jaji

  1. JamiiForums Tanzania Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

    Jamiiforums is where we dare to talk openly! Kwa mwananchi yeyote ambaye hajafungwa kimawazo na kifikra, angalia vizuri hii video kwenye dakika ya 1:18 ili yale uliyoambiwa uchanganye naya kwako kuhusu tuhuma zinazoelekezwa kwa Paulo Makonda!. Mtoa mada katika mdahalo wa kujadili Katiba...
  2. JamiiForums Tanzania JaJi Bongole Afariki Dunia akiwa Kazini: Umejifunza nini kwenye kifo chake?

    Jaji Mkuu wa Tanzania aliyewekwa kwenye uangalizi kabla ya kuwa confirmed baada ya mwaka mzima, yaani kwa mara ya kwanza duniani kusikia kitu kinaitwa "kaimu jaji mkuu" Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma anasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe...
  3. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba haonekani sherehe za kitaifa na chama, haalikwi au hapendi kuhudhuria?

    Kwanini sherehe nyingi za kitaifa Jaji Warioba huwa haonekani? Je, huwa haalikwi, hapendi kuhudhuria au ameamua kuishi kama raia wa kawaida? Wastaafu wenzake akina Lowassa, Sumaye, Pinda na wengine huwa hawakosekani kwenye sherehe za kitaifa/kichama.
  4. JamiiForums Tanzania Rasta ateuliwa Mwanasheria Mkuu wa Malawi aapishwa, baadhi ya maneno kwenye kiapo agoma kuyatamka. Jaji amsainisha kiapo. Je, ni sahihi kisheria?

    Rastafarian ateuliwa na Raisi mpya Mchungaji Chikwera kuwa mwanashria mkuu wa serikali ya Malawi aapishwa kwa Biblia watu wamshangaa huyo Rasta akiapa kwa Biblia. Maneno mengine kwenye kiapo anayeapa agoma kuyatamka Jaji muapishaji ajikausha na kupotezea ni kituko fulani hivi Wanasheria...
  5. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu hatakutana na mawakili wapya kuwaapisha. Je, haamini taarifa za Serikali kuhusu Corona?

    Jambo hili limeleta mshangao mkubwa kwa wananchi, viongozi wa serikali na Bunge, je Jaji Mkuu anaamini corona imesambaa sana Dar es salaam hivyo kaamua kuzuia mawakili wa mikoani wasije Dar es salaam? Je, Jaji Mkuu haamini taarifa za Rais kwamba hakuna corona? Kama haamini,katumia vyanzo gani...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mjane wa aliyekuwa Jaji wa Zanzibar, Marehemu Mkusa Isack Sepetu anatafutwa baada ya kuharibu nyumba ya shirika la nyumba Zanzibar

    Wakuu naomba tujadili suala hili kwa kina. Huyu Mjane alikua anaishi kwenye nyumba ya serekali. Baada ya mumewe kufariki alipewa notisi ya kuhama. Alifanya jitihada kubwa ya kuiomba Serikali imfikirie na imuachie akae katika nyumba hio ambayo inaonekana walitumia gharama kubwa kuiremba na...
  7. JamiiForums Tanzania Marekebisho ya sheria: inaenda kuuwa dhana watu wote kuwa sawa mbele ya sheria. Jaji akikuhukumu ndivyo sivyo anakuwa na kinga huna cha kumfanya

    MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA NAMBA 3(2020): UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA UMMA Watumishi wa Mahakama na Viongozi wa juu wa nchi wanapopewa kinga dhidi ya mashtaka hata kwa makosa ya uvunjifu wa #Katiba, wanapewa mwanya wa kukiuka viapo vyao vya kuilinda Katiba. Hii inatengeneza tabaka la...
  8. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

    MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa sheria wa marekebiaho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa mwaka 2020. THRDC na LHRC wametoa tamko la kupinga muswada huo leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 mbele...
  9. JamiiForums Tanzania Jaji aondolewa katika Kesi ya ' Ubakaji ' baada ya Kumuuliza ' Mbakwaji ' kama alisikia Utamu Kunoga na Kubana Miguu yake wakati akiingiliwa!

    Katika Kuonyesha kuwa Mahakama za Wenzetu hasa huko Marekani ( Mamtoni ) na Ulaya ( Majuu ) kuwa linapokuja Suala la Maadili kwa Watendaji wake pindi wawapo Kazini hawana Mzaha ( Masihara ) kabisa ni kwamba Jaji Mmoja aliyekuwa akisikiliza Kesi ya ' Ubakaji ' kwa Mwanamke Mmoja amejikuta...
  10. JamiiForums Tanzania Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini". Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
  11. JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu wamuaga Jaji Augustino Ramadhani

    Marais wasitaafu wote leo wameuaga Mwili Wa Jaji mstaafu Augustine Ramadhani Tayari Kwenda Kuzikwa Marais Hao Wakiongozwa Na Mzee Mwinyi, Mkapa na Kikwete Wameuaga Mwili Wa Jaji Huyo Mstaafu. Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu amen.
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA: Jaji Mstaafu Mussa Kwikima afariki dunia katika Hospitali ya Kairuki

    Jaji Mstaafu Mussa Kwikima amefariki leo Aprili 27, 2020 katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam Alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini na Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya chama cha ACT Wazalendo na amewahi kushika nafasi mbalimbali katika chama hicho ikiwemo Mjumbe wa Kamati Kuu na...
  13. JamiiForums Tanzania Wito: CJ Prof. Ibrahim Juma, make a historia kwa Mahakama kutimiza wajibu wake kulinda haki. Tumia Suo Moto kui-check Serikali pia ruhusu Pro Bono

    Wanabodi Samahani. Naomba kuanza na kuomba msamaha kwa kutumia maneno ambayo sio ya lugha ya Kiswahili wala lugha ya Kiingereza bali ni maneno ya lugha ya Kilatini kwasababu sikijui Kiswahili chake, wala Kiingereza chake, ni maneno ambayo yanafundishwa hivyo hivyo. Imani Kubwa na Jaji Mkuu wa...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Stella Nyanzi aliyehukumiwa kwa kumtukana Rais Museveni Facebook, ameachiwa Jaji akisema alihukumiwa kimakosa

    Mwanaharakati Stella Nyanzi aliyefungwa akielezwa kuwa alimtukana Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameachiwa huru huku Jaji akieleza kuwa alifungwa kimakosa Msemaji wa Magereza, Frank Baine amesema Stella alirudishwa katika gereza alilokuwemo lenye ulinzi mkali kwenda kuchukua vitu vyake baada...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzia: Jaji Mstaafu wa Mahakama kuu Elias Kazimoto afariki Dunia

    Jaji Mstaafu Elias E. Kazimoto wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefariki leo Februari 17, 2020 katika Hospital ya St.Bernard Dar es Salaam. Kabla ya kuteuliwa kuwa jaji wa Mahakama kuu mwaka 1986 aliwahi kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 1978 mpaka 1985
  16. JamiiForums Tanzania Video: Cheki bongo star search ya Iran na Ayatollah ndio jaji

    Mzuqa! Hizi sankshen za Marekani dhidi ya Iran balaa na zina effect kubwa sana. Pia ukitazama kwa makini utamuona Qassim Solemani kwenye mstari wa mbele akilia sana enzi za uhai wake huku kafunika uso wake kwa kiganja. Inaonekana hii ni kama bongo star sech yao ama X Factor yao. Nimecheka...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania kubambikiwa kesi; Jaji Mkuu, wanasiasa, wanaharakati, wanasheria na wananchi wote wanalalamika

    Kichwa cha uzi kinajieleza chenyewe. Humu JF nako tume join bandwagon ya walalamikaji tu (yes, you are right....hata mimi hapa hivi niandikapo sasa - huu ni ulalamishi tu!). Ukienda twitter huko ndiyo usiseme kabisa - ni kulialia tu! Kinachosikitisha kuliko vyote ni ni kumsikia kiongozi mkuu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu ameiabisha Mahakama na kuwakosea watanzania

    Juzi zilitoka habari kwenye mitandao kuwa jaji mkuu wa Tanzania anawalaumu wapelelezi wa kesi mbalimbali kuwa ndio wakutupiwa lawama kwa mlundikano wa wafungwa na kuahirishwa kwa kesi mbalimbali na mahakama. Tena alienda mbali na kuwalaumu kuwa huwa wanaotoa sababu za Hovyo na zisizo na...
  19. JamiiForums Tanzania FIFA yamfungia Jamali Malinzi kujihusiha na soka kwa Miaka kumi kwa tuhuma za kughushi na ubadhirifu wa fedha

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limemfungia aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kujihusisha na soka kwa Muda wa Miaka kumi kwa tuhuma za kughushi na ubadhirifu wa fedha. hukumu hiyo inamtaka Malinzi kutojihusisha na shughuli zote za kimichezo kuanzia kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Explosion in German mine traps up to 30 people underground

    Mlipuko uliotokea ardhini katika machimbo ya madini huko Teutschenthal katikati ya nchi hiyo, umejeruhi watu wawili na kusababisha wengine 30 kukwama ardhini Uokoaji unaendelea huku ikielezwa kuwa waliokwama ardhini wapo salama ndani ya chumba kimoja ndani ya mgodi huo kilicho katika kina cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…