Nimemkumbuka yule jamaa

Joyboy

JF-Expert Member
Sep 16, 2023
1,361
3,404
Kuna mchizi flani alikuwepo humu JF mwaka juzi(2021) alikuwa ananifurahisha sana aisee.

Kwa siku alikuwa anaweza kuanzisha thread hata tano, alaf zote za zinachekesha.

Sasa kuna siku moja bhana asubuhi alileta thread akasema yeye na mke wake wanataka kuachana kwa sababu mke wake anamlazimisha amwingilie kinyume na maumbile, mchana akaleta uzi mwingine kwamba mke wake hataki kufanya mapenzi na yeye kwasababu hamridhishi vizuri kwahiyo anaomba ushauri, usiku sasa alileta thread kwamba yeye na mke wake wamepigana kitandani na mke wake akambinya mapumbu kwa nguvu karibia zipasuke, akasema hajui kama ataweza tena kufanya mapenzi.

Yule jamaa kila uzi anaouleta lazima uvunje mbavu.

Kama bado yupo ajitokeze aisee nimemmiss sana.
 
Back
Top Bottom