwake nyumbani"

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom