jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. Candela

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana sielewi

    Nanukuu kama ilivyosimuliwa na muhusika, " Niliingia katika mahusiano na binti mmoja alikuwa akiishi na wazazi wake. Tulikuwa vizuri mpaka ikafikia nikawa namhudumia kama mke vile, kuanzia kula yake, kuvaa na hata akiumwa nahusika na kila kitu. Ikafikia wakati akahama kwao, akaenda kupanga na...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Upinzani acheni kumu-underrate Makonda, mnapotezwa , Jamaa anaitangaza CCM kwelikweli, hatangazi Mtu!

    Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!. Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia . Makonda Hasafishi mtu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Jamaa kwenye mkataba wake walimuhaidi gari,sasa hivi wanamuweka bechi.

    Je ni nani huyo?? Ni bonge la mchezaji
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hoja ya huyu jamaa kuhusu dini za weupe kwa waafrika inafikirisha sana

    Anasema " IF HEAVEN WAS REAL, WE COULDN'T HAVE TOLD AFRICANS ABOUT IT. WE WOULD BE GOING THERE SECRETLY" How does it make sense? Ngozi nyeupe ni wabinafsi na hawatupendi wa Afrika. Wasingeweza kutufahamisha kuhusu kitu kizuri kama Mbingu kama kweli kingekuwa cha ukweli.. Mifano hai...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Majeshi na Mainjinia wa Israel wakibomoa mahandaki na miundo mbinu ya Hamas. Jamaa wamo ndani ya Palestine

    Jamaa wanaendelea na operation yao. Bila kelele. Naona kwa sasa wanaendelea na kubomoa miundo mbinu ambayo wanaiiita ya Kigaidi. Hali ni Mbaya.... Wanajeshi wa Hamas hawaonekani eneo hili nimejaribu kuwaangalia bila mafanikio. But naomba sana hii vita iishe. Inatosha sasa. Wapalestine wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: ACT Wazalendo imehujumiwa wazi uchaguzi wa Mtambwe

    Hii ni kali. 👇 "Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mniwie radhi nilikosea kusupport ujio mpya wa Paul Makonda, huyu jamaa ni Lopolopo sana hana staha

    Makonda Makonda kwanini lakini tumia busara acha Lopolopo, Leo huko Dodoma kaongea utumbo, hivi huyu dogo anaweza kuwatisha wastaafu, bado anakivuli cha enzi za Magufuli et eeh. Jamaa tulidhani kajifunza hekima na ustaarabu kwa kukaa benchi kumbe ni jitu lenye uchuro tu. Makonda anaweza...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu anachomokaje kifungo cha miaka 10 hapa?

    Amemgonga huyu ndege bwana afya na bodaboda mpaka kifo mbele ya mashahidi lukuki. Wanasheria wa mtaani wanadai ana kesi nzito sana hapa ya kujibu. Kwa kuanza tu ametoroka mjini ameenda kujificha.
  9. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa apewe maua Yake

    Sikiliza jamaa alivyokataa mbususu😂😂
  10. excel

    JamiiForums Tanzania Inasemekana wafunga rasta wanatumia sana bangi lakini haiwapi shida, ni kwa sababu gani?

    Hawa watu (rasta men) wanavuta sana bangi lakini bado wanabaki kuwa watu wa Amani na Utulivu sana katika Jamii. Hivi kuna nini mpaka haiwasumbui kichwa kama ilivyo kwa watu wengine?
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii vita ni kali kuliko ya jamaa zetu tunaowafahamu!

    Kwa wafuatiliaji wa mitandao hasa kule X na habari za Palestine na Israel, binafsi nasoma kidogo kwa wabongo alafu naenda kwa walio karibu na eneo husika. Ni hivi; kuna jamaa naona ni Mmarekani anaitwa Jackson Hinkle huyu jamaa anashabikia sana habari za mauaji yanayofanywa na IDF na kuna...
  12. Topman

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka yule jamaa

    Kuna mchizi flani alikuwepo humu JF mwaka juzi(2021) alikuwa ananifurahisha sana aisee. Kwa siku alikuwa anaweza kuanzisha thread hata tano, alaf zote za zinachekesha. Sasa kuna siku moja bhana asubuhi alileta thread akasema yeye na mke wake wanataka kuachana kwa sababu mke wake anamlazimisha...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Pakistan: Wapiga risasi watu wakiabudu ndani ya msikiti

    Hawa kuja kuwaelewa itachukua muda sana, sijui shida huwa nini haswa, mauaji na vita vita. ==== LAHORE, Pakistan (AP) — A pair of gunmen walked into a mosque in Eastern Pakistan on Wednesday and opened fire at the worshippers, killing a member of an outlawed anti-India militant group and...
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

    Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia. Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink. Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo...
  15. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Je, huyu ndiye mwamba wa Afrika kwa sasa?

    Katika siku za hivi karibuni, nime kuwa niki kutana na Picha za huyu mwamba. 👉 akiwa ana Pigana na wanyama was ardhini au hata majini. Jamaa ana pigana kwa Uwezo mkubwa. wanao mjua watu ambie je ni mtu wa wapi??? 👉Ona mfano wa mapigano yake🤔🤒 Kwa Sasa Africa, tuna kila sababu ya kujivunia...
  16. 29Oct2025

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi yule jamaa anaepeleka mashtaka fifa ?

    Yule jamaa baada ya kichapo cha kimwiko mwiko kumnasia nyuma mbele mwiko sijaona akiandika barua mashatka kuhusu upangaji matokeo?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kilichompaisha jamaa ni kelele nyingi na kuminya vyombo vya habari tu la sivyo hamna kitu alichofanya

    Aliyepita alisaidiwa na kelele nyingi kila anapoenda anawapiga fix wananchi kwa mbwembwe nyingi wakabaki wanamuomba yeye tu. Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na strategy ya kutumbua tena hadharani hivyo wananchi wanapenda ili tu kumkomoa mwingine afanane nao kwa...
  18. runtown

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Mighty Logistic wanaobeba makaa ya mawe watakwisha kwa uzembe

    Kona ya kwa Mwanaharusi huyu ni watatu kalala hapo kwa kipindi cha miezi mitatu
  19. Kaselele

    JamiiForums Tanzania Leo nilipokuwa namsikiliza Mdude imenijia kwenye akili, huyu jamaa kuna analolitafuta na naamini atalipata

    Muda mwingine huwa najiuliza huyu Mdude anapata wapi kiburi cha kuitukana serikali tena hadharani? Hivi kweli mtu hawezi kuwa mwanaharakati bila kutukana viongozi wa serikali, kuna ulazima gani kwa mwanaharakati kutumia matusi na kuhatarisha usalama wa taifa? Anasema ataitisha maandmano kama...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
Back
Top Bottom