Jaji aondolewa katika Kesi ya ' Ubakaji ' baada ya Kumuuliza ' Mbakwaji ' kama alisikia Utamu Kunoga na Kubana Miguu yake wakati akiingiliwa!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,912
Katika Kuonyesha kuwa Mahakama za Wenzetu hasa huko Marekani ( Mamtoni ) na Ulaya ( Majuu ) kuwa linapokuja Suala la Maadili kwa Watendaji wake pindi wawapo Kazini hawana Mzaha ( Masihara ) kabisa ni kwamba Jaji Mmoja aliyekuwa akisikiliza Kesi ya ' Ubakaji ' kwa Mwanamke Mmoja amejikuta akiondolewa katika Jopo ( Panel ) ya Majaji baada ya Kumuuliza ' Mbakwaji ' kama alivyobakwa alisikia Utamu Kunoga na kwamba alipanua vyema Miguu yake au aliibana ili ' Mkuyenge ' usipenye ' Mbunyeni ' mwake?

Nilipoisoma tu hii taarifa nikaona niifanyie ' Localization ' ambapo haraka sana nikamuuliza Mmoja wa Mwanasheria na Wakili Msomi kabisa hapa Tanzania kuwa je, huyu Jaji alikuwa sahihi kwa aina ya Swali alilouliza au labda ' alikengeuka ' tu Kisheria ambapo nae akanijibu kuwa Kisheria kabisa kwakuwa walikuwa katika Kipindi cha Kuuliza Maswali ili wapate Kujua Ukweli ambao utawawezesha kutoa Maamuzi sahihi huyu Jaji kwa Kuuliza hilo Swali alikuwa sahihi tena kwa 100%.

Je, na nyie wana JamiiForums mnasemaje katika hili?

Mimi namkubali ' Kinomanoma ' huyu Jaji kwani ' hajaremba ' na ameenda moja kwa moja. Waliomuondoa nawaona ni Wanafiki tu.

Habari zaidi nenda CITIZEN Tv Digital.
 
Angejibu ndio mbakaji angehukumiwa kwa ubakaji halafu mbakwaji angeshtakiwa kwa kuhamasisha ubakaji.
Kumbe wabakwaji hawatakiwi waone utamu! Nimeelewa sasa wote wanaosema tunawabaka wake zetu majumbani basi wao ndio wakwanza kutushawishi kuwabaka tunalala nao kitanda kimoja na kanga moja alafu anikatalie nikipanda nashitakiwa kwa ubakaji Seriously!???
Sheria hizi duh....
 
Katika Kuonyesha kuwa Mahakama za Wenzetu hasa huko Marekani ( Mamtoni ) na Ulaya ( Majuu ) kuwa linapokuja Suala la Maadili kwa Watendaji wake pindi wawapo Kazini hawana Mzaha ( Masihara ) kabisa ni kwamba Jaji Mmoja aliyekuwa akisikiliza Kesi ya ' Ubakaji ' kwa Mwanamke Mmoja amejikuta akiondolewa katika Jopo ( Panel ) ya Majaji baada ya Kumuuliza ' Mbakwaji ' kama alivyobakwa alisikia Utamu Kunoga na kwamba alipanua vyema Miguu yake au aliibana ili ' Mkuyenge ' usipenye ' Mbunyeni ' mwake?

Nilipoisoma tu hii taarifa nikaona niifanyie ' Localization ' ambapo haraka sana nikamuuliza Mmoja wa Mwanasheria na Wakili Msomi kabisa hapa Tanzania kuwa je, huyu Jaji alikuwa sahihi kwa aina ya Swali alilouliza au labda ' alikengeuka ' tu Kisheria ambapo nae akanijibu kuwa Kisheria kabisa kwakuwa walikuwa katika Kipindi cha Kuuliza Maswali ili wapate Kujua Ukweli ambao utawawezesha kutoa Maamuzi sahihi huyu Jaji kwa Kuuliza hilo Swali alikuwa sahihi tena kwa 100%.

Je, na nyie wana JamiiForums mnasemaje katika hili?

Mimi namkubali ' Kinomanoma ' huyu Jaji kwani ' hajaremba ' na ameenda moja kwa moja. Waliomuondoa nawaona ni Wanafiki tu.

Habari zaidi nenda CITIZEN Tv Digital.
Alichofanya Tecnically ni sahihi,wale Jaji wengine walobaki tayari wana nafasi ya kumfuatilia mlalamikaji..pia kutazama jinsi pande zote katika kesi zitakavyo respond alichokisema Jaji aliesimamishwa
Kuna vitu kisheria pengine vyaonekana havina adabu ila vina nia ya kubaini uhalisia.

Mfano angeuliza " Alianza kukubaka vipi? Wakati wa kubakwa ulisikia maumivu makali sana au kidogo katika sehemu zako za jinsia?,Je anahisi mfadhaiko mkubwa katika nafsi yake?"
Naamini wengi wetu kwa kawaida na mazoea wangeona ni sahihi maana wapo katika upande wa kumhurumia mlalamikaji kabla ya kubaini ihalisia wa kilichotokea.
Hayo maswali hapo juu yafanyie negation uone jinsi nyingine ambavyo Jaji anaweza kuuliza [Kwa wanaofahamu logics wala hawaoni tabu jaji alichosema ]
NB:
Mwitikio wa wasikilizaji hauwezi kufanya mahakama ibatilishe uamuzi sahihi wa kuchukua katika kesi.
 
Mkuu, ingawa sio mwanasheria, lkn ktk maswali kinachotafutwa ni ushahidi wa mazingira, kabla na wakati wa tukio ili ibainike ni ubakaji au ni makubaliano yasiyo na maridhiano. mf. umri wa mbakwaji zaidi ya 18yrs akiwa na akili timamu; tukio limefanyika nyumba ya wageni; kila mhusika katokea kwake kuja kukutana g'house...hapa kuna utata kuita kosa la ubakaji, labda rushwa ya ngono.

Maoni yangu kulingana na muktadha huu, huyu Jaji alikuwa nje ya mipaka.
 
mkuu genta ivyo fanya localization yako hukupata jibu la mbakwaji baada ya kuulizwa swali la kibabe kama hilo
 
Naamini mmeamini nilichokisema kuwa ikifika muda fulani mzee wankutambaliwa unyabenini aka mzee wa Ban aka popoma ataanzisha Mada zake nadhani mmeniamini.
 
Back
Top Bottom