jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Yule jamaa aliyenitafutia kazi, leo nimemchana

    Wataalam, Jana nmetoka kuachia 30k kwa jamaa aliyenitafutia kazi, alinlilia shida eti anahitaji kuweka mafuta. Ile nafika home najisachi nakuta kwenye pochi nmebakiza shingi 300 tu. Kidogo nlale njaa ila bahat nzuri baba mkwe ana mawe kidogo, nikamtwangia hewani akanrushia kama laki3 ila kwa...
  2. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

    Wasalaam, Nilikuwa down bad, yaani nimepigika kinoma, yaani apeche alolo, yaani mbombo ngafu, yaani moja haikai mbili haikai, Yani nmechina mweupe pee. Kula ya mashaka, kulala kama ndege. Ila Kuna huyu jamaa angu tulisoma ote Olevel akaniconnect kwenye ajira inalipa fresh sio haba. Sasa...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kuzuia ghasia magerezani: moja ya vikosi hatari kabisa, FFU wanasubiri kwa hawa jamaa

    Hiki ni moja ya vikosi hatari zaidi nchini vinavyotumika kuzuia ghasia magerezani. Kiko chini ya Jeshi la Magereza Kwa taarifa za ndaani kabisa, zinasema mafunzo waliyonayo hawa jamaa, FFU wanasubiri.. Jamaa ni kama wanakula misumari kwa meno, au wanatafuna kokoto. Ni kikosi ambacho si maarufu...
  4. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

    Tuwakumbushe watoto wa kizazi hiki kuhusu bidhaa na vitu mbalimbali vilivyokuwepo zamani lakini kwasasa havipo. Naanza na Sabuni ya Mbuni…
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hivi mshawahi kukutana na hawa jamaa

    Habari. Je ni matapeli au wa kweli??
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Jamaa amnunulia Mke wake Sex Toys

    Habari zenu, Leo wakati tupo tunagonga moja mbili kuna jamaa akasema kamnunulia Mkewe Sex Toys ili awe anajiridhisha mwenyewe akiwa amesafiri kikazi. Jamaa ni Mfanyabiashara na huwa anasafiri mara kwa mara muda mwengine hata Mwezi hayupo kwake. Hili suala limenifanya nijiulize maswali ambayo...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa Maraues Brownlee anajua sana upande wa Tech

    Huyu jamaa Marques Brownlee ni kama Chief Mkwawa humu. Anaijua tech na kikubwa ni anajua kuifafanua. Video yake latest alikuwa anatoa result za upimaji wa ubora wa Camera kutokana na kura za watumiaji. Jionee.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nimepigana na jamaa niliyemkuta na demu wangu

    Kwema wakuu, Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
  9. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kuna kipi kinaendelea? Mbona kila kona malalamiko ni ndugu kupotelewa na jamaa zao?

    Mfano ni mkoani Singida, familia tatu zinawalilia ndugu zao walio tekwa na watu wasiojulikana. Familia mbili za huko Wilaya ya Iramba, zinazoishi karibu na Loya, zinalia kupotelewa na wafanyabiashara wa mazao jinsia yao ni wanaume wawili. Wawili hao inasemekana walitekwa na gari nyeupe aina ya...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nimempigia simu, kapokea jamaa mwingine

    Kwema wakuu, Leo asubuhi nimempigia simu demu wangu ambaye tuna ugomvi kwa siku kadhaa. Kilichotokea ni kuwa kapokea jamaa anadai demu hataki kuongeza na mimi anadai nijikaze. Duh hapa nahisi kichwa kinauma balaa
  11. D

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuamini hawa jamaa ni rika Moja?

    Wote wana Miaka 38 What happened to Rooney?
  12. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Kuvunjika kwa ndoa siyo sawa, Jamii inapaswa kubadilika

    Ukweli usiopingika....! Kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa miaka hii imekuwa kama kitu cha kawaida sana kwa watu, imekuwa kama fasheni watu hawaoni shida kuoana ndani ya kipindi kifupi wanakuwa washa achana. lakini jambo hili siyo sawa hata kidogo ningependa kuona jamii ikibadilika. Pamoja na...
  13. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Dada kama jamaa yako anapiga deki 2024, basi mshikirie sana

    Kila nikijaribu kuzama nashindwa kabisa, nimejaribu sana lakini nikifika karibu kuanza kuna kitu kinaniambia " acha uboya wewe". Dada ukipata mwamba wa aina hiyo mfunge kabisa kamba.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa miba ya nungunungu itamgharimu miaka 22 jela. Ila muua mamba shwari tu

  15. M

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu kapasua friji la TBL kwa hasira baa. Kioo chake kina gharama gani?

    Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa. Matengenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama hawa wasiozidi milioni mbili wametupelekesha watu milioni 60 uwanja wa Amani, wakipata uhuru kamilii tutawaweza?

    Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama. Je, hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara.
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS waiba chakula cha misaada, njaa mbaya jamaa wanateseka kwenye mahandaki

    Dunia inapiga makelele kwamba watoto wanakuafa kwa njaa, ila kidogo kinachoachiwa kipite yaani HAMAS wanakivizia na kupeleka kwenye mahandaki..... https://www.timesofisrael.com/liveblog-december-17-2023/
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Uturuki afariki siku mbili ya kuanguka tangu aliposema "Israeli watapata ghadhabu ya Mwenyezi Mungu""

    Hasan Bitmez alipata heart attack akiwa bungeni anatoa hotuba ya kuilaani Israel. --- Turkish Health Minister Fahrettin Koca announces the death of lawmaker Hasan Bitmez, local media reports, two days after he collapsed in parliament, suffering a heart attack at the end of a livestreamed...
  19. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Wastara Juma na huyu jamaa wa Keshas Salon nini kinaendelea kati yao ,maana huyu jamaa ni hatari skendo yake bado ya moto

    Naona kuna ukaribu fulani kati ya muigizaji na mjasiliamali ambaye ni mjane wa Sadick Juma Kilowoko (Sajuki) , Wastara Juma na huyu jamaa anayejihusisha na mambo ya kuweka sawa shape za kinadada (Keshas Saloon). Huyu jamaa bwana kazi anazofanya 100% zinahusisha kuwavua nguo zote akina dada eti...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Pascal Kakola yupo vizur kwenye mahubiri

    Mimi muslim, najivunia sana imani yangu na sina mpango wa kubadili dini ila huwa napenda kuangalia mafundisho ya kujifunza mambo kuhusu maisha. Nikakutana na video za Mchungaji Pascal aisee, jamaa yupo vizuri. Siyo mtu wa upako ila ni mlokole anaejielewa. Unaweza kumtafuta kwa yeyote...
Back
Top Bottom