Marais Wastaafu wamuaga Jaji Augustino Ramadhani

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Marais wasitaafu wote leo wameuaga Mwili Wa Jaji mstaafu Augustine Ramadhani

Tayari Kwenda Kuzikwa Marais Hao Wakiongozwa Na Mzee Mwinyi, Mkapa na Kikwete Wameuaga Mwili Wa Jaji Huyo Mstaafu.

Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu amen.

AA112E13-8920-48BF-BD34-98D7F920A56B.jpeg
 
Marais wasitaafu wote leo wameuaga Mwili Wa Jaji mstaafu Augustine Ramadhani

Tayari Kwenda Kuzikwa Marais Hao Wakiongozwa Na Mzee Mwinyi, Mkapa na Kikwete Wameuaga Mwili Wa Jaji Huyo Mstaafu.

Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu amen.
Ungemalizia na majani wakuu wastaafu pia walikuwepo. Ila yuleee... sijui yukwapi?!! I think he was also supposed to be there🤔
 
Nafikiria pengine Rais wetu ana tatizo fulani la kiafya, ambalo janga kama hili la COVID-19 linaweza kutishia usalama wake, na hii ndiyo sababu anawekwa ktk mazingira kama haya tunayoyaona. Haiwezekani Marais wastaafu tena wenye umri mkubwa sana zaidi yake wawepo ktk masuala yenye kuhitaji itifaki ya kitaifa yeye asiwepo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipi tatizo kukosekana kwa Mheshimiwa hususan ktk kipindi hiki tunachopitia!?

Sidhani Kama ni tatizo!!!

Muradi VIP's hao waliwakilisha inatosha.
 
..Raisi wa sasa yuko wapi?

..ana udhuru gani?

..amesafiri nje ya nchi?

JokaKuu hufahamu kwanini rais hakuwepo. Sifikirii kuna sababu yoyote ya rais kusema kwa nini hakuwa hapo, kuna mambo mengi ambayo sio lazima wewe na mimi tuambiwe kwanini JPM hakuwepo.
 
Back
Top Bottom