jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Diwani kuwadhalilisha watumishi Manispaa ya Moshi ni jambo lisilokubalika

    Agosti 13 mwaka huu kwenye ukumbi wa Manispaa ya moshi kikao cha Baraza la madiwani kiligeuka kama kamati kwa ajili ya kujadili masuala ya kiutumishi hivyo sisi ambao hatukuwa wajumbe kanuni zilituondoa ndani ya ukumbi . Kikao kiliendelea kwa muda na hatimaye kikamalizika na sisi tukaitwa ...
  2. JamiiForums Tanzania Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

    MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
  3. JamiiForums Tanzania Mtu kwao bhana! Tabasamu la Rais Samia akiwa zenji, hajawai lionesha akiwa bara tangu alipoapa kuwa Rais, nais lipo jambo.

    Mwenyezi Mungu Baba alituumba kwa mfano wake yeye mwenyewe, hii sio KAULI yangu ni ya Mungu mwenyewe, nenda kasome maandiko matakatifu. Sambamba na kufanana nae, pia alimpa mwanadamu akili za kutawala viumbe vyote ILA hapo si kwamba ukiwa Rais UNAKUWA na akili kuliko mpaka viumbe wenzako yaani...
  4. JamiiForums Tanzania Leo asubuhi wazee niliokuwa nawaheshimu sana hapa Kijijini wamefanya jambo la hovyo sana; wameshindana kutangaza msiba. 🤔

    Wakuu, Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne. Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia). Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufanya jambo gani kwa dhalula likageuka tabia?

    Member, Nimekumbuka changamoto iliyonikuta ikaibua tabia addiction,, Ni hivi niliwai kusafiri kwa treni kwenda Kigoma kufwatilia kazi ya tenda,, sasa kufika pale Tabora nakagundua begi la nguo halipo, niliweka juu kwenye zile kelia za mabegi ndani ya treni hata kwenye mabasi zipo,, Nikapekua...
  6. N

    JamiiForums Tanzania The Ages of AI na JamiiAI: kuwa na roboti nyumbani, maofisini, mashambani hakutakuwa jambo la kushangaza Tanzania

    Habari wakuu, Miaka michache ijayo, kuwa na roboti nyumbani, maofisini, mashambani hakutakuwa jambo la kushangaza. Kama ilivyo kwa simu janja ambazo zamani zilionekana kuwa za kipekee, roboti nazo zinatarajiwa kuwa sehemu ya maisha ya kila siku. Roboti ni Nini? Roboti ni mashine iliyoundwa...
  7. JamiiForums Tanzania Dunia hii siwezi danganywa jambo nimeyapata maarifa sana kwa njia nyingi sana

    Wanaume Wengi ni wazembe wa kujitaftia maarifa ila ukitaka kuweka confidence na kuweka ego au aura ! 1. Soma sana makala , vitabu na majarida ya topic kadhaa hii ni tabia yangu toka shule Mpaka nikaitwa encyclopedia ya shule (Britanicca) dawati langu lilijulikana hata kwenye hoja za kikanda na...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha Yamenifundisha Jambo Moja: Usisubiri Mtu Akuokoe

    Kuna kipindi nilikuwa naamini ipo siku mtu atakuja abadilishe maisha yangu. Nilisubiri nafasi, nilisubiri bahati, nilisubiri msaada. Lakini kadiri miaka ilivyopita, nikagundua kuwa muda ndio ulikuwa unapita, si matatizo. Maisha hayana huruma kwa anayesubiri sana. Yanamheshimu anayechukua...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana hili jambo linataka ota mizizi tusimcheke fumau mashairi, YALIANZA Kwa shafii comedian, tuta umia sisi

    Fumau mashairi ni shabiki wa yanga, wapenzi wa mpira wa miguu wa hapa nyumbani nadhani tuna mfahamu. Juzi kati kafungiwa kwenda viwanjani, tuyaache hayo. Fumau alikua na mahusiano na Binti Mmoja na walipendana sana, upande wa binti walionesha kumkubali fumau sana. Ghafla wakabadilika wakaacha...
  10. JamiiForums Tanzania Naogopa sana kuomba msaada; Kwangu kukwama si jambo la kawaida

    Mimi ni mtu ambaye naona aibu sana kuomba msaada. Sijawahi kuzoea maisha ya kutegemea kwamba siku nikikwama nitampigia mtu simu aniokoe. Kwa namna nilivyojijenga, naona kuomba msaada ni hatua ya mwisho kabisa, na huwa najitahidi nisiifikie. Kwa sababu hiyo, nimejifunza kuishi kwa mipango...
  11. JamiiForums Tanzania Jambo likitangazwa na Waziri, Jeshi la Polisi linaweza kutengua?

    Waziri wa mambo ya ndani ya nchi ambaye ndiye waziri anayesimamia pia jeshi la polisi, Patrobas Katambi, alitangaza bungeni pamoja na mambo mengine, agizo kwa IJP kusitisha mikutano yote ya vyama vya siasa nchini. Jeshi la polisi kupitia msemaji wa jeshi hilo limetangaza kuondoa marufuku hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa CCM Katiba mpya si jambo jipya

    Ninapoona baadhi ya wana CCM wanasitasita kuhusu marekebisho ya Katiba ama kuwepo kwa katiba mpya huwa nawashangaa sana. Huwa nahisi kuwa kwa sasa CCM inaongozwa na watu ambao si CCM ama siyo makada wanaoifahamu vizuri historia ya nchi yetu na ya chama chao. Mwaka 1977 CCM iliandika Katiba...
  13. JamiiForums Tanzania Polepole hakutakiwa kusema hili jambo

    Mimi sio kitengo na wala sio mwana siasa na wala sina chama chochote, ila mi ni mtu tu ambae nafatilia siasa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Katika kufatilia zile harakati za pole pole wakat ameanza injili ya ukombozi, kuna kitu alikisema na alivyokisema mi moja kwa moja...
  14. JamiiForums Tanzania Usirudie Dhambi Lisije Likakupata Jambo Baya Zaidi

    Yn 5:14 SUV [14] Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi. Matatizo mengine tunayafungulia mlango wenyewe, mlango ambao unaingiza kila tatizo la kutuumiza kiroho na kimwili. Tunaweza...
  15. JamiiForums Tanzania Ni jambo la hatari CCM kuishiwa mbinu

    Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania. Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu...
  16. JamiiForums Tanzania Mungu hatakutendea jambo: Ila anatenda jambo kupitia wewe

    Kuna mtazamo fulani hatari sana wa kusubiri kuwa kuna wakati Mungu atakutendea jambo fulani na mtu unaamua kukaa kusubiri. Hakika hii ni hali ya hatari sana katika maisha yetu tulio wengi. Tunaisahau Sheria muhimu sana ya kuwajibika " law of accountability". Ni sawa kuwa unaweza ukagundua...
  17. JamiiForums Tanzania Nimekutana na Demu wa Kiarabu Toronto. Amenifundisha jambo la ajabu sana

    Nlikutana naye Supermarket moja inaitwa T&T ana makalio yanaonekana ingawa kavaa baibui. Sasa ikawa kila nikizunguka nakutana naye. Kama mara 3 hivi. Mwishowe akaja niuliza kama kitu flani nmewahi kutumia ni kizuri. Nikamwambia ni kizuri nmewahi tumia na ni halal kwake. Akacheka na kushukuru...
  18. JamiiForums Tanzania Nahiitaji ushauri kuna jambo linanisumbua

    Sasa natimiza mwaka wa pili tangu niajiriwe serikalini. Nataka kuongeza elimu maana niliajiriwa na Form Six. Nafanya kazi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, nipo Zanzibar. Kwa mujibu wa kazi yangu, siruhusiwi kusoma mpaka nipate kibali kutoka kwa mkuu wangu, na hawakubali kutoa labda kwa watoto...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TLS na vyama vya siasa na hata CCM wenyewe, ni kwenda mahakamani kupinga katazo la waziri la mikutano ya hadhara, jambo la kikatiba

    Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi mengi ya kukiuka katiba, kufikia hata kiwango cha kuua raia wasio na silaha kwa sababu tu...
  20. JamiiForums Tanzania Ukipata mke anayeomba ushauri wako jambo la kushukuru Mungu

    Wanaume huwa tunavimba vichwa sana kuona mke anakuja kuomba ushauri wa mambo yake ni utiifu wa kiwango cha juu , akiwa na jambo utasikia subiri hubby aje niongee naye hafanyi jambo bila kumshirikisha mume . Mke wa aina hii anavutia sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…